Prografiks

Prografiks Creating Visually Stunning Designs that Leave a Lasting Impression. If you can Imagine it, we can Create it. We are happy to grow with you.
(3)

LESENI ZA VIWANDAKiwanda ni nini?Ni shughuli inayohusisha uzalishaji kwa kubadilisha malighafi kuwa bidhaa aumuundo wa k...
10/07/2024

LESENI ZA VIWANDA
Kiwanda ni nini?

Ni shughuli inayohusisha uzalishaji kwa kubadilisha malighafi kuwa bidhaa au

muundo wa kitu kinachofaa kwa matumizi.

Aina za Viwanda

Viwanda vidogo – hivi huwa na kiasi cha uwekezaji kisichozidi Sh.100,000,000/-
Viwanda vikubwa – hivi huwa na kiasi cha uwekezaji kinachozidi Sh. 100,000,000/-
Faida za kusajili/kuwa na leseni ya kiwanda ni zipi?

Kutambulika na taasisi za fedha k**a vile benki (wakati wa kufungua akaunti).
Kupata mikopo katika taasisi za fedha k**a benki.
Kuongeza wigo wa kupata kazi na zabuni mbalimbali.
Nyaraka za kuambatisha

Mchanganuo wa mradi
Uthibitisho wa mahali kilipo kiwanda
Fomu ya majumuisho (consolidated form)

Karibu tukuhudimie:

☎️ +255 717 820 820

OFA HII MAALUMU INAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA;Usajiki na Leseni za Mikopo (BOT)1: Usajili na Leseni za Mikopo (BOT) k...
09/07/2024

OFA HII MAALUMU INAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA;

Usajiki na Leseni za Mikopo (BOT)

1: Usajili na Leseni za Mikopo (BOT) kwa Mtu Binafsi:
• Usajili Brela
• Makadirio TRA
• Leseni ya BOT

2: Usajili na Leseni za Mikopo (BOT) kwa Kampuni:
• Usajili Brela
• Makadirio TRA
• Leseni ya BOT

3: Kunadili Mkopeshaji Binafsi kwenda Kampuni:
• Usajili Brela
• Makadirio TRA
• Leseni ya BOT

4: Kubadili Kampuni ya Mikopo iliyonunuliwa:
• Mabadiriko Brela
•Makadirio TRA
• Leseni ya BOT

5: Kupata Leseni ya Mkopo kwa wenye usajili wa Brela:
• Mkopeshaji Binafsi
• Kampuni

6: Kupata Viambatanisho vyote vya kuendeshea biashara ya Mkopo
• Mkopeshaji Binafsi
• Kampuni

7: Kufunga Hesabu na Ritani za Taasisi za Mikopo (Microfinance)
• Mkopeshaji Binafsi
• Kampuni

Hatuishii tu kukufanyia usajili wa jina au kampuni yako, bali bali pia tunakupatia ushauri juu ya uendeshaji wa biashara na makampuni kabla na baada ya usajili na urasimishaji. Tutakuwa nawe katika mchakato mzima wa kuendesha biashara yako mpaka itakapokuwa imara na wewe kupata uzoefu wa kutosha katika biashara yako.

Tuna washauri na watalamu wa uchumi, biashara na uwekezaji wenye ujuzi wa kufanya upembuzi yakinifu na makini katika masuala ya uwekezaji, biashara na ujasiriamali nchini Tanzania.

☎️ +255 717 820 820

Nawasisitiza wafanyabiashara wote nchini kusajili majina ya biashara au majina ya kampuni kabla ya kuanza Biashara ili k...
08/07/2024

Nawasisitiza wafanyabiashara wote nchini kusajili majina ya biashara au majina ya kampuni kabla ya kuanza Biashara ili kuepuka jina la biashara husika kuchukuliwa na hatimaye kulazimika kubadilisha taarifa upya.

Urasimishaji wa biashara unawawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika ujenzi na ukuaji wa uchumi wa nchi yao na kuwa walipa kodi wazuri na washiriki wenza wa Serikali katika kutoa huduma kwa jamii, hivyo ni vema wafanyabiashara wakajitokeza kusajili biashara zao.

Tawahamasisha watu wasifanye biashara kibubu, unaposajili biashara yako inatambulika kisheria hivyo kuifanya biashara yako haiwezi kuchukuliwa na mtu yeyote.

Mfanyabiashara unaposajili jina la biashara, kampuni na alama za biashara k**a mfanyabiashara unakuwa na alama ambayo inawakilisha biashara yako, hivyo inakuwa rahisi kwa mteja kuitambua.

Watu wengi wanafanya makosa wakati wa uanzishwaji wa biashara, mathalani kuanzisha na kutangaza biashara ambayo haijasajiliwa ni kinyume na taratibu kwa sababu kwa kufanya hivyo unaweza kuwa unavunja sheria kwa kutumia jina la mtu mwingine bila kujua au mtu mwingine anaweza kulisajili jina hilo na kulifanya lake kisheria.

Pia tunakufanyia taratibu zote za usajili wa kampuni kuanzia uandaaji wa nyaraka mpaka kukamilika kwa Usajili wa Kampuni, kukamilisha maswala yote ya TRA pamoja na leseni mbalimbali za biashara.

Hatuishii tu kukufanyia usajili wa jina au kampuni yako, bali bali pia tunakupatia ushauri juu ya uendeshaji wa biashara na makampuni kabla na baada ya usajili na urasimishaji. Tutakuwa nawe katika mchakato mzima wa kuendesha biashara yako mpaka itakapokuwa imara na wewe kupata uzoefu wa kutosha katika biashara yako.

Tuna washauri na watalamu wa uchumi, biashara na uwekezaji wenye ujuzi wa kufanya upembuzi yakinifu na makini katika masuala ya uwekezaji, biashara na ujasiriamali nchini Tanzania.

☎️ +255 717 820 820


NGO ni kifupi cha neno Non-Governmental Organization. Kwa Kiswahili neno hili humaanisha shirika lisilo la kiserikali. K...
08/07/2024

NGO ni kifupi cha neno Non-Governmental Organization. Kwa Kiswahili neno hili humaanisha shirika lisilo la kiserikali. Kawaida Serikali huwa ina mashirika yake, kwa mfano Shirika la Bima, Shirika la Nyumba, Shirika la Umeme, mashirika ya vyakula n.k.

Tunapozungumzia NGO maana yake ni kuwa ni mashirika ambayo kwa namna yoyote ile Serikali haihusiki na umiliki wake. Ni mashirika ambayo humilikiwa na watu binafsi. Serikali huweza kushirikiana nayo tu, lakini si kuyamiliki.

Taratibu za uanzishaji, usajili na uendeshaji huratibiwa bayana na Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24, 2002.

Sajili Asasi isiyo ya kiserikali sasa:
Hakikisha unachagua prografiks kwa huduma za kitaalamu, kuaminika na haraka.

Usisite kuwasiliana Nasi.

☎️ +255 717 820 820


Brand Recognition: A digitized logo ensures consistency in branding across all digital platforms, making it easier for p...
11/04/2024

Brand Recognition: A digitized logo ensures consistency in branding across all digital platforms, making it easier for potential customers to recognize and remember your brand. Consistency builds trust and credibility. Online Presence: In the digital era, your online presence is critical.

Brand Recognition: A digitized logo ensures consistency in branding across all digital platforms, making it easier for p...
11/04/2024

Brand Recognition: A digitized logo ensures consistency in branding across all digital platforms, making it easier for potential customers to recognize and remember your brand. Consistency builds trust and credibility. Online Presence: In the digital era, your online presence is critical.

Address

Mwanza

Opening Hours

Tuesday 08:30 - 18:00
Wednesday 08:30 - 18:00
Thursday 08:30 - 18:00
Friday 08:30 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prografiks posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share