Bright Life Health Care.

Bright Life Health Care. Tunakuhudumia kuimarisha Afya yako dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza(Bawasiri,Kutopata choo,vidonda).

14/03/2024
MADHARA YA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFUTuzungumze kwa ajili ya ushauri zaidi. 0677864432madhara ya kukosa choo kwa Muda mr...
12/03/2023

MADHARA YA KUKOSA CHOO KWA MUDA MREFU
Tuzungumze kwa ajili ya ushauri zaidi. 0677864432

madhara ya kukosa choo kwa Muda mrefu ni÷
●KUPATA SARATANI YA UTUMBO
●FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI VIZURI
●KUPATA PRESHA NA ●KUPATA UGONJWA WA INI
●KUPATA MAGONJWA YA MOYO NK

KUMBUKA :zingatia kula milo mitatu kila siku, kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi (high fibre diet), kunywa maji mengi na fanya mazoezi mara kwa mara pia usizoee kutumia dawa za kemikali hovyo hovyo

12/03/2023

Suluhisho la ugonjwa wa bawasiri bila upasuaji 0677864432

Bawasiri ni nini?

Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu na kusababisha kuvimba kwa mishipa hiyo ya damu iliyopo ndani au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa.
Hali hii inaweza kusababisha nyama kujitokeza nje. Hivyo bawasiri inaweza kuwa bawasiri ya ndani au bawasiri ya nje.

Ugonjwa huu huambatana na dalili zifuatazo.
※Miwasho sehemu ya hajakubwa
※Maumivu sehemu ya hajakubwa
※Damu wakati wa kujisaidia au baada ya kujisaidia.
※Choo kigumu
※Kukaa Muda mrefu bila kupata choo yaani siku 1,2,3,4 na zaidi
※Tumbo kujaa gesi.

Madhara ya ugonjwa wa bawasiri.
※Saratani ya utumbo mpana (cancer)
※Saratani katika sehemu ya hajakubwa kutokana na ule uvimbe/kinyama.
※Upungufu wa nguvu za kiume
※Ugumba kwa wanawake.
Suluhisho 0677864432

27/01/2023

TIBA YA UGONJWA WA BAWASIRI BILA UPASUAJI.
(0677864432)

JE, UNAJUA BAWASIRI NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe katika eneo la sehemu ya haja kubwa
# # # *CHANZO CHA TATIZO*
~chanzo halisi cha ugonjwa huu ni kuathirika kwa mishipa ya ndani na nje katika sehemu ya hajakubwa.

Vitu ambavyo huwa vinachangia mtu kupata ugonjwa wa bawasiri ni ÷
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

# # # DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
👉kupata choo kigumu au kutopata choo.

*MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,

(TUMIA KIRUTUBISHO CHA ASILI KINACHOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS)
INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
PIA UTATUMIA NA VIRUTUBISHO KWA AJILI YA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,

HUREKEBISHA MISHIPA ILIYOATHIRIKA NA KUONDOA KINYAMA AU UVIMBE BILA YA UPASUAJI.

HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA.

Piga (0677864432) kupata huduma

Share na wengine pia like pia Follow page yetu ili kujifunza zaidi.

UFAFANUZI WA JUMLA KUHUSU TATIZO LA KUTOKUPATA CHOOTiba ya choo kigumu na kutokupata choo 0677864432.Ukosefu wa choo ni ...
20/01/2023

UFAFANUZI WA JUMLA KUHUSU TATIZO LA KUTOKUPATA CHOO
Tiba ya choo kigumu na kutokupata choo 0677864432.
Ukosefu wa choo ni tatizo sugu miongoni mwa watu wengi. Bila kujua kuwa ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka.

watu wengi hupuuzia na kuona siyo tatizo kubwa na ni hali ya kawaida.

Ukosefu wa choo wa muda mrefu, huwa ndiyo chanzo cha magonjwa mengine hatari.

Mtu anapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa
uchafu hujikusanya tumboni na unapokosa sehemu ya kutokea hukimbilia kwenye damu na kuingia kwenye mfumo mzima wa damu.

Uchafu huo unapoingia kwenye mfumo wa damu huwa sumu na chanzo cha maradhi mengine ambayo hujitokeza baadae na kuanza kumuathiri mtu, bila kujua chanzo chake.

Kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku, kutegemeana na mlo wake wa kila siku.

unapokosa choo kwa siku nzima ili hali una kula milo yote kwa siku, elewa una tatizo katika mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula hivyo unapaswa kuchukua hatua haraka

TIBA NA USHAURI.0677864432.

28/12/2022

TIBA YA UGONJWA WA BAWASIRI BILA UPASUAJI.
(0677864432)

JE, UNAJUA BAWASIRI NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe katika eneo la sehemu ya haja kubwa
# # # *CHANZO CHA TATIZO*
~chanzo halisi cha ugonjwa huu ni kuathirika kwa mishipa ya ndani na nje katika sehemu ya hajakubwa.

Vitu ambavyo huwa vinachangia mtu kupata ugonjwa wa bawasiri ni ÷
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

# # # DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
👉kupata choo kigumu au kutopata choo.
*MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,

(TUMIA KIRUTUBISHO CHA ASILI KINACHOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS)
INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
PIA UTATUMIA NA VIRUTUBISHO KWA AJILI YA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,

HUREKEBISHA MISHIPA ILIYOATHIRIKA NA KUONDOA KINYAMA AU UVIMBE BILA YA UPASUAJI.

HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA.

Piga (0677864432) kupata huduma

Share na wengine pia like pia Follow page yetu ili kujifunza zaidi.

27/11/2022

TIBA YA UGONJWA WA BAWASIRI BILA UPASUAJI.
(0677864432)

JE, UNAJUA BAWASIRI NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
# # # *CHANZO CHA TATIZO*
~chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ni ÷
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
👉UJAUZITO.

# # # DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
👉kupata choo kigumu au kutopata choo.
*MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimili choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBO MPANA(CANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,

(TUMIA IIRUTUBISHO VYA ASILI VINAVYOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS)
INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
PIA UTATUMIA NA VIRUTUBISHO KWA AJILI YA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,

HUREKEBISHA MISHIPA ILIYOATHIRIKA NA KUONDOA KINYAMA AU UVIMBE BILA YA UPASUAJI.

HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA. (Tbs na Tmda)

Piga (0677864432) kupata huduma

Share na wengine pia like page yetu.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bright Life Health Care. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share