Kidigitali

Directions Website

Kidigitali Tunatoa huduma kamili za uuzaji wa kidigitali Matangazo pamoja na Uuzaji wa mitandaoni.

๐Ÿšจ Akaunti yako ya matangazo imeanza kuleta errors k**a hizi?โ€ข Account Restrictedโ€ข Ad Account Not Foundโ€ข No Permissionโ€ข U...
06/05/2026

๐Ÿšจ Akaunti yako ya matangazo imeanza kuleta errors k**a hizi?
โ€ข Account Restricted
โ€ข Ad Account Not Found
โ€ข No Permission
โ€ข Unexpected Error Occurred

Usiogope! Hizi ni changamoto ambazo wafanyabiashara wengi hukutana nazo kwenye Instagram & Facebook Ads. Mara nyingi husababishwa na:
โŒ Kuvunja advertising policies
โŒ Payment method yenye shida
โŒ page kutokuwa connected
โŒ Restricted au disabled ad account
โŒ Business Manager settings zenye makosa

Kidigitali_tz tupo tayari kukusaidia kurekebisha matatizo haya na kuhakikisha matangazo yako yanaendelea vizuri bila stress ๐Ÿ™Œ

๐Ÿ“ฉ DM sasa kwa msaada wa haraka
๐Ÿ“ž +255 788 952 881
๐Ÿ“ Sinza, Dar es Salaam Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

BusinessTips InstagramMarketing FacebookMarketing AdsManager SocialMediaMarketing TanzaniaBusiness

Ushindi wa kweli umepatikana leo!โ€‹Kama ambavyo Pasaka inatukumbusha nguvu ya kufufuka na kuanza upya, kidigitali_tz tuna...
05/04/2026

Ushindi wa kweli umepatikana leo!
โ€‹Kama ambavyo Pasaka inatukumbusha nguvu ya kufufuka na kuanza upya, kidigitali_tz tunawatakia heri ya sikukuu ya Pasaka. Nuru ya ushindi huu ikangโ€™ae katika kila hatua ya safari yako ya kidijitali na maisha kwa ujumla.
โ€‹Amefufuka kweli kweli!
โ€‹ TanzaniaDigital

Krismasi Njema na Heri ya Mwaka Mpya! ๐ŸŽ…๐ŸพMwaka huu umekuwa mzuri kwa sababu ya wateja wetu wazuri k**a nyinyi. Asanteni k...
25/12/2025

Krismasi Njema na Heri ya Mwaka Mpya! ๐ŸŽ…๐Ÿพ
Mwaka huu umekuwa mzuri kwa sababu ya wateja wetu wazuri k**a nyinyi. Asanteni kwa kutuamini kwa Digital Marketing, Web Design, Graphic Design, Logo Design na Ads zenu.
Tunatarajia mwaka 2026 wenye miradi zaidi na mafanikio pamoja!
๐Ÿ“ฉ Tuwasiliane leo kwa huduma bora za digital!

Wiki mpya ni fursa mpya!Anza leo ukiwa na tabasamu, malengo, na ari mpya.Ukurasa huu () uko hapa kukupa maarifa ya kidig...
19/05/2025

Wiki mpya ni fursa mpya!
Anza leo ukiwa na tabasamu, malengo, na ari mpya.
Ukurasa huu () uko hapa kukupa maarifa ya kidigitali yatakayobadilisha biashara yako.
Kila siku ni nafasi ya kujifunza kitu kipya. Karibu sana!

Je, unakumbuka passwords zako za mitandao ya kijamii?Usisubiri hadi upoteze akaunti ndipo ukumbuke umuhimu wa kuziandika...
12/05/2025

Je, unakumbuka passwords zako za mitandao ya kijamii?
Usisubiri hadi upoteze akaunti ndipo ukumbuke umuhimu wa kuziandika na kuzihifadhi salama.
Kidigitali Tanzania tunakushauri:

Tumia nenosiri imara

Usitumie password moja kwenye mitandao yote

Hifadhi kwenye password manager au mahali salama

Lindeni akaunti zenu, biashara zenu, na jina lenu mtandaoni.

Unataka matangazo yako yawe na matokeo mazuri? ๐Ÿค”Hapa Kidigitali Tanzania tunakuletea mbinu bora za kuhakikisha tangazo l...
02/12/2024

Unataka matangazo yako yawe na matokeo mazuri? ๐Ÿค”

Hapa Kidigitali Tanzania tunakuletea mbinu bora za kuhakikisha tangazo lako linafikia malengo!

๐Ÿ“ˆ Usikose kufuatilia na kujifunza zaidi. ๐Ÿ“ฒ

Leo ni Siku ya Ukimwi Duniani ๐ŸŒ, tunapokumbuka umuhimu wa kuchagua njia sahihi ili kumaliza maambukizi ya VVU na kuimari...
01/12/2024

Leo ni Siku ya Ukimwi Duniani ๐ŸŒ, tunapokumbuka umuhimu wa kuchagua njia sahihi ili kumaliza maambukizi ya VVU na kuimarisha haki za kila mtu. Tushirikiane kupambana na unyanyapaa na kuhakikisha huduma za afya na elimu zinapatikana kwa wote.

๐Ÿ‘‰ Chagua njia sahihi leo kwa kuhamasisha wenzako na kujenga jamii inayojali haki za binadamu.

Je, umeanza safari yako ya biashara mtandaoni? Hizi ni dondoo 3 muhimu zitakazokusaidia kufanikiwa! ๐ŸŒŸ1๏ธโƒฃ Jenga Uaminifu:...
12/11/2024

Je, umeanza safari yako ya biashara mtandaoni? Hizi ni dondoo 3 muhimu zitakazokusaidia kufanikiwa! ๐ŸŒŸ

1๏ธโƒฃ Jenga Uaminifu: Wasiliana vyema na wateja wako, jibu maswali yao haraka, na onyesha ushuhuda wa wateja walioridhika.
2๏ธโƒฃ Tumia Mitandao ya Kijamii kwa Ufanisi: Chagua jukwaa sahihi na chapisha maudhui kwa mara kwa mara ili kuvutia wateja.
3๏ธโƒฃ Fanya Utafiti wa Soko: Elewa mahitaji ya wateja wako na angalia jinsi washindani wanavyofanya biashara.

Hizi dondoo zitakusaidia kujenga msingi imara wa biashara yako! ๐Ÿš€

Unapotumia maneno sahihi, unaweza kuvutia na kubadilisha maisha ya biashara yako!Hapa ni maneno 8 yenye nguvu ambayo yat...
18/10/2024

Unapotumia maneno sahihi, unaweza kuvutia na kubadilisha maisha ya biashara yako!

Hapa ni maneno 8 yenye nguvu ambayo yataimarisha biashara yako na kukupa mwanga wa mafanikio. ๐Ÿ’ก

Umejiuliza namna ya kuchagua tangazo bora la Instagram? ๐Ÿค”Jifunze njia rahisi za kuboresha kampeni zako za matangazo kwa ...
17/10/2024

Umejiuliza namna ya kuchagua tangazo bora la Instagram? ๐Ÿค”

Jifunze njia rahisi za kuboresha kampeni zako za matangazo kwa kuchagua post zinazovutia wateja wako.

๐Ÿ”ฅ Hakikisha unafuata vidokezo vyetu na uongeze ufanisi katika biashara yako mtandaoni. ๐Ÿ’ก

Address

Sinza
Dar Es Salaam
16102

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kidigitali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share