Bei Che Promotion

Bei Che Promotion Tunatoa huduma za digital marketing ,social network promotion kwa gharama nafuu na ufanisi wa Hali ya juu.,bila ya kuingilia taarifa za account zako binafsi

gharama zetu ni bora na nafuu sana

jiunge nasi sasa kupa maarifa na ujuzi
18/09/2024

jiunge nasi sasa kupa maarifa na ujuzi

16/04/2021
faida za kutangazo nasi1.huna haja ya kuwa na followers wengi ndo upromote tangazo lako.2.idadi ya watu unaohitaji waone...
08/04/2021

faida za kutangazo nasi
1.huna haja ya kuwa na followers wengi ndo upromote tangazo lako.
2.idadi ya watu unaohitaji waone tangazo lako,umri wao eneo walipo na kwa mda gani unachagua mwenyewe.
3.unapata wasaa wa kupata update ya tangazo lako wakati wowote ili kujiridhisha k**a umefikia malengo.
4.unapata wasaa wa kuunganishanamba ya simu yako ya mkononi kwenye tangazo mojakwamoja kwa one click mteja anweza kuset order nakukuliza maswali.
5.Gharama ni nafuu sana kuanzia 30,000/= inatengemea na malengo yako

07/04/2021

tunatoa huduma za kubadili account yako ya facebook ,instagram nk kuwa yaza kibiashara zutakazokuwezesha kutangaza biashara yako na kupokea oda direct .
gharama ya tangazo la video slide k**a hili ni 30,000/=

Address

Magomeni
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255753260212

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bei Che Promotion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bei Che Promotion:

Share