23/03/2026
Pakua sasa Amana Bank App kupitia Playstore (Android) na Appstore ( IOS) ili ufungue akaunti yako popote ulipo na pia uweze kupata huduma mbalimbali za benki vile:
-Kupata taarifa fupi ya akaunti yako
-Kulipa Bili
-Kupata viwango vya kubadili fedha za kigeni
-Huduma za uwezeshaji( mikopo)
-Kutuma fedha kwenda mitandao ya simu na benki nyinginezo.