Amosi Nyanda

Amosi Nyanda Nitakufundisha Jinsi Ya Kuandika Matangazo (Captions) Yanayouza Zaidi Mtandaoni Kwa Kutumia Formula ya Ajabu ya "The MCB"
(1)

Jinsi Ya Kuuza Chochote Kwa Kutumia STORY...Hiki unachoenda kukisoma Ndani ya Sekunde 60 Zijazo kitakugeuza Kuwa: .   “S...
22/12/2024

Jinsi Ya Kuuza Chochote Kwa Kutumia STORY...
Hiki unachoenda kukisoma Ndani ya Sekunde 60 Zijazo kitakugeuza Kuwa:
.
“Selling Machine”
Kivipi?...
Ngoja nielezee Hapa Chini...
Unapouza Chochote Unatakiwa kuelewa Kwamba:
“Watu Huwa Hawanunui Vitu Bila Sababu”
NA:..Kitu Cha Kushangaza ni Kwamba:
Watu Huwa Hawanunui Vitu Vitu Kwa Kutumia AKILI Kabisa.....Huwa wananunua Vitu Kwa Kutumia MOYO
Ngoja nielezee vyema Hapa Chini...
Kwenye Akili Kuna Kitu Kinaitwa “LOGIC”...(Mantiki)
NA:
Kwenye Moyo Kuna Kitu Kinaitwa “HISIA”
Ndio Maana Wataalamu wa Mauzo Duniani Wana msemo wao unaosema Hivi...
“People Buy By EMOTIONS...and they Justify by LOGIC”
Maana yake ni Kwamba:
“Watu Hununua Vitu Kwa Kutumia Hisia Kisha wanahalalisha Maamuzi Yao Kwa Kutumia Mantiki”
Kwahiyo:
Ukitaka Kuuza Zaidi Tumia STORIES....
Usiwafanye Wateja Wafikiri na Kutumia AKILI pindi wanaponunua.....wafanye Wahisi!
Ndio Maana 99% ya Matangazo yanayofanya Vizuri Duniani Yana Kitu Kimoja Kinachoitwa:
“STORY”
NA:
Ujuzi Huo unaitwa:
“Storyselling”
Je Uandikaje Story Yako Pindi Unapotaka Kuuza Chochote Kwa Kutumia Story?
Hii Hapa Chini FORMULA...
Hata Siku Moja usiifanye Story Yako Itabirike Kwa Mteja Jinsi itakavyoisha..Ndio Maana hutakiwi Kuanza Story Yako na Maneno k**a:
-Nilizaliwa Katika Familia ya Kimasikini
Kwanini?
Kwasababu watajua Kabisa baadae Kwenye Story Utakuwa Tajiri
Badala yake:
Anza Story Yako Kwa:
“Drama & Curiosity”
Kwanini?
Ili Kuteka Attention ya Mteja wako asome Mpaka Mwisho
Story zinazofanya Vizuri Sokoni ni zile Zinazoanza Na:
“DRAMA & CURIOSITY”
Mfano:
-Sitasahau Siku niliyosimama Pale k**a Mjinga
-Sitosahau Siku Niliyofumamiwa na Mke wa Mtu
-Mme Wangu alinitishia Kunipa talaka na kuniacha na watoto Wawili...
-Alinipigia Simu 2:15am Huku analia...
-Baada ya Kugundua kuw a Naenda Kufa nilijiandaa kumuua Dakitari
Anza Story Yako na Kitu ambacho Kitateka Attention Ya Mteja wako Ili asome Mwaka Mwisho
Kitu Adimu Zaidi na chenye Thamani Kubwa Zaidi Mtandaoni ni:
.
“Attention ya Wateja wako”
Attention Ndio Iliyobeba Pesa Zako Kwenye Matangazo Yako

Voila!

“Unahitaji Kitu Hiki KIMOJA Tu Ili Kufanikiwa Kwenye Biashara Yoyote Utakayofanya Ndani Ya Mwaka 2025”Kitu Hiki KIMOJA s...
08/12/2024

“Unahitaji Kitu Hiki KIMOJA Tu Ili Kufanikiwa Kwenye Biashara Yoyote Utakayofanya Ndani Ya Mwaka 2025”

Kitu Hiki KIMOJA sijakisema Mimi...
..alikisema Legendary Copywriter “Gary Halbert” Miaka ya 1980’s Baada ya:

Kuandika Copy Zilizotengenesa Zaidi ya:

“$1BILLION”

Ni record Ambayo haijawahi Kuvunjwa Mpaka Leo
Tetesi zinasema soon itaingizwa Kwenye Kitabu Cha “Guinness”
Kwenye Moja ya Interview Zake Gary Halbert aliulizwa:
Ni Siri Gani Kubwa Zaidi Iliyobeba Pesa Katika Biashara yeyote?
Gary Halbert Hata hakuwaza mara Mbili alisema Neno Moja Tu nalo ni:

“O͟F͟F͟E͟R͟”

Baada ya Hapo akasema:

(Nanukuu)
“Your OFFER is by Far the Most Element in your Entire Sales Message.....Think More about How to Sweaten your OFFER than Any Other Aspect of Writing Copy
Know this: Strong Copy Will Not Overcome a WEAK Offer..but in Many Cases, a Strong Offer Will Succeed in spite of Weak Copy Written by Marketing Morons”
Kwa Lugha Rahisi alikuwa anamaamisha Hivi:
“OFFER Ndio Kipengele Muhimu Zaidi Kwenye Matangazo Yako
Kwahiyo:

Kabla ya Kuandika Chochote Fikiria kwanza Kuhusu Kunogesha Offer Yako

Kwasababu:

Hata Siku Moja Tangazo zuri Lenye Offer Mbaya haliwezi Kulizidi Tangazo Baya Lenye Offer Nzuri lililoandikwa na Mtu Ambaye hana uelewa wowote wa Matangazo
NA:
Watu Wengi sana Huwa wanachanganya Vitu hivi VIWILI Hapa Chini...
“Offer & Discount”
Offer sio Sawa na Punguzo la Bei ..Offer ni Zaidi ya Punguzo la Bei
Offer ni Perceived Value ya Kile Unachokiuza Mbele ya macho ya Mtu Ili ajione Mjinga k**a hatanunua Kile Unachokiuza
Na:
Offer ni Ujuzi unaojitegemea Kabisa unaitwa:
“OFFER CREATION”
NA:
Ili Kujenga Ujuzi Hakikisha Unasoma Vitabu Hivi Hapa Chini Zaidi ya Mara 5...
Aidha Usome Hivi Vitabu Hapa Chini Zaidi ya Mara 5...
1). $100M Offer-Alex Hormozi
2). Mafia Offer-Ronald nzimora
3). The Irresistible Offer-Mark Joyner
Baada ya Hapo:
Utakuwa na Uwezo wa Kuandika Offers Ambazo Wateja watapanga Foleni wakisukumana na kukuomba wakupe Hela Zao
Offer zako zitakuwa na Uwezo wa Kufanya “STAMPEDE” Kwa Wateja wako
Voila
Your Rich Uncle...
Dragon!

Ngoja Nikuoneshe Jinsi Ya Kutengeneza Kuanzia Tshs 1M+ HARAKA Mtandaoni...(Muda wowote Unaotaka)Mtu wa kwanza Kutumia Si...
21/11/2024

Ngoja Nikuoneshe Jinsi Ya Kutengeneza Kuanzia Tshs 1M+ HARAKA Mtandaoni...(Muda wowote Unaotaka)

Mtu wa kwanza Kutumia Siri Hii alitengeneza $1.3M Ndani ya Masaa 24 Kwa Kuuza eBook yenye Pages 55 ya Jinsi ya Kumfundisha Kasuku Kuongea...
..anaitwa "Frank Kern"

Hiyo ilikuwa ni Mwaka 2006!

NA:
..mara yangu ya Kwanza Kutumia Siri Hii niliweza Kutengeneza Zaidi ya Tshs 1.9M+ Ndani ya Siku 30 Kwa Kuuza eBook Yangu ya MGODI
..Hiyo ilikuwa ni Mwaka 2020!

NA:
..Ndio ilikuwa Siku yangu ya Kwanza Kutengeneza Pesa Nyingi Mtandaoni Kwa Kuuza eBook

(Hint: Hii Ndio Silaha yangu ya Siri Muda Wote)

Kabla ya Kutengeneza Tshs 1.9M Ndani ya Siku 30....
..nilikuwaga Nadhani ni Ngumu sana Kutengeneza Zaidi Milioni Moja Kwa Mwezi Mtandaoni

Mpaka Siku niliyoona Mtu anaitumia Hiyo Tshs 1M Kwenye Matangazo Mtandaoni Ndani ya Siku Moja Tu

Kuna Huyu jamaa nilikutana nae anatumia Tshs 1M Kila Siku kwenye Matangazo ya Kulipia Fb & Insta na Ana-PRINT Zaidi ya Tshs 97M+ Kila Week!

Nilipomuuliza Bro unafanyaje?

Akanipa jibu Moja Tu...

"BULK Mentality"

(Yaani Kukifanya Kitu Kwa Ukubwa/Wingi Bila Uwoga)

Akaniambia:

"Nyanda hutengenezi Pesa Nyingi Kwasababu Hauna Kitu Kinachoitwa...

"BULK Mentality"

UNAOGOPA Kupoteza Pesa!

Unadhani Matangazo ni EXPENSES Badala ya Investment

Ngoja nielezee Maana ya "BULK Mentality" Kwa Mifano Ili uelewe vyema...

Ofcourse ni Mchezo wa Namba!

-Ukitangaza Bidhaa Yako Kwa Watu 1,000 na 1% Wakanunua Hao ni Watu 10

-Ukitangaza Kwa Watu 10,000 na 1% Wakanunua Hao ni Watu 100!

-Ukitangaza Kwa Watu 30,000 na 1% Wakanunua Hao ni Watu 300!

Hembu angalia Hii...

Ukitangaza Kwa Watu 100,000 na 1% Tu Wakanunua Hao ni Watu 1,000!

Umegundua Nini?...

% Ipo CONSTANT Lakini Idadi ya Watu wanaonunua inaongezeka!

Siri Hii inaitwa:

"DISTRIBUTION"

Big boys Wote Sokoni wanacheza Hii game!
..Ndio Maana wanapiga Pesa Nyingi mno...na hawatakwambia!

Focus Yao Kubwa ni Offer Yao kuonekana mbele ya macho ya Watu Wengi Zaidi sio Pesa za Matangazo

Sasa Hembu fikiri Idadi ya Watu wanaonunua iongezeke Mpaka 2% au 3% Tu

Itakuwa Stampede!

I hope Umepata Kitu!

Stay Tuned!

Voila!

Amosi Nyanda!

Jinsi Ya Kutabiri Kiasi Cha Pesa Utakachotengeneza Ndani Ya Mwaka 2025!Formula Hii nilijifunza Mwaka 2022 Kutoka Kwa men...
20/11/2024

Jinsi Ya Kutabiri Kiasi Cha Pesa Utakachotengeneza Ndani Ya Mwaka 2025!

Formula Hii nilijifunza Mwaka 2022 Kutoka Kwa mentor Wangu "Eben Pagan"

NA:
..Ndio Formula iliyonisaidia Kutimiza Kwa Zaidi ya 99% ya Malengo yangu ya Kifedha Kwa Miaka Miwili Mfululizo

Ina Vihesabu kidogo...

Kwahiyo:

Itakubidi uchukue kalamu na Karatasi...

Tayari?...

Ok Vizuri...ngoja nikuvunjie vunjie Ili uelewe Hapa Chini

1).Unataka Kutengeneza Kiasi Gani Ndani ya Mwaka 2025?....

Andika jibu lake Pembeni Kwenye Diary Yako ya Siri...

Tuseme ni Tshs 100M!

Then...

Baada ya Hapo....

2). Chukua Hiyo Tshs 100M halafu Gawanya Kwa miezi 12!

Hiyo ni Sawa na Tshs 8.3M!

Si Ndio?...

Maana yake ni Kwamba:

Unatakiwa Kutengeneza Tshs 8.3M+ Kila Mwezi Ili Kufika Target Yako ya Mwaka

Well...Mpaka Sasa Tayari tunayo Figure!

LAKINI...
..haijamilika Bado!

NA:
..Kila Mtu anaweza Kufika Mpaka Hatua Hiyo!

Sasa baada ya Kupata Target ya Mwezi...

3). Chukua hicho Kiwango Gawanya Kwa Bei ya Kitu unachotaka kukiuza

Mfano:

Unataka Kuuza Course Yako Kwa Tshs 100,000

Chukua Tshs 8.3M Gawanya Kwa Tshs 100,000

Hiyo ni Sawa na 83!

Hiyo Ina Maana Gani?...

Maana yake ni Kwamba:

Ili Kufika Target Yako ya mwezi ya Tshs 8.3M Unatakiwa Kuuza Bidhaa Yako yenye Thamani ya Tshs 100K Kwa Watu 83

Kwahiyo:

Kila Mwezi unahakikisha Unauza Bidhaa Yako Kwa Watu 83 Piga ua!

Je Umegundua ni Neno Gani Muhimu Zaidi Kwenye Kufika Target Yako?

Yes Upo Sahihi...ni Neno KUUZA...(Sell)

Maana yake ni Kwamba:

Unahitaji KUUZA Kitu Ili Kufika Target Yako ya Mwezi na Mwaka Mzima
Je Target Yako ya Mwaka 2025 ni Kutengeneza Kiasi Gani?...

Hembu Nambie Hapa Chini Kwenye Comments!

Ciao!

Hii Ndio Aina ya Biashara Itakayokulipa Maisha Yako Yote...Aina ya Biashara unayoenda Kuisoma Ndani ya Muda Mfupi Ujao.....
21/08/2024

Hii Ndio Aina ya Biashara Itakayokulipa Maisha Yako Yote...

Aina ya Biashara unayoenda Kuisoma Ndani ya Muda Mfupi Ujao...
..itakulipa Maisha Yako yote Hata k**a una Miaka 97+

Na Hii Ndio Story Fupi:

Siku Kadhaa Zilizopita Rafiki Yangu alinunua King’amuzi Kwa bei anayodhani ni “Ndogo Sana”

Wakati tunaongea akawa anasema:

Hivi Nyanda inawezekanaje Kitu k**a Hiki kikauzwa Kwa Bei kitonga Kiasi Hiki?...akatikisa Kichwa

Nilishangaa Rafiki Yangu ameshindwa Kugundua Aina ya Biashara iliyofanyika pale

Ni Kweli Kampuni ya Ving’amuzi ilimuuzia King’amuzi Kwa bei ya HASARA Sana
.. Nina Uhakika hawakutengeneza FAIDA yoyote Ile

Kwanini?...

Jibu ni Rahisi Tu Kwamba:

Ni Kwasababu Wanatumia Aina Hii ya Biashara unayoenda Kuisoma Ndani ya Sekunde 60 Zijazo
.. Kwahiyo utaweza Kuuza Bidhaa/Huduma yako Hata Kwa HASARA na bado Ukatengeneza FAIDA Kubwa baadae

Na Hivi ndivyo inavyofanya Kazi:

Kampuni ya King’amuzi ita-cover Gharama zake Zote Kutokana na Malipo atakayokuwa Anafanya Mteja Kila Mwezi

Mpaka Sasa najua Tayari Utakuwa umeshajua naongelea Biashara Gani...(Wewe una Akili)

Aina Hii ya Biashara inaitwa:

S͟U͟B͟S͟C͟R͟I͟P͟T͟I͟O͟N͟ ͟B͟U͟S͟I͟N͟E͟S͟S͟ ͟M͟O͟D͟E͟L͟

Na:

Mfano wa Aina Hii ya Biashara ni:

-DSTV

-Azam Tv

-Netflix

-Makampuni ya Simu k**a...(Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel Nk)

Software Companies Nk!

Pesa za Aina Hii Zinaitwa:

“W͟a͟t͟e͟r͟ ͟M͟o͟n͟e͟y͟”...(a.k.a Pesa Maji)

Maana yake ni Pesa Zinazotiririka kila Mwezi

Jinsi ya Kufanya Aina Hii ya Biashara ni Rahisi Sana

Fanya Hivi:

1). Fungua Biashara

2). Tatua Tatizo Fulani Kwa Watu

3). Wafanye Hao Watu wakulipe Kila Mwezi Kwa Kutumia Bidhaa/Huduma yako

Then Booom Voila!

Tayari Utakuwa umeshatengeneza Aina ya Biashara inayoitwa:

“S͟u͟b͟s͟c͟r͟i͟p͟t͟i͟o͟n͟ ͟B͟u͟s͟i͟n͟e͟s͟s͟ ͟M͟o͟d͟e͟l͟”͟

Kila Biashara inaweza Kugeuzwa Kuwa Subscription Business k**a utawaza Kwa Kina

Je Unawezaje Kuigeuza Biashara Yako Kuwa Subscription Business?

Waza Kuhusu Hilo

Hiyo ni Homework nakuachia!

Nina Imani itasaidia

Ciao!

Amosi Nyanda!

FORMULA Ya Kutengeneza BAHATI Ya Kudumu Kwenye Chochote unachokifanya.Kabla ya kuiona FORMULA Ndani ya Sekunde 60 Zijazo...
09/08/2024

FORMULA Ya Kutengeneza BAHATI Ya Kudumu Kwenye Chochote unachokifanya
.Kabla ya kuiona FORMULA Ndani ya Sekunde 60 Zijazo nataka kwanza Uelewe Vizuri Kitu Hiki Kimoja Hapa Chini...

B͟a͟h͟a͟t͟i͟ ͟H͟a͟i͟j͟i͟ ͟Y͟e͟n͟y͟e͟w͟e͟ ͟I͟n͟a͟t͟e͟n͟g͟e͟n͟e͟z͟w͟a͟

NA...

Hii Ndio Sababu Hapa Chini....

Siku Kadhaa Zilizopita niliingia Kwenye Program ya Mtaalamu Mmoja wa Mauzo Anaitwa “Eben Pagan”

Ndio ilikuwa Siku yangu ya kwanza Kusikia k**a Duniani Kuna Formula ya Kutengeneza BAHATI Yako Mwenyewe

Kutokana na Eben Pagan hii Hapa Chini Ndio FORMULA ya Kutengeneza BAHATI Yako Kwenye Chochote unachokifanya...

Alisema...Bahati ni Muunganyiko WA:

“͟E͟x͟p͟e͟r͟t͟i͟s͟e͟ ͟+͟ ͟E͟x͟p͟e͟r͟i͟e͟n͟c͟e͟ ͟+͟ G͟r͟e͟a͟t͟ ͟M͟e͟n͟t͟o͟r͟s͟ ͟+͟ ͟G͟r͟e͟a͟t͟ ͟A͟d͟v͟i͟c͟e͟

Nimekuwa nikifikiria Kwa kina mno Kuhusu FORMULA Hii na nimekuja Kugundua Kwamba:

“͟E͟b͟e͟n͟ ͟P͟a͟g͟a͟n͟ ͟y͟u͟p͟o͟ ͟S͟a͟h͟i͟h͟i͟ ͟1͟0͟0͟%͟”͟

Twende tuivunje vunje Pamoy Hii FORMULA Hapa Chini...

1). Expertise= Uwezo wa Kukifanya Kitu Fulani Vizuri Zaidi Kuliko Wengine

2). Experience= Vitu Unavyojifunza Kutoka Kwenye Hicho Kitu unachokifanya

3). Great Mentors= Watu Ambao Tayari wameshafanikiwa Kwenye Kile Unachotaka kukifanya na Wana MAARIFA na Uzoefu Mkubwa Kuliko Wewe

4). Great Advice= Ushauri Kutoka Kwenye Vitabu, Courses, Masterclass na Watu wanaokuzunguka

Ukiwa na Vitu Vyote 4...basi ni UHAKIKA Kufanikiwa Kwenye Chochote unachokifanya

ILA...

Formula yote Hiyo inaanza na Kitu KIMOJA ambacho ni:

“͟E͟x͟p͟e͟r͟t͟i͟s͟e͟”͟ ...(a.k.a Utaalamu)

Je Unapataje UTAALAMU?...

Unapata UTAALAMU Kwa Kutafuta TAARIFA zinazohusu Hilo eneo unalotaka Kuwa Vizuri
..Kisha unaweka hizo TAARIFA ulizozipata Kwenye VITENDO

K**a Jinsi “Aristotle” Alivyosema:

“T͟h͟e͟ ͟P͟u͟r͟p͟o͟s͟e͟ ͟O͟f͟ ͟K͟n͟o͟w͟l͟e͟d͟g͟e͟ ͟I͟s͟ ͟A͟c͟t͟i͟o͟n͟.͟.͟.͟N͟o͟t͟ ͟K͟n͟o͟w͟l͟e͟d͟g͟e͟”͟

Tafasiri yake ni Kwamba:

“Kusudi la MAARIFA ni VITENDO...sio MAARIFA”

Utaalamu wowote unakuja Kutokana na Muunganyiko WA:
“͟M͟A͟A͟R͟I͟F͟A͟ ͟+͟ ͟V͟I͟T͟E͟N͟D͟O͟”͟
ILA:

Kwa Bahati Mbaya ni Kwamba:

Watu Wengi ni WAVIVU wa Kujifunza...

“Hawataki Kusoma Vitabu Wala Courses LAKINI Bado Wanataka Kufanikiwa”

HOW?...

Wake Up!
Voila
Your Cousin
Amosi Nyanda

Usisogee Sana Karibu na Jua!Rafiki Mpendwa...Hii Ndio Itakuwa Makala Muhimu Zaidi utakayoisoma Ndani ya Mwezi HuuNa Hii ...
08/08/2024

Usisogee Sana Karibu na Jua!

Rafiki Mpendwa...

Hii Ndio Itakuwa Makala Muhimu Zaidi utakayoisoma Ndani ya Mwezi Huu

Na Hii Hapa Chini Ndio Sababu:

Unajua tunaishi Katika Karne yenye Bahati Zaidi Kuliko Zote Tangu Dunia iumbwe

NA...
..hiyo yote ni Kutokana na:

“T͟E͟K͟N͟O͟L͟O͟J͟I͟A͟”

Hasa hasa I͟N͟T͟E͟R͟N͟E͟T͟

Katika Dunia ya Sasa Mtu yeyote Ambaye yupo Serious anaweza Kutoka Kwenye Kutengeneza Tshs 0 Mpaka Mamilioni Ndani ya Muda Mfupi Mno

Binafsi nawajua Vijana Wengi Wadogo wanaotengeneza Zaidi ya Tshs 10M Kila Mwezi Mtandaoni
..Tena Wengine Bado wapo Vyuoni

NA...
..Pia nimeona VIJANA Wengi Wadogo Wakipata Mafanikio Makubwa Online...

LAKINI...

Wanakuja Kuponzwa na Hiki Kitu Kimoja Tu:

W͟a͟n͟a͟s͟o͟g͟e͟a͟ ͟K͟a͟r͟i͟b͟u͟ Sana ͟n͟a͟ ͟J͟u͟a͟ ͟n͟a͟ ͟K͟u͟p͟o͟t͟e͟a͟

Labda Unaweza Ukawa Unajiuliza namaanisha Nini ninaposema...

“Kusogea Karibu sana na Jua?”.
Well...Hilo ni Neno nililolitoa Kwenye Story ya Mtu mmoja anaitwa...

“I͟c͟a͟r͟u͟s͟”

Icarus ni story ya Kishujaa ya Kigiriki Iliyotokea Kati Kati ya Mwaka:

“2,͟6͟0͟0͟-͟1͟4͟5͟0͟B͟C͟”

Kutokana na story ni Kwamba:

Icarus na baba yake walifungwa Katika Moja ya Gereza Kubwa lililopo kati kati ya Kisiwa

Gereza Ambalo hakuna Mfungwa aliyewahi kutoroka

ILA...

Baba yake na Icarus akatengeneza MABAWA kisha akayagandisha Mwilini Kwa Kutumia Nta
..Ili waweze Kuruka na kutoroka gerezani
..Ila baba akamuonya mwanae Icarus Kwa kumwambia

“Icarus Usipae na Kuruka Juu sana Ukasogea Karibu na Jua...
..Ukifanya hivyo Nta Zote zinazoshikilia mabawa zitayeyuka na utaangukia Baharini utazama na kufa”

LAKINI...

Icarus Kutokana na Kiburi na Dharau hakumsikia baba yake...

Hatimaye akaruka Juu Zaidi akasogea Karibu na Jua Nta Zikayeyuka Mabawa yote yakalegea akaangukia Baharini akazama na Kufa

Kuna Vitu Vingi sana Vya Kujifunza Kutoka Kwenye Story Hii...

LAKINI...

Kitu Kimoja ambacho kipo Wazi ni:

K͟i͟b͟u͟r͟i͟ ͟n͟a͟ ͟D͟h͟a͟r͟a͟u͟ ͟Z͟i͟n͟a͟z͟o͟k͟u͟j͟a͟ ͟K͟u͟t͟o͟k͟a͟n͟a͟ ͟n͟a͟ ͟M͟A͟F͟A͟N͟I͟K͟I͟O͟

P. S: Hakuna Kitu KINACHOFELISHA K**a Mafanikio!

Story ya “Hilda Bacci” na Tshs 294,209,198 Ndani Ya Masaa 24..K**a humjui Hilda Bacci...basi Hii Hapa Chini Ndio Story y...
04/08/2024

Story ya “Hilda Bacci” na Tshs 294,209,198 Ndani Ya Masaa 24
..K**a humjui Hilda Bacci...basi Hii Hapa Chini Ndio Story yake...

Hilda Bacci ni Mtaalamu wa Mapishi (Chef) Kutoka Nigeria...

NA...

June, 2024 alivunja rekodi ya Kupika Mfululizo Kwa Zaidi Ya:

“Masaa 94 na DKK 11”
..Mpaka akaingizwa Kwenye Kitabu Maarufu Cha:

“G͟u͟i͟n͟n͟e͟s͟s͟ ͟W͟o͟r͟l͟d͟ ͟R͟e͟c͟o͟r͟d͟s”

ILA...

Hiyo sio mada yetu ya Leo...

Leo nataka nikuibie Siri ya Jinsi alivyotengeneza Zaidi ya Tshs 294M+ Ndani ya Masaa 24 Tu Kupitia Biashara yake

Na Hivi ndivyo ilivyokuwa:

Hilda Bacci Kabla ya kuvunja rekodi na kuingizwa Kwenye Kitabu Cha Guinness
... alikuwa Mwajiriwa Katika Hotel Moja Kubwa huko Nigeria

NA...
.. Kutokana na Jinsi nilivyosikia ni Kwamba:

Mshahara wake Kwa Mwezi ulikuwa ni Tshs 655,000

ILA...

Kilichonivutia Zaidi sio Hicho...ni Hiki Hapa Chini...

Hilda baada ya Kuvunja rekodi na Kuwa Mpishi Maarufu Zaidi Nigeria hakutaka Kuomba Kupandishiwa Mshahara Wala Kutafuta Kazi Sehemu nyingine
..licha ya Mahoteli Makubwa ya Kitalii na Kifahari kumhitaji Kwa Udi na Uvumba

Badala yake...

Aliamua Kujigeuza Mwenyewe Kuwa Biashara

Unamaanisha Nini Nyanda?...

Nimefurahi Umeuliza...

Na Hiki Hapa Chini ndicho alichokifanya Hilda:

Alianza Kuuza TAARIFA zinazohusu Upishi

Kwanini?...

Kwasababu aligundua Hii Siri Hapa Chini:

“Watu wanaotaka Kujifunza Kuhusu MAPISHI ni Wengi Zaidi Kuliko Wanaonunua Chakula”

Kwahiyo:

Akaanza Kuuza TAARIFA zinazohusu MAPISHI Kwa Njia Ya:

“eBooks & Courses”

NA...

Kozi yake alikuwa anaiuza Tshs 57,207
.. Ndani ya Masaa 24 Tu Zaidi ya Watu 5,212+ Walilipia Kozi

Hiyo ni Sawa NA:

“Tshs 294,209,198”

Je Kwanini Nimekupa Story Hii?...

Ili kukuonesha Kwamba:

Unaweza Kutengeneza Pesa Nyingi Zaidi Kwa Kuuza TAARIFA zinazohusu Hiyo Biashara/Kazi unayoifanya Kuliko Kuuza Bidhaa/Huduma yako

Aina Hii ya Biashara Inaitwa:

“INFORMATION BUSINESS”

SIRI: Lamborghini wanatengeneza Pesa Nyingi Zaidi kwa Kuuza TAARIFA zinazohusu Lamborghini Kuliko Kuuza Magari ya Lamborghini!

THINK about that!

Anyway uwe na Siku Njema

Ciao!

Your Cousin…

Dragon!

Jinsi Ya Kujinasua Kwenye KIFUNGO Kinachozuia MAFANIKIO Yako Ndani Ya 2024!Rafiki Mpendwa!Nakurudisha Nyuma Mpaka Mwaka ...
01/08/2024

Jinsi Ya Kujinasua Kwenye KIFUNGO Kinachozuia MAFANIKIO Yako Ndani Ya 2024!

Rafiki Mpendwa!

Nakurudisha Nyuma Mpaka Mwaka 2,000
..nikiwa Bado Kijana Mdogo ila Mwenye Akili na uelewa wa Mambo

Nilienda kumtembelea Babu yangu Kijijini Mbarika-Mwanza

Nilipenda sana Kwenda Kuchunga ng’ombe na Babu yangu Huku akinipigia Story Kibao za zamani

ILA...

Kitu kilichonifurahisha Zaidi ni Jinsi Wanavyowatega na Kuwanasa NYANI wanaoharibu mazao Shambani

Kwani Wanawategaje?...

Nimefurahi Umeuliza...

Na Hivi ndivyo inavyokuwa:

Wanaenda Kwenye Mti Kisha wanautoboa Shimo Lenye Size ya Kiganja Cha Mkono
..halafu wanaweka Ndizi au Karanga Ndani ya Hilo Shimo

Baada ya Muda Nyani wanakuja kuingiza Mkono Ili Kuchukua Ile Ndizi au Karanga...

Akiingiza Mkono Tu Ananasa Hawezi Tena kuutoa?

Kwanini?... utauliza

Kwasababu:
.. Tayari Kiganja chake kimeshakuwa KIKUBWA baada ya Kushika Ndizi au Karanga

Kwahiyo:

ANANASA na Hawezi kukubali kuachia Ndizi Ili ajinasue atoroke...
..na hatimaye Mpaka wanamkuta wanamk**ata na Kumuua

Well...nimekupa Story Hii Kwasababu Binadamu ni K**a Nyani

Badala ya Kushikilia Ndizi au Karanga...yeye anashikilia Vitu k**a:

1). Ajira asiyoipenda

2). Mikopo Mibaya...(a.k.a Kausha Damu)

3). Liabilities

4). Mawazo yaliyopitwa na Wakati

Nk...

Wanaishia Kutumia Maisha Yao yote Kuteseka na Kuhangaika Mpaka Kifo kinawakuta

Yote hayo yanatokea Kwasababu Tu Hawawezi Kuachia Ili wajitoe Kwenye Hivyo Vifungo

Kwahiyo:

Usiwe k**a NYANI... Jifunze Kuachia Kila Kitu kinachokurudisha Nyuma

Anza Mwezi Upya, Ukiwa Mpya!

Voila!

Happy New Month Champions!

Amosi “Monkey” Nyanda!

Biashara Iliyofichika Yenye Uwezo wa  Kukutengenezea MAMILIONI Ya Pesa Mtandaoni Ndani ya Mwaka 2024!Ndugu Msomaji...Je ...
30/07/2024

Biashara Iliyofichika Yenye Uwezo wa Kukutengenezea MAMILIONI Ya Pesa Mtandaoni Ndani ya Mwaka 2024!

Ndugu Msomaji...

Je ungependa Kugundua Biashara ya Siri Ambayo WABONGO Wengi bado hawaijui...na... yenye Uwezo wa Kukupa Kuanzia Tshs 1M+ Kila Mwezi Mtandaoni?
..k**a umejibu Ndio basi weka Simu Yako SILENCE Kisha soma Ujumbe Huu Mpaka Mwisho

NA...

Aina Hii ya Biashara nilijifunza 2020 Kutoka Kwenye Kampuni inayoitwa...

“AGORA”

Ili Uelewe Vizuri...basi Hii Hapa Chini Ndio Story:

AGORA ni Kampuni ya Kuuza TAARIFA inayotengeneza Zaidi ya $2B Kila Mwaka

Agora ilianzishwa Mwaka 1978 na Bill Bonner...

Biashara Yao Kubwa ni Kuuza TAARIFA zinazohusu:

1). Hisa

2). Afya

3). Mahusiano

4). Kutengeneza Pesa

5). Uwekezaji

6). Biashara

7). Kubeti

8). Forex

9). Cryptocurrency nk...

2016 Agora waliweza Kuchapisha Zaidi ya Vitabu 300 na Newsletters 120!

Je ni Kwanini nimekupa Story Hii?...

Ili kukuonesha Kwamba:

Watu wanatumia Pesa Zaidi Kwenye TAARIFA Kuliko Kwenye Bidhaa

Kuuza TAARIFA ni Biashara yenye FAIDA Kubwa Kuliko Biashara yoyote Ile

NA...

Aina Hii ya Biashara Ina jina lake inaitwa:

“INFORMATION MARKETING/BUSINESS”

Na Hii Hapa Ndio Siri Ambayo Wataalamu Wengi Hawataki Uijue:

-Utatengeneza Pesa Nyingi Zaidi Kwa Kuuza TAARIFA zinazohusu Samaki Kuliko Kuuza Samaki

-Utatengeneza Pesa Nyingi Zaidi Kwa Kuuza TAARIFA zinazohusu Ugongwa Fulani Kuliko Tiba ya Huo Ugonjwa

Kwanini?... utauliza

Kwasababu:

Psychologically Watu wanapenda Zaidi Kujua Kuhusu Kitu Fulani Kuliko Kununua Hicho Kitu

Je Utawezaje Kutengeneza PESA Kwa Kuuza TAARIFA Mtandaoni?

Hilo Ndilo SOMO Letu la Makala Ijayo...

Stay Tuned

See you soon

Voila!

Amosi Nyanda

“The Prince of Print”

Cha Kujifunza Kutoka Kwenye ANGUKO la Kampuni Ya Nokia...Mpendwa Mjasiriamali...Nakurudisha Nyuma Mpaka Miaka ya 2000s.....
11/07/2024

Cha Kujifunza Kutoka Kwenye ANGUKO la Kampuni Ya Nokia...

Mpendwa Mjasiriamali...

Nakurudisha Nyuma Mpaka Miaka ya 2000s...

Nokia ilikuwa ni gumzo Katika Soko la Simu Duniani kote...

Nokia ilikuwa na Zaidi ya 40% ya Market Share...

Ilitamba Kwa Kuwa na Technologia Kali ya Simu zake...
..kwani ilikuwa Ndio Kampuni ya kwanza Kutengeneza Simu zenye Antenna, rangi Kwenye Screen Pamoja na Camera

Mafanikio hayo Ndio yalikuja kugeuka Mwiba Sokoni baadae

Kivipi?... utauliza

Waliridhika na Kupuuza Vitu Vikubwa viwili Sokoni Ambavyo ni:

"Ushindani & Mabadiliko ya Soko...(a.k.a Market Trends)"

Wakati Nokia wanafurahia Mafanikio wakasahau k**a Kuna Kampuni zingine Zipo chimbo zinafanya Utafiti Kimya Kimya

2007 Apple wakaitambulisha iPhone Ambayo ilibadili Mwelekeo Mzima wa Soko la Smartphone Duniani
.. iphone ikawa Ndio Mfano wa Simu Bora na Makampuni Mengi ya Asia yakaiga Baadhi ya Technologia Kutoka Kwenye iPhone k**a:

"Samsung & Huawei"

LAKINI...

Nokia wao wakapuuza hayo Mabadiliko...
..Hawakujigusa Kwa Chochote!

Rasmi 2013 Kampuni ya Nokia IKAANGUKA Sokoni na Kuuzwa Kwa Kampuni ya Microsoft

Katika Interview:

Stephen Elop aliyekuwa CEO wa Nokia Kipindi hicho akaulizwa:

Nini Kimetokea Mpaka Kampuni Kuanguka?...

Akainamisha Kichwa Chini, akatoa Kitambaa akafuta Machozi Kisha akatamka Maneno Haya:

"We Didn't do Anything WRONG...But somehow, We Lost"
..Yaani Hatukufanya Chochote KIBAYA ila Hata Hivyo Tumepoteza!

K**a Mjasiriamali wa Kitanzania:

Je ni Kipi Cha Kujifunza Kutoka Kwenye Hili ANGUKO la Nokia?...

Well...Vipo Vingi ila Hiki Hapa Chini ni Muhimu Zaidi:

1). Hata Siku Moja Usipuuze SPEED ya Mabadiliko ya Soko... Jifunze Ku-Adapt Vitu Vipya Kila Siku

2). Usiwe Mzito wa Kuendena (Ku-Adapt) na Technologia Mpya inayoingia Sokoni

Mfano Sasahivi Kuna AI... Jifunze Kutumia AI

3). Usipuuze Kujifunza Kuhusu Washindani wako, nunua Bidhaa au Huduma Zao, Angalia Matangazo yao nk

LESSON: Yule anayejua Vitu Vingi Zaidi Kuliko Wengine Ndiye atakayebaki Sokoni...so Wekeza Kwenye Ujuzi & Taarifa
.. Nunua Vitabu soma, Lipia Courses, Mentorship, Coaching Masterclass, nk

Ciao!

"The Prince of Print"

July, 2022 nikiwa Arusha...Ghafla Nilipigiwa Simu na  Viongozi wa Kanisa la..."Disciple Nations Pentecost Church Kalolen...
09/07/2024

July, 2022 nikiwa Arusha...

Ghafla Nilipigiwa Simu na Viongozi wa Kanisa la...

"Disciple Nations Pentecost Church Kaloleni-Arusha"

Hello tunaongea na Mr. Nyanda?...wakauliza

Nikasema Ndio!

Wakasema tunahitaji Sana Huduma yako Hapa kanisani kwetu...
..tunaomba uje Uongee na Vijana Kuhusu FURSA zilizopo Mtandaoni na Jinsi ya Kuzipata

Hata Sikuwaza mara Mbili nafsi ikaniambia...

"Nyanda Nenda HARAKA sana"

Nikasema Sawa Watumishi...Nitakuja!

Ofcourse ilikuwa ni FREE Kabisa...

LESSON: Panda Mbegu!

Seminar ilikuwa inafanyika Pale pale Kanisani...

NA...

Ilikuwa inarushwa Live na Kituo Cha radio Cha...

"Shalom radio"

Pamoja na YouTube channel ya Kanisa...

Seminar ilifanyika Siku 4...(Masaa 3 Kwa Siku)

Nakumbuka Siku ya Mwisho ya seminar Mzee Mmoja alinifuata akanishika Kichwa akaniambia...

"Mwanangu Hiki ulichokifanya ni Mbegu Umeipenda...Itaenda Kuchepua na kumea, Mungu akupe Kibali na Kufungua Milango ya Baraka Mbele Yako"

Baada ya Kutoka Hapo sikuamini macho Yangu Kilichotokea...

Kidogo nidondoshe Simu Chini...

KWANI...

Nilipigiwa Simu Kibao na Watu nisiowajua Kutoka Kila Kona ya Tanzania...

Wakiulizia Vitabu Vyangu...

Niwe Mkweli Tu Niliuza eBooks Zangu k**a Utiriri...

Sio Hivyo Tu...

Nilipigiwa Simu na Makampuni Makubwa Matatu Arusha yakiomba nikafundishe Sales Team Zao Kuhusu Mauzo
.. Kwasababu walinisikia radioni nikifundisha

Na Miongoni mwa Hao wakurugenzi ni Mr. Patrick

(Huyo Hapo Kwenye Picha)

Mr. Patrick ni CEO wa Kampuni Kubwa ya Branding Arusha inayoitwa...

"Kiliative Solutions"

Akanipa Kazi ya Kufundisha Sales team yake Kwa Siku 5

Na Huu ni Mwaka wa 3 Nafanya nae Kazi k**a Sales Trainer wa Kampuni yake

Na Training nyingine Naifanya Ndani ya week Hii...

Je ni Kwanini nimekupa Story Hii?...

Kwasababu nataka nikupe Huu Ujumbe Hapa Chini Kutoka Kwa "Ruge Mutahaba"

1). Tafuta kwanza Nafasi

2). Ukipata Nafasi, Onesha Uwezo

3). Uwezo Utakujengea Jina na Jina Litakupa Pesa

4). Pesa Zako Zipo Kwenye JINA Lako!

Ishi na Hiyo...you'll Always WIN

Voila!

Your Cousin...

Amosi Nyanda

"The Prince of Print"

Address

Amosnyanda@gmail. Com
Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255679912157

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amosi Nyanda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Amosi Nyanda:

Share