29/07/2025
Stephen Byabato ambae alikua mbunge wa bukoba mjini 2020 mpaka 2025 mwaka huu atolewa katika listi ya wagombea ubunge na chama Cha mapinduzi CCM na hii ni baada ya jina lake kutorudi katika waliochaguliwa na wajumbe kugombea ubunge mwaka huu 29 august.