Simon Wanjala

Simon Wanjala Сrypto exprt| DeFi | Blockchain |
support us through:
1. Till Number - 994481
Or
2.

Crypto Network BEP20 wallet address - 0xb49571F00143bed3eD72Ad2548517014bEbc6DB1

Ruto ali ingia state house aka igeuza na kua maskani yake binafsi,kwa sababub plan yake ni kukatalia hapa milele na mile...
13/05/2026

Ruto ali ingia state house aka igeuza na kua maskani yake binafsi,kwa sababub plan yake ni kukatalia hapa milele na milele!,
let him be aware that hapa tutamtoa cha nguvu,
moja kwa moja hadi Sugoi,

He fought Uhuru about alcohol sai hii ni maji anakunya,Huyu jama hukua hypocrite mwingine hatari! huyu na sumu hakuna to...
13/05/2026

He fought Uhuru about alcohol sai hii ni maji anakunya,
Huyu jama hukua hypocrite mwingine hatari!
huyu na sumu hakuna tofauti

Watu kutoka nchi tofauti tofauti jana walifanya maandamano ya amani ili kupitisha ujumbe kwamba Macron amekujia Madini a...
13/05/2026

Watu kutoka nchi tofauti tofauti jana walifanya maandamano ya amani ili kupitisha ujumbe kwamba Macron amekujia Madini ambayo inapatikana kenya,

Macron Amekuja ku hold the country hostage,k**a vile alimaliza nchi ambazo France ilikua Colonizers wao huko West Africa!

Macron amefukuzwa nchi nyingi sana Africa ikiwemo Bukinafaso baada ya kuwanyanyasa kwa miaka mingi!

Kuandamana wakati mtu maarufu anazuri nchi ni jambo la kawaida,linaonyesha ukomavu wa democrasy ya hio nchi,

Lakini amini usi amini Ruto alituma mapolisi almarufu the killer squode ambayo alitumia ku deal kuwaua ma Genz wakati wa Genz uprising 2023,Kushika na kuwachapa wa andamanaji hao

Marisasi na mabomu ya muoshi kutoka kwa kundi hilo la polisi yalitawala angani jana yote jijini Nairobi,

Wakenya wengi wakiwemo wazungu na wa China hata wahindi walishikwa na kupelekwa Cell!

Ruto ni Dictator

Aii hii nayo mulivuka sanaa,mnangoa hadi wind screen ya gari ya UN,Wezi waliamua kuonyesha UN by a practical example ven...
13/05/2026

Aii hii nayo mulivuka sanaa,mnangoa hadi wind screen ya gari ya UN,
Wezi waliamua kuonyesha UN by a practical example venye Kasongo hupora nchi bila huruma!
Ilis**ika pahali Antonio Guteres akisema they domenstrated what their president does!

Hii concert ya Jana Nayo iliweza,♥️💯🎊🇰🇪Africa Talent well orchestrated at its best,It was impressive,loving peace of art
13/05/2026

Hii concert ya Jana Nayo iliweza,♥️💯🎊🇰🇪
Africa Talent well orchestrated at its best,
It was impressive,loving peace of art

Usidanganywe na mtu hakuna faida wewe k**a mkenya utapata from this man vist to Kenya, na huo ndio ukweli wa mambo!
12/05/2026

Usidanganywe na mtu hakuna faida wewe k**a mkenya utapata from this man vist to Kenya, na huo ndio ukweli wa mambo!

Huyu jama ni gasia sana, Ni Raila alifanya afike pahali amefika but gasia ako na audecity ya Mock Raila in his death, wa...
12/05/2026

Huyu jama ni gasia sana, Ni Raila alifanya afike pahali amefika but gasia ako na audecity ya Mock Raila in his death, watu kweli hawana shukran!

Hyena was spoted early in the morning in Nairobi in front as Macron the president of France with Kipchoge were having th...
11/05/2026

Hyena was spoted early in the morning in Nairobi in front as Macron the president of France with Kipchoge were having their morning Run today!
Haijulikani ni nani alituma hio Fisi!

Madere wa kenya hukua impetient sana,Sasa Shimo ndogo mtapitaji gari mbili,Yani mmoja alishindwa tu kuongojea huyo mwing...
11/05/2026

Madere wa kenya hukua impetient sana,
Sasa Shimo ndogo mtapitaji gari mbili,
Yani mmoja alishindwa tu kuongojea huyo mwingi apite kwanza!

Huyu Anaitwa Wanjohi,he is top social media influencer in mt Kenya,he Suports Gachagua,This story will make you sad!Ile ...
11/05/2026

Huyu Anaitwa Wanjohi,he is top social media influencer in mt Kenya,he Suports Gachagua,
This story will make you sad!
Ile s**i ya Nominations za UDA Olkalao,
Huyu jamaa alikua abducted by police infront of Moses Kuria,
Alipelekwa hadi kwa women Rep wa Muranga ambae ni Rafiki mkubwa wa Ruto!
just imagine women rep alimvua nguo zote akabaki uchi wa mnyama,
aka anza kumcharaza mijeledi akiwa uchi!
Huyo women rep hakumalizia hapo,alianza kumfinya sehemu zake za Uzazi ambazo kwa kimombo zinaitwa balls!
Baadae alichukua Kisu na aka myoa Nywele zake!
Waah huyo mwanamke Ni mnyama!

Breaking News,Kulingana na blood sister ya Raila amefichua kwamba CS Treasury ambae anamezea kukua Kongpin wa wajaluo ni...
11/05/2026

Breaking News,Kulingana na blood sister ya Raila amefichua kwamba CS Treasury ambae anamezea kukua Kongpin wa wajaluo ni miongoni mwa watu ambao walihusika pakubwa kutumiwa na mtu mkubwa sana kwa serikali kurudisha Mzee huko Bondo futi sita chini!
Waah kumbe betrayal is Real!

Address

Nakuru
20100

Telephone

+254718424457

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simon Wanjala posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simon Wanjala:

Share