12/02/2020
Watu wengi wanamiliki biashara lakini wanaogopa gharama za kujitangaza...
Radio na Tv zinagharama kubwa katika matangazo hakuna wa kupinga...
Takwimu zinaonyesha kwenye kila watu tano wanne wanatia simu janja (smartphone ) na kila mwenye smartphone inawezekana anatumia mtandao mmoja kati ya Facebook, instagram, twitter, youtube ama hata Google.
Kupitia mtandao wowote unaotumia unaweza kutengeneza tangazo ambalo litakusaidia kukuza biashara yako na kiwango cha wateja ulio nao kwa sasa...
Faida kubwa ya mtandao unawafikia watu wengi kwa gharama ambayo wewe ndio mpangaji wa bajeti.