27/01/2023
𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: 𝐒𝐔𝐋𝐓𝐀𝐍𝐀 𝐂𝐢𝐓𝐯 𝟐𝟕𝐓𝐇 𝐉𝐀𝐍
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 DIDA KAMPATA BUYA
Late but finally: Weka Like ukiendelea kusoma✔️
JJ finally alitoka lakini kufika nje,nani amemkujia? Babake na sasa JJ ashajua huyu si babake. Alitaka kumpita lakini Major akamuita akamwambia JJ nimekuja twende nyumbani my son,lakini JJ akamwambia sikiza mzee,stop calling me your son. Hujawai kuwa babangu na hutawai kuwa babangu! Wueh. Major alimwambia tulia acha hasira,just relax na uondoe hasira. JJ alimwambia wee ongea tu lakini usiniguze. JJ alichukua ufunguo wa gari lakini babake akamwambia kwa hali uko huwezi endesha gari please son. Major hana habari mwenye anaongea na yeye ashajua ukweli wa mambo.
Huku kwa babu,ameamka anatafuta dawa zake ameze lakini punde si punde,Zuu akafika. Akamwambia babu,k**a unatafuta dawa zako Mwanzele alichukua na amemeza anataka kujiua. Babu akakaa chini akamuuliza unamaanisha nini Zuu? Zuu alimwambia ni hivyo. Babu akamwambia pigia simu Kokan mara moja alete dawa zingine. Zuu akamwambia babu,naona mambo mengi yamekupita,huyu Kokan hayuko.
Tufike kwa Maria na Fatima. Fatima anauliza Maria Buya ako wapi? Maria alimwambia alikua hapa na k**a hayuko mi sijui penye ako na k**a uko na ngori na mimi jaribu uone. Fatima akauliza Maria,sasa wewe unaeza nitishia mimi msichana? Maria akamwambia sikutishiii lakini wewe nakutandika k**a mtoto ameenda choo kwa kitanda. Fatima hajai pata pingamizi hivi,hadi ilibidi arudi chini kiasi. Punde si punde,Sultana pia akafika,akauliza kwani Kaka ameenda wapi? Fatima akasema nyie watoto mwataka kunichezea sio,nitawatandika nyinyi hadi mseme ukweli. Kumbe Salama pia alifika,akaambia Fatima hiyo adabu nitie mimi uachane na wasichana wangu. Fatima,nguvu tatu Vs wewe peke yako utawezana😂😂
Kwa Babu na Zuu. Babu alimwambia hii hali ya Kaka kujua Mwanzele si babake imekua ngumu,laiti mamake angekua hai atuelezee mwenyewe.
Fatima aliona ju hakuna kitu kwanza alienda akatafuta na akakuja akawaambia haoni dalili za mum