L-JAY FILMS Company

L-JAY FILMS Company Movie makers for Africa

03/09/2022

We're on our way coming

24/09/2021

My Talent, my Richness

26/07/2021

STORY: NELLY

TITTLE: MONEY IN LOVE

NELLY: BABY Uncle wangu aliyekuwa akinilipia hada ya shule Amesafiri bila kuniaga na hata sijuwi amekwenda inchi gani na baba mwenye nyumba yake ana dai kodi ya nyumba.

EMILE: pole sana mpenzi wangu. Uko wapi kwasasa ? Hautakiwi kupata tabu na mimi niko hapa. Kwanza naanza na hiyo kodi ya nyumba,nakutumia hiyo hela.ni kiasi gani cha pesa?

NELLY: ni laki moja na elfu ishirini ya umeme baby.

EMILE : Mbona hela ya kawaida mpenzi wangu?Nakutumia sasa ivi iyo pesa usijali. Nakupenda my love...

NELLY: Nitashukuru sana mpenzi. Nakupenda pia.

(Sim ina ring message ya pesa 120.000KM )

EMILE: Cherie umeipata hela ?

NELLY: nimeipata nashukuru sana baby.

EMILE: uko wapi kwa sas nikuone mpenzi?

NELLY: Niko busy mda huu,nitakutafuta jioni. (Emile number block)

EMILE: (calling Nelly... Sim unayopiga haipatikani kwasasa jaribu badae. 4 times)

JOHN : Nelly mpenzi wangu mbona ghafla hela yote hii kiasi kikubwa?

NELLY: John baby hiyo ni pesa ndogo tu. Nitakupa pesa ya zaidi ya hiyo 120.000KM nakupenda sana baby sina mwengine zaidi yako lazima nikuoneshe mapenzi na ku kujali. I love you.

JOHN: AAAAAAAH!!! Nakupenda pia malaika Nelly.njoo nikubusu (mahaba wekea pazia, shuka funika mpaka kule)

Asubuhi

NELLY: nachoka sana John
JOHN: nimekuandalia maji ya moto,tukaoge nikukande.

(ghafla simu ya JOHN inaita, kupokea shida, huku anakodoa macho kwa Nelly)

30/05/2021

NAONA BONGE UMEFULIA KAKA FULANI HADI UNAWATUMA WAFUASI KUIVUNJA HESHIMA NA KU MWAGA RADHI KWA KWA WALIOKUTOA SIGIMBI. KUMBUKA WALIOKUTANGULIA NI BABA ZAKO, ACHA KUJIFANYA HUJASOMA MWEHU. HEKIMA NA BUSARA NI MUHIMU KWENYE KUISHI

22/05/2021

Jamani hamjambo? Natumaini mumeamka salama. Ni ujumbe mfupi LJ Tuna mtu amepigwa mipanga ambae ni kiongozi wetu LJ ni Dieume Bonge supervisor alikua ku mudzi ku rangua mbuzi ndo wachewa wakamuvamia.

10/05/2021

N'gombe wa maskini hazai na hata akizaa huambulia kifo

07/03/2021

Hatua zenu ni nguvu na ushindi wenu LJay huwa hatuesabu au kufikiria ma Ex

06/03/2021

Karibuni wote ambao munaendelea ku like page yetu

Address

Lilongwe

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+265994042371

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when L-JAY FILMS Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to L-JAY FILMS Company:

Share