Becky foundation promotion

Becky foundation promotion Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Becky foundation promotion, Marketing Agency, Nairobi.

22/12/2023

✨Win 65,000Kshs RIGHT NOW ✨ CHRISMAS PROMOTIOΓ‘ πŸ’₯
Rangi gani haiko kwa 𝐁𝐞𝐧𝐝𝐞𝐫𝐚 𝐲𝐚 πŠπ„ππ˜π€πŸ‡°πŸ‡ͺ
1⚫ 2🟒 3βšͺ 4πŸ”΄ 5🟑

22/12/2023

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸπŸπ’π“ 𝐃𝐄𝐂
Follow Jonathan Peter

Weka LIKE ukiendelea kusoma.
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 THE WAR IN CASTLE
Tuko kwa marehemu Martha nyumbani,tunangoa Trisha akuje lakini sasa,eeh! Junior alitarajia Trisha mwenye alimuona kwa Shantell akuje lakini Trisha mwenye amekuja,cheki figure,wah! Cheki muenendo,aiiii, cheki kifua,hadi Junior mwenye alikua amekaa,aliamka akasimama yani hii mali yote niliacha? Ona Becky kawivu na mbao zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani Trisha ametokelezea,design ingine mwenda,hadi kila mtu akazubaa,si Junior, si lawyer na hata mimi Nandwa Isaac nilizubaa hadi ikabidi nimetoka nje kiasi nikuje hapa kwa gate ju nasikia kuna mtu amebisha.

Huku kwa gate nakwo, wakuu wameingia, wakiongozwa na nani? Lexy 'Katana' Jabulani,kisha kando yake ni uncle yake Moses Jabuani,akiwemo mamake mzazi Imelia Jabulani bila kusahau man of the hour,Tito Nandwa aah sorry Tito hata hananga jina lingineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Imelia wakati gate ilifunguliwa alistaajabu ju its been 23yrs tangu aone kasri lake,jumba la kifahari lenye alifukuzwa hakuamini analiona tena hadi Lexy wakaingia yeye akabaki hapo nje akistaajabu tu.

Haya turudi kwa mansion sasa,Trisha anaambia lawyer please mniharakishie I have a flight to catch,niende vacation ndio nirudi kukaa kwa hii nyumba yenye itakua yangu. Papers za divorce zililetwa waweke sahihi na hata Becky yuko hapo kushuhudia kila kitu. Trisha hata hakusoma aliweka tu sahihi na Becky amefurahi sana hatimaye bwana atakua wake peke yake k**a Shantell hatamfanyia ile kituπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Junior pia akachukua karatasi ndio aweke sahihi lakini punde si punde, Lexy akafika. kwanza ni Becky alimuona wa kwanza,wacha sasa Junior aangalia aone apart from Lexy ni Imelia na anamjua vizuri sana,mikono ziliganda akashindwa hadi kuweka sahihi hadi akamuita kwa jina "Imelia".

Becky alishindwa huyu ni nani anashtua Junior hivi akamuuliza "Jay,huyu ni nani", Lexy akaambia Junior, finally madhe mwenye wewe na mamako mliharibia life ju ya tamaa ndio huyu. Becky aliuliza Lexy

22/12/2023

Christmas gift join the link below to get awarded by BECKY PROMOTION FOUNDATION after comment it

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Becky foundation promotion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share