Mr Sometime

Directions Website

Mr Sometime Marketing & Sales Consultant | Trainer | Coach
Kujifunza Marketing For Your Business book me or join our PRIVATE SOCIETY

19/09/2026

JIFUNZE AI : ๐—จ๐—ฆ๐—œ๐—•๐—”๐—ž๐—œ ๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—” ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜ ๐—ช๐—”๐—ž๐—œ๐—ง๐—จ๐— ๐—œ๐—” ๐—”๐—œ ๐Ÿš€

AI tayari inabadilisha jinsi watu wanavyotengeneza content, kutangaza biashara, kupata ideas na kukamilisha kazi kwa haraka.

Sasa na wewe unaweza kujifunza kuitumia kwa vitendo.

Jiunge na AI Community yetu yenye members zaidi ya 500 ujifunze kutengeneza:

โœ… Picha na posters
โœ… Video na matangazo
โœ… Captions na scripts
โœ… AI Avatars
โœ… Movies, AI films, cartoons na animations
โœ… Content za biashara na social media

Hata k**a wewe ni beginner, unaweza kuanza hatua kwa hatua ukiwa na mwongozo na support ya community.

๐Ÿ‘‡ Bonyeza link ufahamu zaidi:

๐Ÿ”— https://msp.systeme.io/ai_for_business_and_cretors

AU comment AMC au tuma ujumbe DM "AMC" au bonyeza link LEARN MORE

19/09/2026

What if Simba Sports Club ikihamia EPL?๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ Majibu tayari nimeyatengenezea video yake

Mzigo upo tayari ๐Ÿ”ฅ done using AI, make sure upo active na umefollow page yetu tunauachia dakika yoyote from now

Mnyama na duka lake ndani ya London ๐Ÿ”ฅ, turn on post notification video yake inakuja
18/09/2026

Mnyama na duka lake ndani ya London ๐Ÿ”ฅ, turn on post notification video yake inakuja

Cooking something amazing using AI for  ๐Ÿ”ฅ , are you ready?
18/09/2026

Cooking something amazing using AI for ๐Ÿ”ฅ , are you ready?

17/09/2026

What if the moon disappears?

AI Video Utukufu Kamonongo

Comments AMC kujiunga na community yetu ya kujifunza kutumia AI.

07/09/2026

Mwaka mmoja uliopita tulisema โ€œNdiyoโ€ mbele za Mungu na wapendwa wetu. Leo, nikikuangalia, moyo wangu unasema โ€œNdiyoโ€ tena. โค๏ธ๐Ÿ’

Asante kwa kuwa mke wangu, rafiki yangu na mtu ninayetamani kukushirikisha kila jamboโ€”hata yale madogo ambayo wengine wasingeyaona kuwa muhimu. Napenda maisha tunayojenga pamoja, hatua moja baada ya nyingine.

Namshukuru Mungu kwa kutufikisha hapa. Naomba aendelee kutufundisha kupendana, kusikilizana, kusameheana na kushikana mikono katika kila msimu wa maisha yetu.

Heri ya mwaka wetu wa kwanza wa ndoa, mpenzi wangu. Bado ninafurahia kwamba kati ya watu wote, sisi wawili tumekuwa โ€œsisi.โ€ Nakupenda. ๐Ÿค

07/09/2026

Haya ni maombi yangu kwako unapoianza wiki hii njema.

Wiki yako ikafanikiwe ๐Ÿ™

05/09/2026

Wanaotoa huduma au waauza bidhaa ambao huwa unawasifia kwamba wapo peace hawanashida , wengi wao kila siku wapo wanawaza jinsi ya kufanya watoke level za kuwa peace, maana kwao wao ni maumivu ila kwako kufanyiwa kazi kishkaji ni faida maana huumii wewe.

Unayoiita "roho nzuri" au "kuwa peace" kwa watoa huduma wako, mara nyingi sio personality trait.

Ni survival mechanism.

Ni uoga wa kupoteza hela ndogo kwa sababu hana uhakika wa kupata hela kubwa. Sisi k**a wateja, tuna tabia ya ku-romanticize mateso ya watu wanaotuhudumia kwa sababu inatunufaisha moja kwa moja.

Unamsifia fundi, designer, au muuza duka wako: "Huyu jamaa yuko poa sana, hana mambo mengi, tunafanya tu kishkaji."

Hicho unachokiita "kutokuwa na mambo mengi" ni lack of boundaries. Na ukosefu wa mipaka (boundaries) kwa upande wake, ni discount ya kudumu kwa upande wako. Unafurahia "peace" yake kwa sababu inakulinda wewe usiumie mfukoni.

Ushkaji unaoufurahia ni tax anayolipa kwa sababu bado hana brand kubwa. Ni gharama ya kutokuwa na leverage. Wakati wewe unajisifia vijiweni jinsi unavyopata huduma nzuri kwa bei chee, yeye usiku halali akiwaza jinsi ya kutoroka kwenye hilo gereza la "kuwa mshkaji wa kila mtu."

Kwa sababu kwenye biashara, siku zote urafiki wa kulazimishwa ni dalili ya umasikini.

Siku huyu mtoa huduma wako akipata akili, akajenga mifumo, akaweka bei inayoendana na thamani yake, na kuanza kukuambia, " kuanzia sasa hatufanyi tena kazi kishkaji, nina standard zangu," wewe utakuwa mtu wa kwanza kumchukia. Utalalamika: "Siku hizi ana maringo." "Kabadilika." "Pesa imemuharibu."

Hajabadilika. Ameacha tu kuigiza. Amepata uhuru aliokuwa anautafuta tangu siku ya kwanza mnakutana.

Hukumpenda kwa sababu alikuwa "peace".

Ulimpenda kwa sababu hakuwa na nguvu ya kukataa masharti yako. Urafiki wa kibiashara kati ya mtu anayetoa hela na mtu anayehangaika kutoboa, mara nyingi ni unyonyaji uliovishwa tabasamu.

K**a unahitaji cinematic tangazo la ai la biashara yako au kujifunza kutumia AI kutengeneza matangazo, videos, films and more , comment or DM me โ€œAMCโ€

29/08/2026

Sijui k**a ushawahi ku-notice hii kitu, but most people use ads to hide.

Unakuta mtu anateketeza 2-20 milioni kwenye Meta au Google ads. Sio kwasababu ana-scale business na anahitaji traffic kubwa kiasi hicho. No. Ni kwasababu kulipia ads is comfortable. Inampa the illusion kwamba anafanya kazi, bila ku-face the most uncomfortable part of business: Rejection.

Letโ€™s be real. Mara ngapi ukitafutwa ukaulizwa โ€œbei gani?โ€, ukamjibu, then aka-kubluetick Ukamuacha. Kwa nini humfanyii follow-up? Kwasababu unaogopa kuonekana desperate, au unahofia atakuambia "sihitaji tena".

Sasa badala ya ku-deal na hiyo rejection, what do you do? Unaenda kwenye ad account yako na kuongeza daily budget, ukitafuta the magical "serious buyers" ambao hawataku-question wala kukukatalia.

Bro, that fear of rejection is costing you way more money kuliko ad yoyote utakayowasha.

Unapokwepa ku-pitch, kuongea na mteja moja kwa moja kwa hofu ya kukataliwa, unahamisha the cost from your ego to your bank account. You are literally paying Mark Zuckerberg hela ndefu just to protect your feelings so you don't have to hear the word "NO".

Think about it. Kusikia "No" ni bure. It costs you absolutely nothing. But kukwepa kusikia hiyo "No" kwa kutumia matangazo k**a shield? That will bankrupt you.

Stop blaming the algorithm na kusema watu hawapo serious. Kazi ya matangazo ni kuleta attention, sio kufunga mauzo. Uza. Ukikataliwa, chukua the lesson na move to the next. The moment unapoacha kuogopa rejection, you will realize you never really needed a bigger ad budgetโ€”you just needed more courage to close.

26/08/2026

Tumia AI kufanya IDENTITY TRANSFER, unajua kila unapotaka video mpya, lazima presenter awepo physical location, taa zipangwe upya, camera zisetiwe, na script ikikosewa kidogo tu, shoot nzima inarudiwa. Muda unaenda, bajeti, na mwisho wa siku content output inakuwa ndogo kuliko mahitaji ya brand yako.

Watu wengi wakisikia AI kwenye video, wanawaza zile animated avatars zinazoongea k**a maroboti wasio na hisia. But the game has changed.

Kuna kitu kinaitwa Video Identity Transfer

Hapa AI haitengenezi video from scratch k**a cartoon. Inachofanya ni kuchukua video halisi ya mtu aliyerekodiwa โ€” ikabaki na natural body movement, facial expressions, real lighting, emotion, na camera angles zote โ€” kisha inabadilisha tu sura au identity ya mtu huyo kwa kutumia picha tu ya mtu mwingine.

Matokeo yake? Video inaonekana 100% natural, lakini presenter ni mtu unayemtaka wewe.

Kwanini hii imekaa saa sana kimkakati?

- ๐—ž๐˜‚๐˜‡๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐—ผ๐—ผ๐˜๐˜€: Unaweza kuwa na winning video ad moja, lakini unataka kuitest na target audiences tofauti (mfano: soko la Kenya, Nigeria, au Tanzania). Badala ya kulipa models wapya na kufanya shoots nne tofauti, unabadilisha tu identity ya presenter huku script na delivery ileile ya kwanza ikibaki intact.

- ๐—–๐—ผ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ฆ๐—ฐ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—–๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐˜€ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ฟ๐˜€: K**a unauza online course au unajenga personal brand, huwezi kuwa mbele ya camera masaa 24. Unaweza kuwa na team inayo-shoot demonstration videos au updates mpya, halafu identity yako inakuwa applied seamlessly. Content haisimami kisa haupo.

- ๐—–๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ฝ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—ฐ๐˜† ๐—ป๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐˜€๐˜๐—ถ๐—บ๐—ผ๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—น๐˜€: Unaweza kutumia real client feedback bila kuweka sura halisi ya mtu hadharani k**a confidentiality ni issue kwao, bila kupoteza hisia na uhalisia wa video.

- ๐—”๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฐ๐—ถ๐—ฒ๐˜€ & ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฎ๐—น ๐—˜๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐—ฒ: Kuweka agent au client wako kwenye locations 10 tofauti ndani ya siku moja bila yeye kusafiri hata mi

Address

Flamingo Madale
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Sometime posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share