29/03/2023
NI KILIMO CHA VITUNGUU SASA WAKULIMA MSIHANGAIKE MBOLEA BORA KWA VITUNGUU IPO NA PIA KWA MAZAO YOTE.
NUTRIPLANT ORGANIC PLUS FERTILIZER.
➖Ni mbolea ya asili iliyojaa virutubishi vya asili kwa ajili ya udongo na mimea na ambayo haina kemikali.
Ni mbolea iliyojaa virutubisho kwa mimea ya aina zote k**a vile Matunda, Mbogamboga, Nafaka, Miti na Bustani.
KAZI ZA NUTRIPLANTS ORGANIC PLUS FERTILIZER.
🔹Nimbolea inayoongeza uwezo wa mimea kufyonza madini lishe mbalimbali kutoka katika udongo na pia kuoteshea mizizi na matawi haraka
🔹 Ni mbolea yenye virutubisho kwa ajili ya kupambana na ukame na kutunza unyevunyevu kwenye ardhi,
🔹 Ni mbolea iliyojaa virutubisho vinavyoongeza uwezo wa mimea kutengeneza Chakula chake vizuri,
🔹Ni mbolea Inayofanya mmea Kuwa na rangi yake ya asili(kijani kibichi)
🔹 Ni mbolea yenye virutubisho kwa wingi na inasaidia viwatilifu kufanya kazi vizuri kwenye mimea,
🔹Nimbolea inayochochea nakusaidia maji na virutubisho vingine kufyonzwa vizuri zaidi na mizizi.
🔹Ni mbolea iliyojaa macro na micronutrients kwa ajili ya kurudisha udongo kwenye ubora wake na pia kuufanya mmea kukua katika ubora wake
FAIDA ZAKE
🔹Kupunguza uharibifu unao sababishwa na magonjwa ya mmea na kufanya mizizi kukua vizuri na kamili na kuifanya kuwa yenye nguvu
🔹Kukuuza ukuaji wa mimea,
🔹Kuzuia magonjwa na kuongeza Kinga mimea husika,
🔹Kukuuza kikamilifu ukuaji wa haraka wa mimea,
🔹Inaongeza rutuba kwenye ardhi na kufanya ukuwaji mzuri wa mizizi ya mimea, shina na majani,
🔹Husaidia mbegu au mmea kuota vizuri na yenye nguvu kuliko nyingine,
🔹Ni mbolea inayopunguza gharama za kilimo kwa sababu ya kubeba macro na micronutrients na amino acid kwa wakati mmoja
🔹Huzuia fangasi au ukungu kwenye mimea,
🔹Inaongeza wingi wa mazao(mavuno),
🔹 Husaidia mimea kukua kwenye kimo kimoja,
🔹Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyolemaa au kudumaa.
Karibu sana
Piga +255687392213