Everlast.agency

Everlast.agency Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Everlast.agency, Marketing Agency, EVERLAST AGENCY, London.

NA HAPA IPO โ˜„๏ธ๐Ÿ”ฅKikosi changu bora cha AFCON 1. Yassine Bonno2. Achraf Hakimi3. Zimbwe Jr4. Kalidou Koulibaly5. Ibrahim B...
31/01/2024

NA HAPA IPO โ˜„๏ธ๐Ÿ”ฅ
Kikosi changu bora cha AFCON

1. Yassine Bonno
2. Achraf Hakimi
3. Zimbwe Jr
4. Kalidou Koulibaly
5. Ibrahim Bacca
6. Sufyan Amrabat
7. Bebe
8. Lamine Camara
9. Victor Osmhen
10. Sadio Mane
11. Mohammed Salah

Hiki kikosi pale EPL , Chelsea , Man U wanakaa , team itakayo tusumbua labda Man city kwa mbaaaaali

Imagine Mbavu ya kushoto una Zimbwe , Mbavu ya Kulia Hakimi , Beki Koulibaly , Ibrahim BAcca , Amrabbat , 10.Mane , 11. Salah , 9 Vicyor โ˜„๏ธ

Na hapa ipo

# # # #

Kitu Simba ๐Ÿฆ anakwenda kumfanya Tembo ๐Ÿ˜
31/01/2024

Kitu Simba ๐Ÿฆ anakwenda kumfanya Tembo ๐Ÿ˜

Burudani imerudi.
31/01/2024

Burudani imerudi.

Video ya superstar wamuziki wa bongo fleva AlikibaImetrend sana mitandaoni akiwa Location kushoot video mpya, kwamujibu ...
31/01/2024

Video ya superstar wamuziki wa bongo fleva Alikiba
Imetrend sana mitandaoni akiwa Location kushoot video mpya, kwamujibu wa uongozi wa Record label yake ya Kings music wamemtaka Alikiba aachie ngoma ya singeli nakumpa tag miso misondo, Angalia VIDEO hapo chini kwenye COMMENT๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Tembelea YouTube channel yetu kwa habari zaidi na usisaau ku SUBSCRIBE YouTube channel yetu

"Nyie mnaosema naharibu mziki wa Injili kwa kuvaa cheni na namna ya uchezaji wangu nimewasikia kilio chenu,lakini mkumbu...
31/01/2024

"Nyie mnaosema naharibu mziki wa Injili kwa kuvaa cheni na namna ya uchezaji wangu nimewasikia kilio chenu,lakini mkumbuke kuwa zamani nilikiwa naimba nyimbo za mastepu,nikiwa sina cheni lakini hazikwenda popote na hamkuzipenda. Lakini nilipotoa nyimbo nimevaa cheni na nacheza k**a ninavyoonekana kwenye hizi video zangu mpya nyimbo hizo zimenitambulisha na hata nyie mlizipenda sana,sasa mnatakaje?"

"Mnataka niendelee kuimba nikiwa kwenye uzamani nyimbo zibume? Na mkumbuke kuwa mimi ndiye nilianzisha hii style mpya ya kucheza na kuvaa kijanja kwenye muziki ya Injili embu nipeni heshima yangu tafadhali...."Goodluck Gozbert

Credit by

Tafadhari tembelea YouTube channel yetu ya Presenterdax kwa taarifa nyingi zaidi.

Fuatilia page ya EVERLAST AGENCY kwa habari za michezo na matukio mbali mbali ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
31/01/2024

Fuatilia page ya EVERLAST AGENCY kwa habari za michezo na matukio mbali mbali ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Mashabiki wa kaizer na Orlando Wana wivu Sana ๐Ÿ˜† walikuwa wakisema Africa kusini ikitolewa Ni mamaelod wametolewa kutokana na kikosi hicho kusheheni nyota wengi wa Mamelodi ๐Ÿ˜ƒ

Jana wameumbuka Sana baada ya Africa kusini kushinda bao mbili dhidi ya Morroco

Football is investment , ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”

Everlast.agency company

โ€ขโ€ขโ€ข๐Ÿšจ|OFFICIAL- Hizi Hapa Mechi Za Robo Fainal Ya Michuano Ya Kombe AFCON 2023 Mpaka Sasa Huku Ikibakia Mechi Moja Kati Y...
31/01/2024

โ€ขโ€ขโ€ข๐Ÿšจ|OFFICIAL

- Hizi Hapa Mechi Za Robo Fainal Ya Michuano Ya Kombe AFCON 2023 Mpaka Sasa Huku Ikibakia Mechi Moja Kati Ya Morocco Vs South Africa Kwenda Kukamilisha Hatua Ya 16 Bora

โ—‹Ivory Coast Vs Mali
โ—‹Nigeria Vs Angola
โ—‹DR Congo Vs Guinea
โ—‹Cape Verde Vs Mshindi Wa Morocco Vs South Africa.

Mashabiki wa kaizer na Orlando Wana wivu Sana ๐Ÿ˜† walikuwa wakisema Africa kusini ikitolewa Ni mamaelod wametolewa kutokan...
31/01/2024

Mashabiki wa kaizer na Orlando Wana wivu Sana ๐Ÿ˜† walikuwa wakisema Africa kusini ikitolewa Ni mamaelod wametolewa kutokana na kikosi hicho kusheheni nyota wengi wa Mamelodi ๐Ÿ˜ƒ

Jana wameumbuka Sana baada ya Africa kusini kushinda bao mbili dhidi ya Morroco

Football is investment , ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”

Everlast.agency company

*13,000 TZS NDO MTAJI PEKEE WA KUJIUNGA NA EVERLAST AGENCY โœ…๐Ÿ“Œ  wacha nikuweke sawa kidogo* โœ๏ธ *Pesa hii hauntumii mimi, ...
25/01/2024

*13,000 TZS NDO MTAJI PEKEE WA KUJIUNGA NA EVERLAST AGENCY โœ…๐Ÿ“Œ wacha nikuweke sawa kidogo* โœ๏ธ

*Pesa hii hauntumii mimi, bali utatuma kwenda kwa kampuni โœ…*

*Pesa hii utailipia mara moja na hautodaiwa hata senti mara baada ya malipo haya*

*Ili kampuni iwe inafuata sheria na taratibu za nchi, inabidi iwe inatoa bidhaa au inatoa huduma, au vyote ๐Ÿ“Œniamni mmโœ… maana ipo katika maandishiโœ๏ธ*
*kampuni ya Everlast agency inauza bidhaa na pia inatoa huduma ya elimu ya forex na ujasiriamali hivyo basi๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡*
*Unatoa 13,000 TZS k**a ada ya kujifunza* *ujasiriamali, pia k**a ada ya kujifunza forex*โœ๏ธ
*Pia kuna compensation plan (mpango wa kujiingizia kipato) ambapo* *utatengeneza pesa kupitia hii kampuni*

*Sikuahidi mamilioni mm, ntakua mnafki rafiki angu, ila uhakika wa Kutengeneza 20000 TZS kwa siku upo*

*K**a upo tayar, niandikie tu, NIPO TAYARโœ๏ธ*

*Tayari Nko offisin nmefungua data on๐Ÿ›œ๐ŸŒapa huduma n 24Hrs Kuna Mtu anajua labda akija kuuliz kuhusu EVERLAST AGENCY labd...
16/01/2024

*Tayari Nko offisin nmefungua data on๐Ÿ›œ๐ŸŒapa huduma n 24Hrs Kuna Mtu anajua labda akija kuuliz kuhusu EVERLAST AGENCY labda* *nimtadai pesa nop๐Ÿคš*
*KUULIZA BUREโœ…*
*MAFUNZO BUREโœ…*
*KUJIUNGA BUREโœ…*

*Ila utanapotaka kuitumia Account yako ianze kukuingizia pesa๐Ÿ˜‹๐Ÿ’ตhapo itabidi ulipie mtaji 13,000 TZS๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Muda bado unao ntakufunza โœŠKumbuka na malipo ni mara moja Tu OGOPA MATAPELI๐ŸŽฏ๐ŸŽฏโŒ*
*JE UKO TAYARI TULIANZISHE PAMOJA๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธTYPE ADD NOWโœ๏ธ*

Leo ndio nmeamini kuwa pesa ipo online sema watu wengi tunaokutana nao sio sahihi๐Ÿ˜ข๐Ÿคš Leo nmekutana na mtu kanielekeza kuh...
16/01/2024

Leo ndio nmeamini kuwa pesa ipo online sema watu wengi tunaokutana nao sio sahihi๐Ÿ˜ข๐Ÿคš

Leo nmekutana na mtu kanielekeza kuhusu fursa moja hivi ikabidi nibishe kwanza๐Ÿ˜ฃ ila kwa sababu ni mtu wangu wa karbu nkaona wacha nijiunge tu......( hakuniahidi mamilioni ila alinipa uhakika wa kutengeneza WALAU 10,000 Mpaka 30, 000 kwa siku)

Baada ya masaa kadhaa Faida niliyopata ni mara mbili ya mtaji wangu wa 13, 000 TZS ambao nilijiunga nao nikaamini sio kila fursa ya kupuuzia na sio kila fursa ni utapeli
... Hata mm nkikuahidi mamilioni ntakua mnafki na muongo, ila uhakika wa 10,000 - 30000 TZS kwa siku kwenye hii kampuni upo kwani ukishajiunga tu, unapewa kianzio cha 10, 000 TZS na mwisho wa wiki utapewa 10, 000 TZS za bando, pia kila mwezi mshahara 200,000 TZS hadi 500,000 TZS mbali na mapato yako ya kila sku

Je unataka kujiunga, mambo si mengi Simu tu ndo kigezo kikubwa na application ( inaitwa everlast agency Iko Play Store )

Kujiunga au kujua zaidi ncheki whatsap 0753489180 TUMA NENO. (NIFUNDISHE)

๐Ÿ‚๐Ÿ’ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ซ *EVERLAST AGENCY* *TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™๐Ÿ™ *IMESAJILIWA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE ZA KISERIKALI* ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅHii ni fursa ya kujiaji...
16/01/2024

๐Ÿ‚๐Ÿ’ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ซ *EVERLAST AGENCY* *TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™๐Ÿ™

*IMESAJILIWA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE ZA KISERIKALI* ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Hii ni fursa ya kujiajiri kupitia simu yako kwa mtaji mdogo ๐Ÿ‚ ambapo mwanachama ataweza kujitengenezea alfu 10 hadi 20 kwa siku.. ๐Ÿ’ช

Kujisajili ni Bure lakini itakuhitaji *mtaji wa 13000/= TZS* kwa ajili ya kuiwezesha akaunti yako ya Everlast agency Kuwa Active ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

*Tumekuletea njia 20๐Ÿ‘‡ za kujiingizia kipato โœ๏ธ*

1โƒฃ *WELCOME BONUS* : Pata 10,000 TZS papo hapo mara baada ya kujiunga kampuni ๐Ÿ‚

2โƒฃ *KUANGALIA VIDEOS ZA YOUTUBE* ๐Ÿ‚ : utalipwa kwa kuangalia videos fupi fupi za YouTube utalipwa 200/=TZS kwa Kila video

*3โƒฃKUANGALIA VIDEOS ZA TIKTOK ๐Ÿ‚* : hapa utalipwa kwa kila video 200/= TZS na itaingia Kwenye akaunti yako ya everlast Agency

*4โƒฃKUANGALIA VIDEOS ZA INSTAGRAM* : utakutana na videos za Instagram Kwenye akaunti yako na kila video utakayoangalia utalipwa 200/= TZS

*5โƒฃKUANGALIA VIDEOS ZA FACEBOOK* : utaangalia videos za Facebook zilizomo Kwenye akaunti yako ya Everlast na kila video utalipwa 200/=TZS

6โƒฃ *KUJIBU MASWALI YA KIUTAFITI*๐Ÿ‚: hapa utakutana na maswali rahisi kabisa ya kiutafiti na kila swali utalipwa 100 /= TZS

*7โƒฃSELLING PRODUCTS* : Hapa utapewa bidhaa za kampuni na kuziuza online na kwa kila bidhaa utalipwa 10000/= TZS hadi 30000/= TZS bidhaa hizi ni k**a vile simu, laptop nk

*8โƒฃKULIKE MATANGAZO* : Lipwa kwa kulike matangazo ya kampuni na kwa kila tangazo utalipwa 100/= TZS

9โƒฃ *BONANZA* ๐Ÿ‚ : hapa utacheza mchezo wa bahati na kupata pesa kila unaposhinda na pesa hii itaingia Kwenye akaunti yako, shinda hadi 50,000 /= TZS kwa mchezo mmoja ๐Ÿ‚

*1โƒฃ0โƒฃPATA MKOPO* : hapa mara baada ya kufungua akaunti yako utaweza kukopa | na pia utaweza kutoa mkopo kwa wenzako, na nusu ya riba ya mkopo kampuni itakupatia ๐Ÿ’ซ pamoja na pesa yako ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“Œ

1โƒฃ1โƒฃ *KUALIKA MARAFIKI* : hapa utalipwa kwa kila mtu utakayempatia hii fursa ili nae anufaike โœ๏ธ

*Utalipwa kwa ngazi 5๐Ÿ”ฅ*

๐Ÿ’ซLEVEL 1= 5000/= TZS
๐Ÿ’ซLEVEL 2 = 3000/= TZSs
๐Ÿ’ซLEVE

Address

EVERLAST AGENCY
London

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Everlast.agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share