Flospen TV

Flospen TV we do advertising and marketing of any business

YES! NINA MKE NA MTOTO.Mwanzilishi wa bendi ya Umoja music band  munga aweka wazi kwamba mwanamke aliye zaa nae haishi n...
09/01/2025

YES! NINA MKE NA MTOTO.

Mwanzilishi wa bendi ya Umoja music band munga aweka wazi kwamba mwanamke aliye zaa nae haishi nae ila ako na bibi kwa nyumba.
Shampuz Media
Esther Maingi Official
Papaa Adesh #003 presenter

PIGO SHULENI!Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya St. Anne's Makadara, Veronica Muli amepigwa kalamu na tume y...
09/01/2025

PIGO SHULENI!

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Wasichana ya
St. Anne's Makadara, Veronica Muli amepigwa kalamu na tume ya kuajiri walimu inchini TSC KENYA kwa kosa la kuwazuia wanafunzi kuingia shuleni baada ya kuchelewa na kulazimika kulala nje.
Shampuz Media
Papaa Adesh #003 presenter

Siku ni kesho barabara zote zinaelekea mariakani hii siyakukosa, kakangu Echo 254 atakuwa anakiwasha maenio hayo mbona u...
05/12/2024

Siku ni kesho barabara zote zinaelekea mariakani hii siyakukosa, kakangu Echo 254 atakuwa anakiwasha maenio hayo mbona ungoje kuja kusimuliwa?
Shampuz Media
Papaa Adesh #003 presenter
Papaa Adesh

29/11/2024

Burudani Experience lililo andaliwa na msanii wa hip-hop toka mkoa wa pwani Kaa La Moto litakuwa ni tamasha litakalofanyika kila mwezi na kupeana fursa wasanii kwa wasanii tofautitofauti eneo la pwani.
Hii leo ni kati ya wasanii walio pata fursa ya kutumbuiza kwenye tamasha hilo.

Esther Maingi Official
Shampuz Media
Papaa Adesh #003 presenter

Ushauri utapewa ila utendaji kazi ni wako.
29/11/2024

Ushauri utapewa ila utendaji kazi ni wako.


Ukitaka kufa mapema changanya wivu na umaskini. Shampuz MediaEsther NyambuPapaa Adesh  #003 presenterEsther Maingi Offic...
28/11/2024

Ukitaka kufa mapema changanya wivu na umaskini.

Shampuz Media
Esther Nyambu
Papaa Adesh #003 presenter
Esther Maingi Official
Papaa Adesh

Sometimes you need to be you in order to get the needed respect. Esther NyambuPapaa Adesh  #003 presenterShampuz Media
27/11/2024

Sometimes you need to be you in order to get the needed respect.

Esther Nyambu
Papaa Adesh #003 presenter
Shampuz Media

 Papaa Adesh  #003 presenterEsther Nyambu
17/11/2024


Papaa Adesh #003 presenter
Esther Nyambu

Caption zikuje sasa.. Papaa Adesh  #003 presenter
16/11/2024

Caption zikuje sasa..

Papaa Adesh #003 presenter

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Flospen TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share