Tanzania Poultry Services

Tanzania Poultry Services Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Poultry Services, Advertising/Marketing, Arusha.

we're certified poultry services;
✓poultry education
✓consultants
✓incubator design
✓incubator repair and maintenance
✓incubator spare parts
✓project management

12/08/2026

Kanga
20000@

12/08/2026

Kanga wakubwa
Wapo gairo
Wanamiezi 6 na miezi 8
Bei ni 20000 kwa kila Moja
0686 064 810

Tanzania Incubator

Incubator Yako Inaonyesha Humidity(unyevu ) Vibaya? Tatizo linaweza kuwa upande wa...✅Sensor ya unyevu ✅Chanzo cha unyev...
26/06/2026

Incubator Yako Inaonyesha Humidity(unyevu ) Vibaya?

Tatizo linaweza kuwa upande wa...
✅Sensor ya unyevu
✅Chanzo cha unyevu (humidity pipe, humidity pump au mistmaker)
✅ Mzunguko wa hewa
✅ Ventilator


Leo tunaanza na tatizo la sensor 👇
Hizi Ndizo Dalili 5 Zinazoonyesha Sensor Ina Tatizo! 🔥

✅ Humidity inabaki kwenye asilimia ileile kwa muda mrefu bila kubadilika.
✅ Humidity inaonyesha 0%, 99%, 100% , LLL, HHH ,Er.., au .... muda wote.
✅ Mfumo wa kuongeza unyevu (humidifier/pump) hauwaki au hauzimiki.
✅ Ukiongeza maji ndani ya incubator lakini humidity haisogei.
✅ Humidity inaruka-ruka ghafla bila sababu.

🛠️ Test rahisi ⚡Funika sensor kwa kitambaa chenye unyevunyevu kwa sekunde 20 hadi hadi 40. Ikiwa asilimia ya humidity haiongezeki, sensor au waya zake zinaweza kuwa na hitilafu.
⚠️ Kumbuka ⚡Wakati mwingine tatizo si sensor yenyewe bali ni waya, connector, au kutu iliyosababishwa na unyevu ndani ya incubator.

Kwa ushauri, matengenezo, na vifaa vya incubator:
📞 0686 064 810
Tanzania Incubator Wataalamu wa Incubator na Hatchery Solutions.

👇👇
Je, incubator yako imewahi kuonyesha tatizo la humidity? Tuambie kwenye comments dalili ulizoziona.

17/06/2026

Spare parts

16/06/2026

Spare parts za incubator
Vifaa vya incubator CHIMBO ni Moja tu Tanzania Incubator

Incubation trays
Infrared bulb 💡
Turning motor
Limit switch
Exaust fan

+255686064810

14/06/2026

Heater

14/06/2026

Heating element
Heater
Watts 200
Zipo kwetu bei ya jumla na rejareja unapata




0686 064 810

1584 egg incubator  tested and calibrated Full automatic  upande wa JOTO, UNYEVU na UGEUZAJI WA MAYAIUtaipata kwetu Tanz...
06/06/2026

1584 egg incubator tested and calibrated

Full automatic upande wa JOTO, UNYEVU na UGEUZAJI WA MAYAI

Utaipata kwetu Tanzania Incubator kwa bei ya ofa ya TSH 2.1M

0686 064 810

Cup ni**le .Zinapatikana kwetu Tanzania Incubator  kwa bei ya ofa ya tsh1500 kwa pc Moja Faida za kutumia cup ni**le dri...
06/06/2026

Cup ni**le
.Zinapatikana kwetu Tanzania Incubator kwa bei ya ofa ya tsh1500 kwa pc Moja

Faida za kutumia cup ni**le drinkers kwenye mabanda ya kuku
.Maji hubaki safi..Hupunguza upotevu wa maji..Hupunguza magonjwa..Huokoa muda na kazi ...Huboresha ukuaji wa kuku

Kwa ufugaji wa kisasa, cap ni**le ni mojawapo ya mifumo bora zaidi ya kunyweshea kuku.

0686 064 810
**ledrinkerstanzania


Ceramic disc za humidifier/ mistmaker zinapatikana kwetu Tanzania Incubator Usitupe tena humidifier yako, nunua ceramic ...
17/05/2026

Ceramic disc za humidifier/ mistmaker zinapatikana kwetu Tanzania Incubator

Usitupe tena humidifier yako, nunua ceramic disc na ubadilishe uendelee na kazi k**a kawaida ... UFUGAJI NI AJIRA INCUBATOR NI OFISI

ceramic disc utaipata kwetu kwa TSH 5000 tu

0686 064 810



Address

Arusha

Telephone

+255686064810

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Poultry Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Poultry Services:

Shortcuts

Share