18/10/2025
watu wangu moshene iko hapa,.🤭Sasa uku kwetu block D..kuna this couple ya ma gen z..Dem ni house wife ..boy ni msee wa senke..house no 14 inakuanga tu na mapepo zake..kuna awa Boyz Fulani walkua wanaishi apo before the sonnies wakuje ..ao ma morio walkua Wasee wa forex..😂..siku moja agent akakamia rent kuingia akatoka aki struggle kutembea.🤣🤣.anyway ..iyo ni story ya siku ingine .saa Jana usiku..nlkua nmechill kwa keja..na watch ka series tu kwa simu ..mi ni neiba yao house no 13..kiasi nkaskia Dem ameuliza boy ..."na nkuulize aje manene..Millie ni nani?" boy akamshow ni client wake huanga anamkoll akichelewa kutokea job..Dem akamchapia a k**a Ako na number yake amhelp anataka kumwambia ambuyie pads atachukua akitoka tao ..atazichukua manene akimleta.. boy akashtuka akamuuliza kma wanajuana na huyo millie ..Dem akasema zii bt aka insist apewe number..manene akamwambia ama yy mwenyewe aende ambuyie izo pads bt Sonnie akakataa..ikabidi boyz apeane number bt akajua kimeumana..dame akakoll number ya millie na wakabonga ..manene akasema yy anaenda job ako na client wa night shift..akatoka ..sasa Sonnie akabaki solo kwa haoo..ak**ake call fulani akaita jamaa anaitwa austin ..akakam na ni kma iligulwa juu waliwasha ngoma..Sasa shida imetokea venye manene amerudi kighafla...akakuta ndugu ndo yupo kwenye kilele..akasema ata ataki vita ..anataka Austin ainame tu kma mwislamu..😂😂akaitisha salad .ngojeni kwanza nikafunge gate nakuja kumalizia😂😂😂😂😂
na mnifuate
# ya block D