IBUKA FM RADIO

IBUKA FM RADIO A Trusted Online Radio & a Source for Education News & Politics.
⚡ Factual • Timely • Reliable
Be Our News Source! No insults or hate speech.

This page is specifically designed for matters as encouragement, empowering and motivation.

While in USA, Gachagua(DCP) Party Leader has spoken his mind regarding the suspected abduction of Standard Digital  medi...
02/09/2026

While in USA, Gachagua(DCP) Party Leader has spoken his mind regarding the suspected abduction of Standard Digital media journalist. His claims are unverified. Keep it here for factual updates .

02/09/2026

Elections will produce winners and losers, some will celebrate while others will be disappointed. In this new mandate, you will govern for Zambians, those who voted for you and those who did not. ~President Ruto to Zambian President Elect.

02/09/2026

WAJINGA MNICHAGUE MARA 4? Hata mimi nimechoka. Semi za mbunge mmoja kutoka Nakuru kabla ya kuwarushia wapiga kura mikate k**a Kuku.

BREAKING NEWS! Kauli za Babu zimeungwa mkono na wafwasi wengi mtandaoni huku wengine wakionekana kuwa wenye misimamo mik...
02/09/2026

BREAKING NEWS! Kauli za Babu zimeungwa mkono na wafwasi wengi mtandaoni huku wengine wakionekana kuwa wenye misimamo mikali.

01/09/2026

RISASI 6~Afisa mmoja kule Eldoret ambaye ana mwanamke wake wa ndoa nyumbani amempiga risasi mwanamke mmoja wa ndoa ambaye si mke wake baada ya kupatikana na mwanamume mmoja wa ndoa ambaye si mume wake, na hivi sasa mwanamume wa mwanamke huyu wa ndoa ambaye amaepigwa risasi anadai haki.

29/08/2026

MAFURIKO YA BARAKA JACARANDA: Bunge Lasitisha Shughuli Kupokea Huduma ya Henry The Band pamoja na Esau Tosh

Wakazi wa Jacaranda wamejitokeza kwa wingi wa kipekee huku wakiongozwa na ari ya kiroho kushuhudia na kupokea upako kutoka kwa wanamuziki mashuhuri wa Injili, Henry the Band na Esau Tosh, ambao wanafahamika kote kwa unyenyekevu wao na huduma yenye nguvu za kiroho.

Katika kile kinachoonyesha nguvu kuu ya mziki wa injili kutuliza kila nyanja ya jamii, Bunge la Jacaranda lilichukua uamuzi wa kihistoria kwa kusitisha vikao vyake vya kawaida ili tu wanachama na viongozi wajiunge na umati huu mkubwa kwenye ibada na sifa.

Tukio hili linazidi kuweka wazi jinsi muziki wa injili unavyovunja mipaka na kuunganisha jamii katika mshik**ano mmoja wa upendo na ibada.

Endelea kufuatilia na kusikiliza kila kinachojiri kupitia IBUKA FM RADIO — Karibu Nyumbani. Tunakuweka karibu na kitovu cha matukio yote kupitia Wimbi la Uhalisia.

29/08/2026

More than 138,000 police are now fully covered under USALAMA COVER~ William Samoei Ruto.

29/08/2026
Kauli za Spika wa Bunge kuhusu barua za kuajiri walimu TSC kupatikana Ikulu zinazua mchecheto wa majibizano huku wabunge...
27/08/2026

Kauli za Spika wa Bunge kuhusu barua za kuajiri walimu TSC kupatikana Ikulu zinazua mchecheto wa majibizano huku wabunge wakimtaka spika kufafanua na kumwaya mtama Zaidi. Ni nani ata P*k Ponki wa kwanza? Ikumbukwe, Kazi ya kuajiri na kusimamia walimu, pamoja na kutoa barua za ajira, ni jukumu la kikatiba la Tume yenyewe chini ya Kifungu cha 237(2)(b) cha Katiba ya Kenya ya 2010.

27/08/2026

HAIYAA! "LIPA 2B Ndio mpewe jina. "LINDA MWANANCHI si chama Chenu."

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IBUKA FM RADIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to IBUKA FM RADIO:

Shortcuts

Share