AJIRA NA KAZI Tanzania

AJIRA NA KAZI Tanzania Ukurasa huu wa Ajira na Kazi website: ajiranakazi.com) umeazishwa ili kuwasaidia vijana kupata taarifa, mbinu zinazotakiwa ili kupata ajira au kujiajiri

Mambo yanayotakiwa kwa ufupi katika ukurasa huu

Matangazo ya ajira na kazi
Mafunzo yanayohusiana na ajira an kazi
Toa ushauri wa namna ya kutafuta kazi, nafasi za kazi au kujiajiri

Utaalamu katika:

1) Uandishi wa CV
2) Uandishi wa barua ya kazi
3) Kuhudhuria usaili
4) Andiko la mradi -project proposal
5) Andiko la biashara - business proposal
6) Wasifu wa kampuni - company profile
7) Wasifu wa

mradi - project profile
8) Uhitaji wa wakala
9) Mambo yote yenye kumsaidia mwanachama kupata ajira au kujiajiri
10) NK

Maelezo zaidi

Ukurasa huu wa Ajira na Kazi limeazishwa ili kuwasaidia wanachama kupata ajira, kujiajiri na kupata mbinu zinazotakiwa ili kupata ajira au kujiajiri

Acha like yako kwenye ukurasa huu ili upate au kutoa taarifa za ajira na nafasi za kazi Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Kongo, Afrika na Duniani kote. Pia hii ni sehemu ya kupata au kutoa ushauri na mbinu mbalimbali za kutengeneza wasifu wako wenye kufukia viwango, kuandika barua ya kuomba kazi yenye mvuto kwa waajiri wengi na kuweza kuhudhuria usaili wa aina yeyote iwe ndani au nje ya nchi yako. Pia tunategemea kuweka mafunzo mafupi yenye kusaidia wajasiamali wanaotaka kuanzisha biashara au kuendeleza biashara zao kwa faida. Lugha rasmi katika ukurasa huu ni Kiswahili, japo lugha zingine hasa kiingereza zitaruhusiwa

Marufuku
-Kuweka taarifa zozote zisizoendana na lengo la kuanzishwa kwa kundi hili .
-Kuweka matangazo ya blogu au tovuti zisizohusiana na lengo la ukurasa huu
-Marufuku kuspam (kuweka taarifa ile ile mara nyingi)
-Marufuku kupandisha taarifa zilizoandikwa kwa heri kubwa zote (Vichwa vya habari vinaweza kuandikwa kwa herufi kubwa lakini sio taarifa yote)
-Lugha za matusi na za kuudhi hazitakiwi

Adhabu
-Taarifa zote zinazokiuka huu utaratibu zitaondolewa haraka
-Mleta taarifa zinazokiuka utaratibu huu anaweza kuondolewa na kufungiwa kabisa

Utawala

Vifaa vya secretarial office vinauzwa kwa jumlaOrodha1. Canon imageRUNNER 2202 Copier (Used, 8k copies) 2. Epson Stylus ...
01/08/2026

Vifaa vya secretarial office vinauzwa kwa jumla

Orodha
1. Canon imageRUNNER 2202 Copier (Used, 8k copies)
2. Epson Stylus Photo PX660 Printer with toners
3. Desktop Computer (Core i7 4th Gen, 500GB HDD, 8GB RAM, Windows 10, 19” Flat Screen)
4. DL-170 Heavy Duty Stapler Machine
5. A3 Paper Cutter
6. 2 Lamination Machines
7. HP Small Color Printer
8. Binding Machine
9. HP LaserJet Color Printer 1600 (Baranarani)
10. Computer Desk
11. Heavy-duty Punching machine
12. Na nyongeza
Jumla zikiwa mpya dukani = TSh 5,415,000
Bei ya used: TSh 3M
Bei yangu ni 2.3M
Only serious buyers are welcome

Address

Pangani
Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AJIRA NA KAZI Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share