16/08/2026
Karibu Momentum Technologies.
Sisi ni mafundi wazoefu wa vifaa vyote vya umeme na Electronics.
Tunarekebisha kwa uaminifu mkubwa na bei nafuu vifaa vifuatavyo:
1. Sound bars za aina zote.
2. Subwoofers na radio nyinginezo.
3. Rice cookers na majiko ya umeme.
4. Food processors, blenders na vifaa vingine vya jikoni.
5. Pasi za umeme, majagi ya kuchemshia maji (HEATER), na microwaves.
6.TV za aina zote (FLAT na chogo)
7. Kufunga camera za ulinzi (CCTV camera) majumbani na maofisini.
8. Umeme wa jua (solar power) kwa matumizi ya majumbani, mashuleni, na sehemu nyinginezo.
9. Tunatengeneza computers (Desktops na Laptops) za brand zote
10. Tunafanya wiring ya nyumba mpya na kurekebisha matatizo ya umeme majumbani na maofisini.
11. Tunatoa ushauri bure kabisa.
Tunapatikana MECCO, jijini MWANZA.
Kwa mawasiliano zaidi: 0714 000 016, 0686 364 236, 0767 984 798
KARIBU TUKUHUDUMIE