MKOI TV Online

MKOI TV Online Karibu kwenye kurasa yetu ya habari na matukio pamoja na makala za kweli za simulizi za kusisimu zin

09/08/2026

SAFARI HII HAJATUKANA, APIGA SHOW ya KIBABE MWANZA🔥🔥

https://youtu.be/ytxL3vXMN_M?si=7gUzgs4_nwFa-hoq Wananchi wa mtaa wa Nyakasangwe Kata ya Wazo Wilaya ya Kinondoni Dar Es...
06/08/2026

https://youtu.be/ytxL3vXMN_M?si=7gUzgs4_nwFa-hoq Wananchi wa mtaa wa Nyakasangwe Kata ya Wazo Wilaya ya Kinondoni Dar Es Salaam wamekijia juu chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni kwa madai ya kuzuia kuvunjwa kwa Fremu zao za CCM zilizipo Mtaa huo wa Nyakasangwe ili kupisha ujenzi wa barabara ya Lami unaondelea sasa toka Bwawani kupitia Nyakasangwe hadi Madale Flamingo.

Wakiongea na vyombo vya habari wananchi ambao wengi wao ni Makada kindaki ndaki wa Chama Cha Mapinduzi "CCM" walioneshwa kusikitishwa na kukerwa na hatua ya kushindwa kuvunjwa kwa fremu hizo hali inayofanya mkandarasi kushindwa kutanua barabara hiyo kwenye eneo hilo ambalo ni Center na ndiyo tegemeo kwa wananchi.

Aidha wananchi hao walifika mbali zaidi kwa kumuomba Rais Samia au Waziri wa Ujenzi kufika eneo hilo kwa ajili ya kusaidia jambo hilo lenye masirahi mapana na wananchi wengi kwani pia ni sehemu ya utakelezaji wa ILANI ya chama chao.

Baada ya malalamiko hayo Mkoi Tv Online ilimtafuta JACOB SIAY KATIBU CCM WILAYA YA KINONDONI ili kujibu madai hayo ya wananchi na haya ndiyo majibu yake...........

Wananchi wa mtaa wa Nyakasangwe Kata ya Wazo Wilaya ya Kinondoni Da...

05/08/2026

WANANCHI NAKASANGWE WAZO NA CCM KINONDONI WAINGIA KWENYE MGOGORO MZITO, WAZEE WAMUOMBA RAIS SAMIA KUINGILIA KATI. KATIBU CCM AJIBU..!

Na Mwandishi Wetu Mkoi TV Online
+255713575718
Wananchi wa mtaa wa Nyakasangwe Kata ya Wazo Wilaya ya Kinondoni Dar Es Salaam wamekijia juu chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni kwa madai ya kuzuia kuvunjwa kwa Fremu zao za CCM zilizipo Mtaa huo wa Nyakasangwe ili kupisha ujenzi wa barabara ya Lami unaondelea sasa toka Bwawani kupitia Nyakasangwe hadi Madale Flamingo.

Wakiongea na vyombo vya habari wananchi ambao wengi wao ni Makada kindaki ndaki wa Chama Cha Mapinduzi “CCM” walioneshwa kusikitishwa na kukerwa na hatua ya kushindwa kuvunjwa kwa fremu hizo hali inayofanya mkandarasi kushindwa kutanua barabara hiyo kwenye eneo hilo ambalo ni Center na ndiyo tegemeo kwa wananchi.

Aidha wananchi hao walifika mbali zaidi kwa kumuomba Rais Samia au Waziri wa Ujenzi kufika eneo hilo kwa ajili ya kusaidia jambo hilo lenye masirahi mapana na wananchi wengi kwani pia ni sehemu ya utakelezaji wa ILANI ya chama chao.

Baada ya malalamiko hayo Mkoi Tv Online ilimtafuta JACOB SIAY KATIBU CCM WILAYA YA KINONDONI ili kujibu madai hayo ya wananchi na haya ndiyo majibu yake...... TUMEKUWEKEA YOU TUBE MKOI TV ONLINE KARIBU USIKIE WALICHOJIBU CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KINONDONI KUPITIA JACOB SIAY....
Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini - TARURA

01/08/2026

DOLA ELFU 30 ZA DIAMOND ALIZOMTUNZA ZUCHU KWENYE SHEREHE, SAWA NA TSH MILIONI 78,000,000/:

DADA AISHI NA BWANA MIEZI SITA AKIDHANI MUME KUMBE MKE, AHOFIA KUPOTEZA KIZAZI..!
31/07/2026

DADA AISHI NA BWANA MIEZI SITA AKIDHANI MUME KUMBE MKE, AHOFIA KUPOTEZA KIZAZI..!

DADA AMUOMBA WAZIRI GWAJIMA AMSAIDIE KUMTIA MBARONI,APATA MATATIZ...

30/07/2026

Shigongo Cup 2026 Hapatoshi Buchosa..!

30/07/2026

Asili yake ni Tanzania, Mzalendo wa kweli asiyeyumbishwa na kelele zozote. Mahaba yake mazito na Taifa hili ni malengo mapana siku zijazo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

24/07/2026

LIVE: Breaking News.
Saa 5-00 Usiku … Milio itasikia kila kona🤩.Kaa karibu na simu yako Mwananchi🔰

24/07/2026

Wanasema imetokea leo asubuhi”Ajali mbaya yatokea mitaa ya morocco bodaboda afariki hapohapo”😭😭😭

Address

NYAKASANGWE Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255713575718

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MKOI TV Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share