27/06/2021
Professional Website ni nyenzo ya msingi ambayo kila kampuni na biashara inaihitaji
Haijalishi ukubwa wa kampuni/ biashara yako professional website itakusaidia kukua kwa zaidi ya 70% kwa sababu zifuatazo..
✅ Inaonyesha Uaminifu na Uhalali wa biashara/kampuni yako.
professional website inaifanya biashara yako kuonekana ipo serious, ni halali na inaaminika
Bila website ni vigumu wateja kukupata achilia mbali kukuamini.
✅ Inatumika K**a nyenzo ya mauzo.
Website ni sehemu ambayo unaweka taarifa zote kuhusu biashara/kampuni yako hivyo ni rahisi kwa mteja kuifahamu vyema biashara/kampuni yako.
✅ Inakuwezesha kuwa mshindani wa brand kubwa.
✅ Inakuwezesha ku-connect na wateja wapya ( na kutunza waliopo)
✅ Inakuwezesha kutangaza na kuuza bidhaa/ Huduma
Tunatoa punguzo la bei kwa asilimia thelathini ( 30%) kwenye huduma website design kwa wateja wapya...
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp namba
068 225 0911 au tembelea website yetu ya
www.gati-tech.com