07/08/2026
Habari Ndugu Mkandarasi,
Karibu kwenye huduma zetu za kusupply branded helmet, huduma mahsusi kwa wakandarasi wanaothamini usalama, utambulisho wa kampuni, na taswira ya kitaalamu kwenye maeneo ya ujenzi.
Umuhimu wa Helmet Zilizobrandiwa:
- Utambulisho wa kampuni
- Kuongeza usalama na uaminifu
- Kutambua timu kwa urahisi
- Kuimarisha brand visibility
- Kuongeza impression ya kitaalamu
Ofa Maalum:
- 10pcs — TZS 150,000
- 20pcs — TZS 280,000
Pata helmet za ubora wa juu zenye branding inayolingana na corporate identity ya kampuni yako.
Tupigie / WhatsApp:
0675273414 / 0684572762
Tupo Mwananyamala mtaa wa Ipoke
Karibu sana