UzaSale

UzaSale International Classified Advertisements Website UzaSale is the best place to sell anything to serious buyers right from your palm! Why UzaSale? UzaSale.

We bring the market to your palm! Because all wajanja wote wanatumia soko la UzaSale and getting what you want to buy is a fast and seemless process. Biashara Kiganjani.

Habari! Tunauza nyumba ya gorofa yenye vyumba 4, iliyojengwa kwenye kiwanja cha 600sqm kilichozunguka eneo la Mweni JKT,...
17/10/2025

Habari! Tunauza nyumba ya gorofa yenye vyumba 4, iliyojengwa kwenye kiwanja cha 600sqm kilichozunguka eneo la Mweni JKT, Dar es Salaam. Nyumba hii inajengwa kuwa gorofa, na hivyo ina msingi imara wa gorofa, na inayo uwezo wa kustahimili jengo la ghorofa.

📌 Makala kuu:
Nyumba ya gorofa yenye vyumba 4.
Kiwanja cha 600sqm.
Beu 250Million
Msingi wa gorofa tayari umejengwa.
Ipo Mweni JKT, Dar es Salaam.
Mchoro wa nyumba utatolewa.
Tuna usajili wa ardhi na cheti cha wazi (Clean Title).

Hii ni fursa nzuri kwa wale wanaotafuta nyumba za kisasa katika maeneo bora ya jiji la Dar es Salaam. Usikose!

Kwa maelezo zaidi na bei, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba zetu zilizopo kwenye video hii au maelezo ya chini.


Habari! Tunauza nyumba ya gorofa yenye vyumba 4, iliyojengwa kwenye kiwanja cha 600sqm kilichozunguka eneo la Mweni JKT, Dar es Salaam. Nyumba hii inajengwa ...

03/06/2025

UzaSale.com – Jiunge Leo, Uza Leo, Uza Bure kwa Miezi Mitatu!
Tembelea UzaSale.com leo, Jisajili na Anza Kuuza Mara Moja!

Mwambie ndugu, jamaa, marafiki, majirani – hadi maadui pia!
Kwa sababu kila mtu anastahili nafasi ya kuuza bila malipo kwa miezi mitatu!

Address

Regent Estate
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UzaSale posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to UzaSale:

Share