Khalifa Saidi

Khalifa Saidi Helping Entrepreneurs and Companies to Grow Their Business Through Social Media.

Tumepata fursa ya kuhudhuria Zanzibar Investment Summit 2026, Iliyoandaliwa na ...jukwaa muhimu linalowakutanisha waweke...
03/06/2026

Tumepata fursa ya kuhudhuria Zanzibar Investment Summit 2026,

Iliyoandaliwa na
...jukwaa muhimu linalowakutanisha wawekezaji, wafanyabiashara, watunga sera na wadau mbalimbali wa maendeleo kwa lengo la kujadili na kuhamasisha fursa za uwekezaji Zanzibar.

Theme: Promoting Investment Diversification for Sustainable Development in Zanzibar; Shaping Zanzibar Next Growth.

Tarehe: 3–4 Juni 2026, Mahali: Golden Tulip, Zanzibar, Tanzania

Nimepata fursa ya kuhudhuria Maonyesho ya 139 ya Canton Fair 2026 🇨🇳Maonyesho makubwa ya biashara duniani yanayokutanish...
15/04/2026

Nimepata fursa ya kuhudhuria Maonyesho ya 139 ya Canton Fair 2026 🇨🇳

Maonyesho makubwa ya biashara duniani yanayokutanisha wazalishaji, wanunuzi na wabunifu kutoka nchi mbalimbali.

Leo Tumefanikiwa Kufanya Mahafali ya Kwanza ya Somait Institute of Technology,Mahafali yaliyojumuisha Wanafunzi 260 Kuto...
20/12/2025

Leo Tumefanikiwa Kufanya Mahafali ya Kwanza ya Somait Institute of Technology,

Mahafali yaliyojumuisha Wanafunzi 260 Kutoka Katika Course Mbalimbali za Teknolojia.

Mahafali hayo yalihudhuriwa na Mgeni Rasmi Mhe. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibari, ambaye aliwakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mafunzo ya Amali Zanzibar, Dr. Bakari Ali Silima.

Nilipata nafasi ya kuzungumza katika Mahafali ya wanafunzi waliomaliza mafunzo ya miezi miwili ya Digital Business na na...
30/08/2025

Nilipata nafasi ya kuzungumza katika Mahafali ya wanafunzi waliomaliza mafunzo ya miezi miwili ya Digital Business na namna ya kuendesha mitandao ya kijamii kidigitali, yaliyofanyika katika Chuo cha Somait.

Mafunzo haya yameandaliwa na DOT kwa ushirikiano na Pamoja Youth Initiative, yakilenga kuwajengea vijana ujuzi wa kidigitali na fursa mpya za kibiashara.

Tunawashukuru kwa kutuamini kuwa sehemu ya kuhost program hii muhimu kwa maendeleo ya vijana.

Jumapili Agosti 10, 2025, Mratibu wa SomaIT Institute Of Technology, Ahmed Rashid alipata fursa ya kutembelea Maonesho y...
11/08/2025

Jumapili Agosti 10, 2025, Mratibu wa SomaIT Institute Of Technology, Ahmed Rashid alipata fursa ya kutembelea Maonesho ya 88 ya Nanenane yanayoendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Dole, Kizimbani, kisiwani Unguja.

Maonesho ya Nanenane ni sikukuu kubwa. Ni tukio kubwa linalowakutanisha pamoja wakulima, wafugaji, wavuvi, taasisi za fedha, wabunifu wa teknolojia na wadau wa sekta ya kilimo kutoka kila kona ya Tanzania na nje ya nchi.

SomaIT ni taasisi ya teknolojia na moja ya shabaha zake ni kuleta mapinduzi ya kidijitali nchini na kusaidia juhudi za serikali za kufanikisha malengo yake ya muda mrefu.

Katika kutembelea maonesho hayo, Mratibu wa SomaIT alipata fursa ya kukutana, kujadiliana na kubadilishana mawazo na Mkuu wa Kitengo cha Habari Baraza la Mji Kati, Bi Fatma Ali Said ili kujua ni katika nyuga gani SomaIT inaweza kushirikiana na Baraza la Mji Kati kusaidia jitihada za Serikali za kufanikisha malengo yake.

Miongoni mwa mambo yaliyopendekezwa kwenye mazungumzo hayo ni kutiwa nguvu wafanyakazi wa Baraza la Mji katika matumizi ya mawasiliano ya kompyuta na kukusanya data zao kidijitali na kuondokana na mazoea ya kuhifadhi data kwenye mabuku ambayo mbali na usumbufu wake wa kuingiza data lakini pia kuna hatari kubwa ya kupotea data muhimu.

Sambamba na taarifa hii tumeweka baadhi ya picha za mazungumzo baina ya Mratibu wa SomaIT, Ahmed Rashid na Bi Fatma Ali Said, Mkuu wa Kitengo cha Habari Baraza la Mji Kati Zanzibar.

Tumepata fursa ya kukutana na Mkurugenzi wa Bodi ya Huduma za Maktaba Zanzibar  , Dkt. Ulfat Abdul-Aziz Ibrahim.Katika m...
28/07/2025

Tumepata fursa ya kukutana na Mkurugenzi wa Bodi ya Huduma za Maktaba Zanzibar , Dkt. Ulfat Abdul-Aziz Ibrahim.

Katika mazungumzo yetu, tumegusia maeneo mbalimbali ya ushirikiano katika kuwaendeleza vijana, kukuza tabia ya kusoma, na kuwasaidia kuendana na kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia.

Attended a 3-day training by International Organization for Migration (IOM)  on ethical recruitment and unpacking IRIS S...
25/07/2025

Attended a 3-day training by International Organization for Migration (IOM) on ethical recruitment and unpacking IRIS Standard at Four Points Hotel, Dar es Salaam, insightful sessions and great discussions.

It was an honor to serve as a trainer during the one-day training at Somait Institute of Technology (SIT) I am grateful ...
26/04/2025

It was an honor to serve as a trainer during the one-day training at Somait Institute of Technology (SIT)

I am grateful for the opportunity to share knowledge and connect with inspiring minds.

Honored to receive this award from Al Wadood and AQ Online TV for 5 years of dedication, leadership, and impact. This jo...
15/03/2025

Honored to receive this award from Al Wadood and AQ Online TV for 5 years of dedication, leadership, and impact.

This journey has been filled with challenges, growth, and incredible teamwork.

A heartfelt thank you to President Sheikh Abdul Qader Al Jahdhamy for his unwavering support and guidance.

Grateful for the opportunity to contribute and make a difference.

It was a true pleasure connecting with the National Chief Imam of Liberia, Imam Ali Krayee. Our conversation spanned imp...
02/11/2024

It was a true pleasure connecting with the National Chief Imam of Liberia, Imam Ali Krayee.

Our conversation spanned important topics on Islamic values and future collaborative efforts.

Thankful for this inspiring meeting.

Address

Guangzhou

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Khalifa Saidi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share