MAYAI BORA YA Kienyeji

MAYAI BORA YA Kienyeji Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MAYAI BORA YA Kienyeji, Advertising/Marketing, 87, Arusha.

18/04/2023

Tumekuw kidgo na changamoto ya upatikanaji wa mayai kutokana na Hali ya up baridi, kuku hawatagi Sana.
Kuku wa kienyeji kuliwa na ubaridi huwa uzalishaji unapungua san

18/04/2023

Habari za Leo wateja wetu wa nguvu.

Kaeni mkao soon mzigo unaingia sokoni, anza kuandaa oda yako mapema tu. Arusha offisi itaanza sooni kusambaza mzigo.
25/03/2022

Kaeni mkao soon mzigo unaingia sokoni, anza kuandaa oda yako mapema tu. Arusha offisi itaanza sooni kusambaza mzigo.

25/03/2022

Tukae mkao wa kula mzgo mpya unaingia sokoni soon.
Kienyeji Org kbsa hakuna chotara๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ

25/11/2020
Offer bado inaendelea, wahi sasa karibia itafikia mwisho.Mzigo mwingine sokoni tena kwa mara nyingine na bei ni ile ile ...
18/05/2020

Offer bado inaendelea, wahi sasa karibia itafikia mwisho.
Mzigo mwingine sokoni tena kwa mara nyingine na bei ni ile ile ya offer.
Tray 10500
Reja reja 400
Karibuni sana.
Tuwasiliane kwa 0752248032 au unawezafika officini kwetu jirani na idara ya maji sekei_ Arusha

Ucikubali kupitwa na hii offa ya mayai kienyeji kwa bei ya kutupwa kipindi hiki cha hali tete ya kiuchumi.Tumezingatia k...
06/05/2020

Ucikubali kupitwa na hii offa ya mayai kienyeji kwa bei ya kutupwa kipindi hiki cha hali tete ya kiuchumi.
Tumezingatia kipato kuendana na hali halisi.
Tray 11000
Reja rwja ni 450
Tnapatika Sekei idara ya maji.
Mawasiliano 075224 8032

KARIBU UHUDUMIWE.

COVID19 NI HATARI CHUKUA TAADHARI

Mayai kienyeji bei poa kbsa.Tray 11000Reja reja 450Karibuni sana, tunajali afya ya mlajiTuko  Sekei idara ya maji.Mawasi...
01/05/2020

Mayai kienyeji bei poa kbsa.
Tray 11000
Reja reja 450
Karibuni sana, tunajali afya ya mlaji
Tuko Sekei idara ya maji.
Mawasiliano: 0752 248 032

KARIBUNI TUWAHUDUMIE

COVID 19 Ni hatari tuchukue taadhari

Ni siku nyingine tena ambayo Tunamshukuru MUNGU kwa uzima aliyotupa. Napenda kuwakumbsha wateja wetu kuwa mzigo mpya ume...
23/04/2020

Ni siku nyingine tena ambayo Tunamshukuru MUNGU kwa uzima aliyotupa.
Napenda kuwakumbsha wateja wetu kuwa mzigo mpya umeingia sokoni tayar kw bei ile ile ya:
Tray 11500
Reja reja 450
Tunakufikia ulipo.
0752 248032

Mayai ya kienyeji kwa bei poa.Tunapatikana Arusha- sekei idara ya maji.Kwa wale wa arusha mzigo unakufikia ulipo.Tray sh...
20/04/2020

Mayai ya kienyeji kwa bei poa.
Tunapatikana Arusha- sekei idara ya maji.
Kwa wale wa arusha mzigo unakufikia ulipo.
Tray sh 11500
Reja reja 450
Mawasiliano
0752 24 8032
0714 671873
Taadhari COVID19

Address

87
Arusha

Telephone

+255752248032

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAYAI BORA YA Kienyeji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share