24/04/2024
Hisia bhana ukilazimisha una weza kuingia mlangoni ukatokea kwenye dirisha nikey sema nakupenda namaanisha
Mapenzi sio nguo bidhaa ya kujaribisha
Love ❤️ ni A SET
Love ❤️ sio MARKET
Love ❤️ ni PRIVATE
Love ❤️ sio Concet
Love ❤️ ni MAGNET ku connect
Kufanya updating na NEW setting 😍