17/03/2025
📦Ney Packaging Mwanza,Tunauza vifungashio(Packaging)bora kwa ajili ya bidhaa zako.🎁
Unahitaji Vifungashio (packaging) inayovutia wateja na kuongeza thamani ya biashara yako? Tunauza pia customized, eco-friendly kwa bei nafuu Sana.
Tunapatikana Mtaa wa Rufiji-Mwanza karibu na Florida.
📞 Wasiliana nasi kupitia namba 0753908741au 0753908741 kwa huduma ya haraka na ya uhakika.
Karibu Sanaaaa.