Sengerema & Buchosa, Wazawa.

Sengerema & Buchosa, Wazawa. Kuunganisha watu wote waliozaliwa Sengerema na Buchosa Nchi nzima na Nje ya Nchi

11/02/2026
11/02/2026

Plaster, PVC, Urembo, Rangi, gypsum, Tiles na finishing zote za Nyumba yako. Wasiliana nami,
0753105668
Pia kwa ramani zote na BOQ tunafanya
Gharama zetu ni nafuu sana @

24/01/2026

KUHUSU WAZINZA
Wazinza ni kabila la watu kutoka eneo la kusini-magharibi kwa Ziwa Viktoria na visiwa vya jirani, nchini Tanzania. Lugha yao ni Kizinza.

Mwaka 1987 idadi ya Wazinza ilikadiriwa kuwa 138,000 [1]. Wazinza ni kabila dogo lakini lina mambo makubwa liliyoyafanya hapo kale; baadhi ya hayo ni uhunzi na ususi.

Kazi yao ilikuwa uvuvi, ufugaji na uwindaji pamoja na kilimo. Kwa sasa wamejikita katika anga la wasomi maana wametapakaa kila taaluma na kila mahali.

Vyakula asilia wanavyovipenda
hariri
Wazinza walio wengi hupenda kula ugali wa mhogo, ndizi, samaki (hasa sato, sangara, mumi, kamongo, dagaa, mbete, nshonzi) na nyama.

Lakini pia kutokana na uhaba wa vyakula hivyo na mgawanyo wa makazi na kazi, Wazinza wamekuwa wakila vyakula vya aina nyingine nyingi. Mfano ni wali, ugali wa mtama, ugali wa mahindi, mboga za majani k**a vile msusa, kisamvu, mchicha, n.k.

Vyakula asilia k**a maboga, viazi vitamu, mihogo mitamu, kunde, maharage ni miongoni mwa vyakula muhimu sana kwa Wazinza.

WEKA COMMENT YAKO,
Next....…................Chimbuko la wazinza

18/01/2026

K**a wewe ni Mzaliwa wa Sengerema na Buchosa, weka number Yako nikuunge kwenye kundi la Whatsapp

Address

Mwanza
Sengerema

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sengerema & Buchosa, Wazawa. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share