Pemba Live

Pemba Live Kwa habari za uhakika kutoka vyanzo tofauti kote duniani ungana na Pemba Live katika mitandao ya kijamii au kwa kupitia tovuti yenu rasmi

13/08/2026

SWALI LA LEO:

Jee ni kauli gani aliwahi kukutamkia ambao kila ukiikumbuka Unaishia kucheka kwa sauti ???/

05/08/2026
20/07/2026

TAFAKARI YA LEO: Jee hali ikoje kwa sasa kwa mtazamo wako ?

Jifunze zaidi, tembelea
Moyo Islamic Academy

Kwa habari za uhakika, ziwe za kitaifa, Kimataifa, Jamii, Siasa, Michezo na Burudani, Teknolojia, Makala n.kUngana nasi ...
16/06/2026

Kwa habari za uhakika, ziwe za kitaifa, Kimataifa, Jamii, Siasa, Michezo na Burudani, Teknolojia, Makala n.k

Ungana nasi kwa kupitia website yetu https://www.pembaliveradio.online/

Pia unaweza kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamii kwenye ya Pemba Live Radio na (zamani ) kwa

*Ask Sheikh / Muulize Sheikh*Jukwaa la maswali na majibu ya Kiislamu linalowapa wasomaji nafasi ya kuuliza maswali kuhus...
31/05/2026

*Ask Sheikh / Muulize Sheikh*
Jukwaa la maswali na majibu ya Kiislamu linalowapa wasomaji nafasi ya kuuliza maswali kuhusu dini, ibada, familia, maadili, biashara na masuala ya maisha ya kila siku kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah. Maswali yatachambuliwa na kujibiwa na Sheikh au wanazuoni wenye elimu ya kutosha ili kuwasaidia Waislamu kupata mwongozo sahihi.

Tunawakaribisha wote kushiriki kwa kuuliza maswali In Shaa Allah kwa kupitia link hii https://www.moyoislamic.academy/tsv/viewforum.php?f=56

Address

Misufini Street
Chake Chake

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pemba Live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pemba Live:

Shortcuts

Share