Migo Graphx

Migo Graphx Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Migo Graphx, Graphic designer, .

_migographx tunapokea wazo lako na kulibadilisha kwenda katika uhalisiaNjoo na wazo lako sisi tukurudishie kile ulicho k...
30/05/2024

_migographx tunapokea wazo lako na kulibadilisha kwenda katika uhalisia
Njoo na wazo lako sisi tukurudishie kile ulicho kiwaza katika mionekano thabiti.
MigoGraphx, we update the world.

Kumbatia line yako iliyo ambatana na vocha na MBs za kutosha buuure!! Vigezo na masharti uwe na namba ya NIDA tu......Ta...
29/05/2024

Kumbatia line yako iliyo ambatana na vocha na MBs za kutosha buuure!! Vigezo na masharti uwe na namba ya NIDA tu......Tangazo limepewa nguvu na *_migographx

Keep going on... No give up
27/05/2024

Keep going on... No give up

Karibu Mwaki cash point kwa miamala ya simu kwa mtandao tajwa, sambamba na miamala kwa lipa namba.Tangazo hili linapewa ...
26/05/2024

Karibu Mwaki cash point kwa miamala ya simu kwa mtandao tajwa, sambamba na miamala kwa lipa namba.
Tangazo hili linapewa nguvu na _Migo Graphx, mahali sahihi mtangazo ya poster za matangazo ya aina yoyote yanatengenezwa.

The bee is the most crucial insect of all time for human survival. As pollinators, bees play a huge role. We cultivate j...
20/05/2024

The bee is the most crucial insect of all time for human survival. As pollinators, bees play a huge role. We cultivate just because bees are there. So, in the crops we harvest, bees play a big role.

Statistics show that 90% of the world's flowers and spices depend on bees for their reproduction through the bee pollination process, and 75% of food and crop production all over the world is supported by bees.

The anniversary of this year, 2024, insists on youth engaging directly in keeping bees through the slogan that states, "Bee engaged with youth."
It tries to show and empower youth all over the world to understand the importance of bees in our lives.

This is through keeping flowers, 💐 of which are perishing due te climate change.
Let's engage in keeping bees so that we can increase food production.

Moja kati ya kanunui zingatizi katika biashara ni Mfanybiashara kuthamini  uwepo wa wateja wake,Kwa sababu Mteja amtegem...
19/05/2024

Moja kati ya kanunui zingatizi katika biashara ni Mfanybiashara kuthamini uwepo wa wateja wake,
Kwa sababu Mteja amtegemei mfanyabashara bali mfanyabashara ndie amtemeae mteja.
Wewe mfanyabashara tengeneza tabia ya kuthamini wateja wako.

Sweet sunset 🌇 ♥️
17/05/2024

Sweet sunset 🌇 ♥️

Ni stori ambayo inamuhusu kijana Benja amabe alikuwa na mpenzi wake aliye julikana kwa jina la Glory, Benja alimpenda sa...
15/05/2024

Ni stori ambayo inamuhusu kijana Benja amabe alikuwa na mpenzi wake aliye julikana kwa jina la Glory, Benja alimpenda sana Glory kiasi kwamba kunawakati alikuwa akijinyima, analala na kushinda njaa, anashindwa hata kununua dawa ya mswaki ili mpenzi wake asikose mahitaji muhimu.

Siku zilivyo zidi kwenda Glory ndivyo alizidi kubadikilika tabia huku akimfanyia visa vya kumkatisha tamaa Benja. Kwa mfano ilifika wakati Glory anashinswa kabisa kupokea makusudi simu za mpenzi wake Benja lakini Benja akukata tamaa alimvulia mengi aliyokuwa akifanyiwa na Glory kwa sababu alikuwa ashajiaminisha kuwa ndiye mama watoto wake huko baadae.

Mambo mengi yalitoke hapo katikati, lakini mwisho wa siku Benja alichoka akaamua kuacha na Glory. Benja akampata mwenza mwingine bwana na walipendana sana.

Glory alikuwa antoka na jamaa mwingine bwana na ndiyo maana alikuwa na kiburi..Benja ili alikuja kuligundua baadae sana.

NB: Hii stori siyo ya kweli na aipatikani mahali popote pale.

*Happy Mother’s Day theme 2024: ‘CELEBRATING MOTHERHOOD: A Timeless Bond’.*🙏🙏
12/05/2024

*Happy Mother’s Day theme 2024: ‘CELEBRATING MOTHERHOOD: A Timeless Bond’.*🙏🙏

Timiza ndoto zakoKwa kutupendekeza sisi Migo_graphx tuwe sehem ya kutimiza malengo yako.Tunatengeneza poster za aina yoy...
06/05/2024

Timiza ndoto zako
Kwa kutupendekeza sisi Migo_graphx tuwe sehem ya kutimiza malengo yako.
Tunatengeneza poster za aina yoyote ile, logo, banners, na kadharika kwa minajili ya biashara yako.

*The package heavy... Karibu kwa matokeo sahihi.
30/04/2024

*The package heavy... Karibu kwa matokeo sahihi.

Ni kitu gani kitakurudisha nyuma katika kuitanga biashara yako?Mimi naomba nichukue nafasi ya kukufahamisha kuwa Moja ka...
29/04/2024

Ni kitu gani kitakurudisha nyuma katika kuitanga biashara yako?
Mimi naomba nichukue nafasi ya kukufahamisha kuwa
Moja kati ya viungo maridani sana katika kuimalisha michogo ya biashara yako ni matangazo au kujitangaza.
Kuitangaza bishara yako inachangia zaidi ya asilimia 20 hadi 50 katika kukuza kuitangaza biashara yako.

Kwa mjibu wa tafiti mbalimbali katika bishara na masoko matangazo yana faida nyingi ikiwa ni pamoja na.
​Matangazo uongeza ufahamu wa biashara yako katika kwa wateja wapya.
​Uongeza mauzo ya bidhaa au huduma zako.
​Kupitia matangazo pia usaidia zaidi katika kuongeza wateja wapya.
​Siyo hivyo tu, bali matangazo usaidia kuisambaza chapa ya huduma au biashara yako.

​Kwaiyo unaweza ukaona ni jinsi gani kipengere cha matangazo kinanguvu zaidi katika biashara yoyote ile.
Sisi Migo_graphx tunalifahamu ili na ndoyo maana tunakuletea habari njema kuwa tuna tunatengeneza matangazo kwa minajiliya biasbara yako, ikiwa ni videos pamoja prints.
Wasiliana nasi kwa matokeo zaidi.

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Migo Graphx posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company?

Share