12/02/2026
Ili niwe tajiri, nilienda kwa mganga huko Ngende, akanifanyia dawa na masharti yake yalikuwa marahisi sana.
La kwanza nikipata tu hela ya kwanza, nioe.
La pili nikishaoa nisichepuke na mwanamke yoyote maishani mwangu
La tatu ikiwa mke wangu akatangulia kufa basi nisiwe na mahusiano tena.
Masharti yote hayo kwangu niliyaona nayamudu kwa sababu kwanza mimi sina tabia ya umalayasia; nikipenda natulia..
Sasa ili kuchanganyia dawa zake vizuri, mganga aliniambia nipeleke damu ya bikra niliyoitoa mwenyewe na hapo kila kitu kitakuwa sawa.
Ikabidi niende kwetu Mtwara nikianza kibarua cha kutafuta bikra, huku kichwani nikiwa na furaha tele na ndoto kibao za kununua vitu vya kifahari kwa sababu nilishajiona tajiri wakati mambo bado..
Iliniwia ngumu kugundua demu yupi bikra, ili nimtongoze, ikabidi nitumie ujanja..nikamwambia dada yangu mkubwa, kuwa nataka kuoa lakini sharti huyo demu bikra niitoe mwenyewe..
Akaniambia nimpe elfu arobaini aniletee warembo wa kitaa, nikampa huwezi amini hadi jioni dada aliniletea picha za wasichana wawili wenye bikra hapo mtaani, akaniambia nichague yupi.. Mmoja alikuwa mbayaa sana..nikatoa picha yake..
Sasa kuna mmoja mzuri balaa, mweupe na mlaini, hana kipele wala harara..nikampointi huyo.. Dada akaniambia usiku atamleta na kila kitu atamaliza yeye.
Nikaandaa gheto na kuoga zangu na kweli saa 12 tu nikasikia hodi, akaja yule mtoto..nikamuagizia chipsi kuku na pepsi akala kiabuaibu.
Wakati huo nikamwambia kuwa nataka kumuoa, lakini sharti langu awe bikra..basi akaitikia kwa kichwa tu kuwa anayo.
Nikaanza kutumia ushawishi wangu mpaka nikamlaza. Nikamvua sketi, nikamfyonza kifua chake kilichosimama dedede, nikachomoa mjoholo, na kuuingiza..
Ikaingia kichwa tu akaruka akigalagala na kulia..nikacheki hivi nikaona damu nikajifutia kwenye kitambaa cheupe na kumbembeleza..mwenyewe akafungua mlango na kuondoka.
Mimi nikaanza kushangilia kuwa sharti nimelimaliza..Asubuhi na mapema nikatoka mbiombio safari hadi kwa mganga Lindi..
Nilipofika nikamuonesha kile kitambaa akakichukua na kuanza kupandisha maruhani, lakini ghafla akakirusha pembeni na kupiga kelele akisema.
"Hii sio damu ya bikra ni hedhi! Umeleta unajisi kilingeni mwanadamu!"
Nikashangaa na kuanza kutetemeka.
Akaongeza.
"Kwa sababu ya kosa hilo mizimu itakufanya chizi kuanzia sasa!"
Nikaanza kuomba radhi na kulia kabisa nikisema sikuwa najua chochote..nikahadithia nilivyokutanishwa na huyo msichana..
Mganga akasema ameniona sina hatia, lakini kwa ujinga wangu sitapata utajiri tena nitakuwa masikini wa kutupwa.
Akaongeza yule msichana aliyeleta damu yake hapo kwa kunidanganya, hatozaa mtoto maishani mwake na dada angu aliyenidalalia huyo mwanamke, hataolewa na wanaume atawapata kwa kuwapa hela.
Miaka 7 sasa imepita, mimi imefikia hatua nabeba zege saidia fundi, kale kadada kalikonidanganya kabikra kanadanga tu; dada angu naye kuolewa tabu anahonga hata wanaume wa kulala nao..
Natamani niwaambie ukweli, kwanini wamefikia hapo lakini nimeona niwaache kila mtu afie kwake maana niliyeumizwa ni mimi..
Ninachohangaika hapa ni kujinasua na hizi laana za mganga..naombeni msaada wenu jamani, nifanyeje?
Please share like comment usisahau kunifollow