27/05/2026
TECTO COMMUNITY COMPANY LTD
( TECTO TOUR & TRAVEL)
" African tourism , hospitality & Conservation ambassador "
LAKE VICTORIA ZONE OFFICE - BUNDA MARA - TANZANIA
TANZANIA BIOSPHERE & NATURAL CONSERVATION PROJECT - TBNC PROJECT
happy world 🌎 Environmental Conservation Day
5/ June/2026
TECTO COMMUNITY COMPANY Through TECTO TOUR & TRAVEL lake Victoria zone Office we are celebrating our 1 June/2026
kuelekea siku ya mazingira Duniani TECTO COMMUNITY COMPANY kupitia TECTO TOUR & TRAVEL kanda ya ziwa Victoria Tunawakaribisha na kushiriki zoezi la kufanya usafi pembezoni mwa Barabara ya Mwanza-Msoma kuanzi mto Rubana hadi lango la Ndabaka ( western serengeti National park - Ndabaka gate) kwa kuokota uchafu na kutoa Elimu kuhusu utalii ikolojia, uhifadhi wa mazingira na mimea pia utafurahia mazingira halisia kwa kufanya utalii wa matembezi ( walk tour) tukio hili limendaliwa TECTO COMMUNITY COMPANY kanda ya ziwa kwa kushirikiana na wadau wa utalii, mazingira , Uhifadhi na wadau wa maendeleo
" kauli mbiu : " pambana na mabadiliko ya tabia ya inch kwa vitendo "
mgeni rasmi: Prof Juma Elias Elias
mkurungenzi TECTO COMMUNITY COMPANY ( Chief Director Officer)
pia kutakuwa na zoezi la ugawaji wa miche ya miti ya matunda kwa watakao shiriki
WhatsApp/ Call : +255 746 - 988 - 397
call : + 255 785 064 024
Email contact:
[email protected] - lake Victoria zone Office - Bunda Mara Tanzania
[email protected] - Head office - Arusha Tanzania.