03/02/2023
👹THE DEVIL'S 😈 WOMAN ☠️
👻Part 004 🤟
Nikaangalia Riziki mtoto wetu nikajua huyu atakufa njaa mungu moja. 🥴......so nikaamua nifunganye virango zangu zote niweke Kwa gunia niende nikatafute Kazi Nairobi juu nasikianga Nairobi MTU awezi kosa Kazi.nikaweka staff zangu zote Kwa Ile gunia ya fertilizer ya DAP sijui mathe aliokota wapi juu alikuja ameibebea takataka 🥴 shida wewe shame on you 🙄.nikajiandaa kutoka but nikajua just incase nikose kazi Kwa haraka nitakuwa nahubiri uko mtaa napata Ile kidogo natuma home,💔so nikachukua Ile Bible ya Gideon Ile inaanzanga Mathew nilipewa na jirani nikienda form 1 🙄jirani akaniambia Bora iko na st Luke enda mwalimu ataelewa 🙄Kwanza nakumbuka hio siku nilipelekwa form 1 nilienda nimevaa kinyasa nilisoma nayo primary 🙄wacha Tu hio story nikikumbuka ata Waleo nalia😥.sasa nikaamua juu siwezi acha mtoto wacha niende Naye 🙄so nikaeleza familia then nikatoka gunia yangu Kwa kichwa mtoto mgongoni apo unless nieleze na picha ndio muelewe Ile shida😥 after kusema bye dad alinipea baraka 😥 akaniambia " simbaa go get luck na ukipata nilikufa don't cry wewe shikiria familia may God be with you 🤲.msee hio maneno ilinitoa machozi😒 🙄. 🙄.kutoka kwetu kufika Nairobi sio Safari refu ukiwa umeenda na gari juu tunalipanga 800 lakini saa hii akuna mafuta Ni 1000🙄shida ilikuwa Mimi naenda miguu na mahali naenda sijui 💔😥.nilianza Safari kitu 4:61am 🙄nilikanyanga barabara msee adi kitu saa mbili asubui 🙄nilienda nikiwaza vile naweza fika mtaa niangukie bahati niomoke nikujie mathe nimpeleke mathare atibiwe Naye Mzee nimpeleke hosi awekwe chuma 🙄.kichwa ilikuwa inaniuma Riziki alikuwa naye amelala 😡njaa ilikuwa imenibeba k**a silly .nikaamua nitulie kiasi kando ya barabara atleast ndio niweze kuamkia Safari nikiwa virgin😥.nikakalia kanyasi kalikuwa Apo 😥.zile sauti za magari zikaamsha mtoto 🙄.akaanza kulia 🙄 nikaanza kumwimbia tuwimbo twa kumfurahisha 🙄k**a vile inaumaa but itabidi uzoee🎶ile ya stivo simple boy🙄.watu kwa magari walipita wakinichungulia nik**a hawajawai ona mwanaume akinyonyesha🙄.enyewe mtoto Ni stress K**a wewe sio mama yake 😡shukuru mamako alikuwa na kazi 🙄Riziku alikuwa amejikunia na kujikojolea but shida ilikuwa nitambadirisha avae Nini then zenye amevaa nitatupa ama.nikiwa nimetulia nikastukia nishalala 🙄msee nililala adi nikasweat kwa mgongo kuteremka kwa matter core 🙄niliamshwa na sauti za maumbwa 🙄.kuamka nikastukia Sina mtoto .....next ata mtalia🙄💔