Updates Mtaani 254

Updates Mtaani 254 TV series, celeb gossip, breaking news, politics, trending stories, mtaani buzz β€” if it’s happening, you’ll see it here first. πŸ‡°πŸ‡ͺ TV Series and updates

07/12/2025

Look at how the mother is looking at her amazing daughter pure πŸ’• love

06/12/2025

Kenya sihami πŸ˜…πŸ€£

06/12/2025

Which one?

06/12/2025

Actor Bilal Wanjau laid to rest in Machakos

06/12/2025

Beryil Odinga first grandchild

Jojo and Amani. They look beautiful together.
06/12/2025

Jojo and Amani. They look beautiful together.

06/12/2025

Dr. Ofweneke’s take on Sky Victor, Kanyari's daughter. Do you agree with his sentiments.?

Oga Obinna Graduates From Mount Kenya University With A First Class Honours Bachelor Of Arts Degree In Mass Media And Co...
05/12/2025

Oga Obinna Graduates From Mount Kenya University With A First Class Honours Bachelor Of Arts Degree In Mass Media And Communications, Congratulations Champion πŸ†β€οΈ

π€π˜π€ππ€ πŸ“π“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π’πŸŽπŸ‘π„ππŸπŸ“-πŸπŸ” π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 Sikuhizi Likes kwa Updates nik**a tu Kituo cha VCT 🀣🀣leo mnifikishe hata 5k lik...
04/12/2025

π€π˜π€ππ€ πŸ“π“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π’πŸŽπŸ‘π„ππŸπŸ“-πŸπŸ” π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Sikuhizi Likes kwa Updates nik**a tu Kituo cha VCT 🀣🀣leo mnifikishe hata 5k likes...
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Wueh! Tinah kimemramba sasa...ameingia kwa room akidhani ni Chris kumbe ni Jemimah...Celle akajua sasa hapa ni ahepe atoke mbio,lakini kujaribu kuhepa,mbele yake..gaidi mwingine. Jemimah alikua ashajipanga proper.

Jemimah akaambia Celle Mtumba sikiza, kuenda na bwanangu was ok,lakini kujaribu kukaa karibu na mtoto wangu,hapo ndio ulijikosea. Celle kujaribu kuongea kalifunikwa kofi,mbaya mbovu. Usiongee nikiongea 🀣🀣🀣

Hapa sasa Celle akajua ataumizwa,na bahati tu alikua ametembea na spray ya pilipilil,akatoa mbio akaspray gaidi kisha akatoka mbio,mbaya mbovu,. Kwa lift na kuenda kuenda. Jemimah alimwambia ni sawa,utakimbia lakini hutaniponyoka. Tinah kalibakisha kido,...k**alizwe.

Kwa Tyron Asha amejifungia hataki kuongea na mtu. Amelia sana akiimagine Ray wake ako jela kwa sababu yake.

Asha aliamka akaona hatakaa hapa,akachukua briefcase akaeka manguo zake kurudi Mombasa. Beka alimuona akamzuia akamuuliza Asha sasa uende nitabaki na nani? Kumbe Saida alimuona akamuuliza unaenda wapi? Asha akasema anaenda Mombasa. Tyron alisikia akakuja,akauliza kuna nini hapa? Asha akasema anaenda Mombasa ju huku nik**a hasikizwi.

Tyrone alijaribu kuongea lakini wapi, Asha aliwapea orders akawaambia wako na 2hrs wamtoe Ray ndani la sivyo huku hakai 🀣🀣🀣

Kumbe Tinah na yeye aliambia mamake chenye kiliendelea. Akakuja direct hadi kwa Chris akabisha akiwa na machungu sana. Chris kufungua mlango,akakaribishwa na kofi,akaulizwa mbona uite mtoto wangu kwa room moja ukiwa na Jemimah? Chris yeye hajui anything... Jemimah akakuja akauliza Sabina shida ni nini,akaambiwa wachana na mtoto wangu or else utajua mimi ni kusema nini...Jemimah anacheka tu.

Lakini Chris alikuja akawekelea Jemimah kofi akamuuliza, kwani what have you done? Jemimah hakumficha akamwambia jana ulikuja ukiwa umelewa,nikachukua simu yako nikatext Tinah nikamwambia akuje kwa room pahali fulani,I just wanted to teach her a lesson 🀣🀣🀣

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Kile kitendo cha Chris kufight na Jemimah kilifanyika mbele ya Ivy mtoto wao..big mistake.

All in all Tyrone alipiga simu polisi akaseme Ray aachiliwe na apewe simu. Tyron akaambia Ray sikiza, nishakuachilia,ole wako nikupate na mtoto wangu tena utajua hujui.

Asha akapelekewa simu kuongea na Ray alafu kushika kakasema "sasa my love" 🀣🀣

Kwa Chris mtoto ako soo traumatised hadi hataki kuona babake. Si poa kugombana mbele ya mtoto ju Ivy ashaanza kusema dad hates us hadi anakupiga kila saa. Jemimah anajaribu kutetea Chris lakini Ivy si mjinga,akaambia mum,najua unatetea dad but I have a kwesheni....Jemimah akamwambia uliza ,Ivy akamuuliza mum,niambie tu ukweli, is he my real dad 😲😲Jemimah akashtuka akamwambia yeah,he is your dad,come on.
Mnaona, wazazi hamfai kufight mbele ya watoto, mkiwa mbele ya watoto kaeni watulivu,watoto wakishalala ndio muende mnyongane na huko mkikatana mashoka 🀣🀣above all, k**a still unamuona k**a mkeo,ama unamuona k**a mumeo,dont fight...nyinyi ni watu wazima bwana solve things k**a watu wazima and finish it with some good sex...ujinga wa kupigana bwana na bibi uliisha kitambo,,msikue mafala eish!. Mnafanya hadi nakasirika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chris alijaribu kumcall Tinah lakini Tinah alimwambia yoh, I dont want anything to do with you or your wife na unikome kabisa.

Chris akakuja kwa bar,kumbe Robert amekunywa usiku yote. Chris alikuja akaambia Robert sikiza, nataka uongee na sister yako or else nitafanya kitu mbaya. Robert alimwambia acha kunitishia bwana,mambo yako na Jemimah hainihusu na I hope she deals with you.

Asha ashaconfirm Ray ametolewa lakini babake akamwambia sikiza, Ray ashatolewa na wewe hutawai muona tena. Asha akauliza mbona nisimuone wakati nampenda? Akaambiwa hakuna ujinga wa kumpenda hapa, we are doing this for the best intrest of you,we just dont want you uwe kwa such kind of relationship. Woiye Asha, atafanya nini,anampenda Ray na sasa wazazi hawataki awe na Ray. Asha alikubali tu ila shingo upande.

πŸ˜‚πŸ˜‚Robert alifika kwake k**a Jemimah ashafika anamngoja. Robert amelewa,vibaya sana hadi Jemimah akamuuliza umeanza kukunywa tena, I thought uliachana na pombe,whats going on? Robert akamwambia siz,iam ok ni kuchoka tu. Jemimah akamwambia apana,this is not you,whats up? Ilibidi Robert aambie Jemimah ukweli,akamwambia issue ni Chris anataka nikuongeleshe anasema unamsumbua sana. Jemimah akamwambia k**a ni huyo achana na yeye enda uoge I have made coffee for you. Jemimah anafeel vibaya sana akiona Robert kwa hali hii.

Kuna mizigo Beka ameleta za Tinah kisha Tinah akaambia Beka,wakiuliza useme wewe ndio ulileta hii idea. Beka akashindwa mbona niseme wakati ni wewe ndio?? Tinah akamwambia useme venye nakuambia si venye yafaa useme,sawa..Beka akaitika kishingo upande...swali ni,huu mzigo una nini? Kesho wakati k**a huu majibu tutayapata.

04/12/2025

The moment when President Ruto stammered infront of Trump

04/12/2025

πŸ˜…

04/12/2025

This video below πŸ‘‡ is incredibly hard to watch.
It shows Journalist Kimani Mbugua interviewing Actor Bilal Wanjau two brilliant young men, full of life, energy, and big dreams.

Seeing them side by side, laughing and sharing their passions, hits differently now that they’re both gone. It’s heartbreaking to realise that the light we see in this moment is now only a memory.

Life is so fragile… here today, gone tomorrow.
Cherish your people while you still can.

πŸ•ŠοΈ Rest in peace, Kimani Mbugua and Bilal Wanjau.
Your talent and impact will never be forgotten.

Address

Nairobi
Moi

Telephone

+254728627033

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Updates Mtaani 254 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Updates Mtaani 254:

Share