HATUA MBELE

HATUA MBELE Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HATUA MBELE, Media Agency, Zanzibar.

Hatua Muhimu, Wajasiriamali tunasubiri kwa hamu utekelezaji wake. Vilevile, Banki Kuu izipunguzie masharti ya ukopeshaji...
09/12/2025

Hatua Muhimu, Wajasiriamali tunasubiri kwa hamu utekelezaji wake. Vilevile, Banki Kuu izipunguzie masharti ya ukopeshaji benki ndogo ili ziweze kuhudumia wananchi wengi sana hasa vijana na wanawake ambao asilimia kubwa hawana mali za kutumika k**a dhamana kupata mikopo. Licha ya kuwa na miradi mizuri yenye uwezo wa kuzalisha mali, faida na kuongeza fursa za ajira, ukosefu wa dhamana unazuia miradi yao kupata mitaji, hivyo kikwazo hicho kinakuwa ni kichocheo kikuu cha kuongeza umaskini mkubwa kwenye jamii na kuwa kikwazo kikuu cha maendeleo kwa wananchi wengi.

Mwendo ni huu, kuelekea 2030... KASI YA UTEKELEZAJI, ikiwa na MATOKEO CHANYA. Hatua Mbele tutakuwepo kukufahamisha kila ...
15/11/2025

Mwendo ni huu, kuelekea 2030... KASI YA UTEKELEZAJI, ikiwa na MATOKEO CHANYA. Hatua Mbele tutakuwepo kukufahamisha kila hatua ambayo, seikali, na wadau wa maendeleo kote nchini watakuwa wakiipiga mbele sambamba ya viongozi wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

28/10/2025
Wow!πŸ–‹οΈ Make Every Note Reflect Your Brand!At Hatua Mbele Enterprises, we design and produce customised branded notebooks...
28/10/2025

Wow!

πŸ–‹οΈ Make Every Note Reflect Your Brand!

At Hatua Mbele Enterprises, we design and produce customised branded notebooks and diaries tailored to your organisation’s identity and purpose.
Perfect for leaving a lasting impression β€” every page, every detail, professionally done.

🎯 Ideal for:
πŸ“… Corporate Meetings – Inspire professionalism in every session
🀝 Conferences & Events – Give attendees something to remember you by
πŸŽ“ Seminars & Trainings – Reinforce learning with your branded touch
🏒 Internal Office Use – Keep your team organised and aligned
πŸ“£ Publicity & Gifts – Share your brand story with style and creativity

✨ Each notebook and diary is designed to match your branding colours, logo, and theme, creating a consistent and elegant representation of your organisation.

πŸ“© DM us today to get your customised corporate notebooks and diaries designed and produced by professionals!

WowπŸ–‹οΈ Make Every Note Reflect Your Brand!At Hatua Mbele Enterprises, we design and produce customised branded notebooks ...
28/10/2025

Wow

πŸ–‹οΈ Make Every Note Reflect Your Brand!

At Hatua Mbele Enterprises, we design and produce customised branded notebooks and diaries tailored to your organisation’s identity and purpose.
Perfect for leaving a lasting impression β€” every page, every detail, professionally done.

🎯 Ideal for:
πŸ“… Corporate Meetings – Inspire professionalism in every session
🀝 Conferences & Events – Give attendees something to remember you by
πŸŽ“ Seminars & Trainings – Reinforce learning with your branded touch
🏒 Internal Office Use – Keep your team organised and aligned
πŸ“£ Publicity & Gifts – Share your brand story with style and creativity

✨ Each notebook and diary is designed to match your branding colours, logo, and theme, creating a consistent and elegant representation of your organisation.

πŸ“© DM us today to get your customised corporate notebooks and diaries designed and produced by professionals!

Wow!🎨 Transform Your Ideas Into Professionally Designed Publications!At Hatua Mbele Enterprises, we help organisations, ...
28/10/2025

Wow!

🎨 Transform Your Ideas Into Professionally Designed Publications!

At Hatua Mbele Enterprises, we help organisations, NGOs, and businesses bring their content to life through customised professional layout designs β€” crafted to reflect your brand and engage your audience.

✨ Whether you’re publishing, reporting, or promoting β€” we’ve got you covered!

πŸ“š Books – Textbooks, storybooks, children’s books, scientific & academic works
πŸ“ Training Manuals & Guides – Clear, structured, and visually appealing materials
🏒 Company / Organisation Profiles – Modern and professional corporate layouts
πŸ“Š Reports & Proposals – Impactful presentations that tell your story with clarity
πŸ“ˆ Presentations & Brochures – Engaging visuals that speak for your brand

πŸ’‘ At Hatua Mbele, we provide customised professional layout design services that align with your objectives and meet international publishing standards.

πŸ“© DM us today or email us to get started β€” let’s make your materials stand out!

Wito kwa Umma tanzania
26/10/2025

Wito kwa Umma
tanzania

Tunaienzi kila hatua mbele ya kila mdau wa maendeleo nchini. Pamoja tushik**ane
03/10/2025

Tunaienzi kila hatua mbele ya kila mdau wa maendeleo nchini. Pamoja tushik**ane

Address

Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HATUA MBELE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category