Salim Njama's

Salim Njama's Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Salim Njama's, Marketing Agency, njamasalim710@gmail. com, Dar es Salaam.

16/08/2026
15/08/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

11/08/2026

Klabu ya Young Africans rasmi
imemtambulisha mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Selemani Mwalimu 'Gomez', k**a mchezaji wao mpya kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2026/27.

Utambulisho huo unakuja katikati ya utata mkubwa, kwani awali Klabu ya Simba SC kupitia kwa Meneja wao wa Habari na Mawasiliano walithibitisha kuwa wamefikia makubaliano na klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco ili kunasa saini ya mshambuliaji huyo.

Wakati wa tamasha la Simba Day 2026, msemaji wa Simba alibainisha kuwa Gomez tayari alikuwa njiani kurejea nchini kutoka Morocco kwa ajili ya kujiunga na miamba hiyo ya Msimbazi, kabla ya Yanga SC kuwashangaza mashabiki kwa kumtambulisha rasmi kikosini mwao.

11/08/2026
Every good  things comes with en end
17/07/2026

Every good things comes with en end

Address

Njamasalim710@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salim Njama's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share