Chief Mtwe

Chief Mtwe I am an enthusiastic and dedicated professional with extensive experience across all areas of ICT , sales and marketing , teaching ( Physics & Mathematics)

07/12/2020
12/04/2017
My family
10/04/2017

My family

KARIBUNI kwa duka langu
08/04/2016

KARIBUNI kwa duka langu

11/03/2016

Psalm 37:25King James Version (KJV)

25 I have been young, and now am old; yet have I not seen the righteous forsaken, nor his seed begging bread.

25 Nalikuwa kijana nami sasa ni mzee, Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzao wake akiomba chakula.

כה נַעַר, הָיִיתִי-- גַּם-זָקַנְתִּי:
וְלֹא-רָאִיתִי, צַדִּיק נֶעֱזָב; וְזַרְעוֹ, מְבַקֶּשׁ-לָחֶם. 25

11/03/2016

Katika wanamziki wa nyimbo za injili , Faustine Munishi huwa ananibariki sana nyimbo zake , huwa sichoki kuzisikiliza ...... Namna anavoimba , maudhui ya nyimbo zake kwangu huwa nafarijika sana , nina kiu ya kuonana nae ana kwa ana , mwenye contact zake plz help .......

02/03/2016

JINSI YA KUJUA SIMU ORIGINO NA FEKI

Kabla hujanununa simu mpya hakikisha unaandika namba hii * #06 # , itaonyesha namba ya pekee (serial
number ) au IMEI (International Mobile Equipment Identity) namba ambayo ni lazima ziwe namba 15 au zaidi, na nilazima ianze na namba 35.
1. Sasa angalia kwa makini k**a namba unazoziona zinafanana moja kwa moja na namba zilizoandikwa katika simu sehemu ambayo betri inakaa (battery base). Namba hizi zinapaswa kufanana kwa simu ambayo ni origino.
2. Simu yaweza kuwa origino lakini katika viwango nya ubora(qualities ) tofauti . Sasa tunaanza kuchambua IMEI ili kujua ubora. Katika namba hizo namba ya saba(7) nay a name(8) ndizo zinazohakikisha ubora wa simu yako.
• K**a namba ya saba nay a nane ni 00 inamaana kuwa simu yako imetengenizwa kwa ubora wa juu kabisa katika viwanda vya kuaminika.
• K**a namba ya saba na y a nane ni 01 au 10 inamaana sumu yako imetengeneza Finland na ina ubora wa juu pia.
• K**a namba ya saba na y a nane ni 13 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Azerbaijan na ni hatari sana kwa matumizi na afya yako.
• k**a namba ya saba na ya nane ni 02 au 20 inamaana simu yako imeunganishwa katika nchi ya Emirates hivyo ina kiwango cha chini sana.
• K**a namba ya saba nay a nane ni kati ya 03 au 30 au 04 au 40 inamaana simu yako imetengenezwa China lakini ina ubora mzuri ila haijafikia zile zenye 00 , 01 au 10.
• K**a namba ya saba nay a nane ni 05 au 50 inamaana simu yako imatengenezwa labda Brazil ama USA ama Finland.
• K**a namba ya saba na ya nane ni 06 au 60 simu yako imetengenezwa Hong Hong, China au Mexico.
• K**a namba ya saba nay a nane ni 08 au 80 simu yako imetengenezwa Germany na ina ubora wa kawaida.
Unaweza pia kuangalia simu uliyonayo sasa kujua k**a unatumia simu origino au feki na yenye kiwango gani,

Help me to solve this
18/02/2016

Help me to solve this

&&&&&
12/02/2016

&&&&&

Nimeibamba sehemu hii......K**a unahitaji mafundisho ya mwl c mwakasege inbox me nikutumie audio yake in mp3 , akifundis...
31/01/2016

Nimeibamba sehemu hii......
K**a unahitaji mafundisho ya mwl c mwakasege inbox me nikutumie audio yake in mp3 , akifundisha kuhusu SADAKA

29/01/2016

"Makanisa mengine ya ajabu , wokovu wa YESU wanaukataa , kulewa pombe kwao sio ajabu , hata mchungaji anaibariki , ukiwaambia wewe umeokoka , wanasema hiyo sio imani yao , wakikutana pamoja kuabudu swali nijibu WANAMWABUDU NANI?" By Past . Munishi

Address

Nduguti
Singida

Telephone

+255713587191

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chief Mtwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chief Mtwe:

Share