Tiba asili na jadi

Tiba asili na jadi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba asili na jadi, Marketing Agency, nicolaushabuduri@gmail. com, Dar es Salaam.

22/02/2023

Asalaam alykum ndugu mfuatiliaji wa App yetu bora ya tiba asili na jadi,

kwa wale wenye maswahibu kazi haziendi ,ni wafanyabiashara hawapati wateja katika biashara zao au ni wafanya kazi lakini bado hawanufaiki na kazi zao hawana maendeleo miaka nenda rudi wako palepale, ningependa niwajuze tu kuwa uchawi upo na huleta madhara makubwa sana kwa watu ikiwa utafanyiwa, Kwani kutokana na uchawi wengine hufirisika na kukosa wateja katika biashara hatimaye hufunga biashara. Wengine hujikuta wanafanya kazi wanapata pesa lakini hawana maendeleo na sikama hawana mipango, la hasha Wana mipango lakini wakipata pesa hujikuta wanaingia katika matatizo, hivyo pesa huisha zote nakujikuta hakuna walichokifanya hata kimoja. Tarasimu hiyo ni tarasimu ya kuvuta riziki kwa wale wenye kuhitaji pesa, tumia kuiandika tarasimu hiyo kwenye karatasi nyeupe isiyokuwa na mistari tumia zafarani Kisha utaisomea Aya iliyozungushiwa katika tarasimu hiyo Mara 21 Kisha utaifusha kutokana na masiku ya nyota yako, baada ya hapo utakuwa nayo K**a azma sehemu yoyote uwapo. Kwa Kufanikisha hilo wewe utakuwa na mvuto mkubwa wa pesa na hutaishiwa pesa muda wote. Tarasimu hiyo ina maajabu makubwa ikiwa utafuata taratibu zake na hakikisha uwe msafi wakati unaiandika tarasimu hiyo na uzingatie muda maalumu wa kuiandika ili upate matokeo mazuri.

Address

Nicolaushabuduri@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba asili na jadi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share