27/10/2021
Special Offer Kwa Watu 3 tu Wanaohitaji Website this month..
Are you a business owner who needs a new website?
Or you need a re-design for your current site?
Na unahitaji kazi yako ifanyike vizuri with efficiency?
Sio unampa mtu kazi, anaifanya roughly na mwisho hata kurekebisha inakua kazi?...anakupiga kalenda tu?
Sio umeshatoa hela yako, lakini delivery inakua chini ya viwango?
Tumekutana na wafanyabishara zaidi ya 3 ambao wamepitia changamoto hiyo
Amelipa hela(nyingi),lakini kazi aliyofanyiwa haikidhi kabisa...na mbaya zaidi, hata maboresho ni zero
Don't fall into that trap...fanya analysis ya kutosha before hujampa mtu kazi ya web design
Sisi NYUMBANI DIGITAL SOLUTIONS] tunatanguliza professionalism katika kazi zetu
We have a process which help our clients get a website they want
( OUTREACH >CONVERSATION > RESEARCH > PROTOTYPE >DEVELOPMENT )
Tunahakikisha "WE ARE ON THE SAME PAGE kwanza, ndio tutafanya kazi na wewe"
Plus
We offer website design which covers all the features required by modern 2021 websites
ππΎ Domain & SSL for security
ππΎ Fast servers so site yako inafunguka kwa haraka
ππΎ Email accounts kwa ajili ya mawasiliano na wateja wako
ππΎ Basic SEO ili site yako ipatikane haraka on Google
ππΎ 5 standard web pages (Home,about,service,gallery,contact) hivyo mteja wako akivisit atafaham everything you offer
Interested??
Grab this offer sasa na upate BONUS ya FREE HOSTING kwa mwaka mzima
For the first 3 people, utapata A complete website for only 399,999/=
Wakishakamilika, the price stays the same but UTALIPIA HOSTING mwenyewe
Send "OFA" to DM or WhatsApp/call 0752226475
Tuwasiliane na u-book appointment yako Leo
Tembelea page yetu NYUMBANI DIGITAL SOLUTIONS] kuona baadhi ya kazi tulizofanya
πOFISI ZETU ZIPO UBUNGO MAJI,...near Tanesco HQ
PS: OFA hii ni kwa watu 3 wa kwanza tu
Na inahusu standard company websites,
K**a unamahitaji zaidi or niche specific site, let's talk