Foma Entertainment

Foma Entertainment Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Foma Entertainment, Bukoba Street, Kijitonyama, Dar es Salaam.

Kheri ya EID-AL-ADHA kwa wateja wetu wote.
07/06/2025

Kheri ya EID-AL-ADHA kwa wateja wetu wote.

 production
11/05/2025

production

Heri ya Ijumaa Kuu kwa wateja wetu wote.
18/04/2025

Heri ya Ijumaa Kuu kwa wateja wetu wote.

03/04/2025

  ya Eid Mubarak
31/03/2025

ya Eid Mubarak

OFA KWA WAANDISHI WA VITABUSasa unawezapata version ya sauti ya kitabu chako. Na ukauza pia katika mfumo wa Audiobook.FO...
06/03/2025

OFA KWA WAANDISHI WA VITABU

Sasa unawezapata version ya sauti ya kitabu chako. Na ukauza pia katika mfumo wa Audiobook.

FOMA ENTERTAINMENT MEDIA COMPANY LIMITED, kampuni ya kitanzania ya Audio/Video production, inatoa punguzo la hadi 50% ya bei zake msimu huu wa Kwaresma na Ramadhan.

TZS 5,000 tu kwa page ya kitabu badala ya TZS 10,000. Gharama hizi zimejumuisha VAT.

Wasiliana nasi kwa Whatsapp/kupiga 0757432348. OFA HII NI YA MUDA MFUPI ZAIDI, HIVYO WAHI!

Heri ya Kwaresma
05/03/2025

Heri ya Kwaresma

Matangazo haya unawezakuyatumia kufanya Sponsored Ads huku Mitandaoni. Ni kwasababu:โœ… Huvutia wateja wako wapya kwa hara...
04/03/2025

Matangazo haya unawezakuyatumia kufanya Sponsored Ads huku Mitandaoni. Ni kwasababu:

โœ… Huvutia wateja wako wapya kwa haraka.

โœ… Hujenga uaminifu kwa biashara yako.

โœ… Husaidia bidhaa zako kufikia masoko mapya.

๐ŸŽฅ Tazama video hizo fupi kujifunza jinsi matangazo haya yanavyoweza kubadilisha biashara yako pia kimasoko.

Sisi ni Nani?

Sisi ni FOMA ENTERTAINMENT MEDIA COMPANY LIMITED, ni kampuni ya Kitanzania na ni wabobezi wa uzalishaji wa matangazo bora ya:
๐ŸŽฏ Video za matangazo ya biashara aina zote.

๐ŸŽฏ Matangazo ya redio kwa ajili ya biashara yako.

๐ŸŽฏ Makala za Taasisi na Mashirika mbalimbali.

โœ”๏ธ Tumefanya kazi na makampuni makubwa na taasisi zinazoaminika ndani na nje ya nchi. Ikiwemo BBC STUDIOS, CCM, LHRC, WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII n.k

โœ”๏ธ Mashirika makubwa yametuamini, kwanini nawe usituamini?

Gharama za matangazo hayo ni zaidi ya TZS 1,000,000 kabla ya VAT.

Lakini leo;

Tunataka tukupe kwa ofa bab kubwa ya TZS 180,000 TU pamoja na VAT kwa matangazo ya VIDEO. Na sauti tu TZS 100,000 pamoja na VAT.

๐ŸŒWasiliana nasi:
๐Ÿ“ž Simu: +255757432348
๐Ÿ“ง Barua pepe: [email protected]

Ofisi zetu zipo Kijitonyama, Mtaa wa Bukoba, Karibu na Makumbusho Bus Stand, Kinondoni, Dar Es Salaam.

NJOO USIKILIZE SIMULIZI YA SEPTEMBA 11. Ni simulizi inayoelezea mkasa mzima wa AL-QAEDA kulipua majengo ya World Trade C...
27/03/2024

NJOO USIKILIZE SIMULIZI YA SEPTEMBA 11. Ni simulizi inayoelezea mkasa mzima wa AL-QAEDA kulipua majengo ya World Trade Center nchini Marekani. Ni ndefu balaa. Iko katika episodes na inarushwa kila siku. Ni TSH 10,000 tu. M-PESA +255757432348 FOMA ENTERTAINMENT MEDIA COMPANY LIMITED. Ukishalipia tuma risiti yako WHATSAPP +255757432348

Kuna mifumo mingi sana kwasasa inayotoa invoice kidijitali.Lakini changamoto zao ni moja hazikusaidii kukuza brand yako๐Ÿฅบ...
14/04/2022

Kuna mifumo mingi sana kwasasa inayotoa invoice kidijitali.
Lakini changamoto zao ni moja hazikusaidii kukuza brand yako๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ

Kwamfano templates za email inayotumika kutuma pdf ya invoice kwenda kwa mteja kwa njia ya email, huwa haziwi na social media links za instagram na facebook yako badala yake zinawekwa za wamiliki wa mfumo๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 

Mbali na hilo hata email tu inayotumika kutuma hiyo invoice haiwi yako, zinakuwa zao. Inakeraje!๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ
๐Ÿ˜“

Ni kweli kutoa invoice kwa wakati lakini kimsingi hauwezikuikuza brand yako kibiashara. Hata sisi mwanzo tulikuwa tunazitumia sana lakini baadae tukagundua kwamba tulikuwa tunasaidia kuwapromote zaidi wamiliki wa mfumo kuliko huduma zetu, tukaachana nao.๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ

Karibu FOMA ENTERTAINMENT.

Tutakupatia mfumo utakaokuwezesha kutoa invoice kwa wateja wako kidijitali na kwa urahisi tu๐Ÿ˜‡

Na kwenye email, template ya email unazotumia kutuma invoice kwa wateja wako, tutakuwekea social media accounts zako.

Kwa ambao hawazifahamu email templates, slide kushoto uzione jinsi zinavyokuwa. Lakini pia tutakusaidia kukuwekea logo ya biashara yako kwenye email na invoice zako na vitu vingine ukivihitaji.

Mbali na hiyo k**a bado huna email inayotumia jina la biashara yako k**a [email protected] tutakusaidia kukutengenezea.

Gharama za kufanyiwa installation mfumo huu kwaajili ya biashara yako ni Tsh 85,000 tu na utapata ofa ya mwezi mmoja bure.
Baada ya hapo unakuwa unaulipia Tsh 5,000 tu kila mwezi.

Wasiliana nasi 24/7 kwa Whatsapp +255659982764

Au ๐Ÿ“ฒ kwa siku za kazi +255222701398 au ๐Ÿ“ง [email protected]..

KUMBUKA: Siyo lazima uwe na website na hauhitajiki kudownload chochote lakini pia unawezakutoa invoice hata kwa njia ya simu.

FAIDA ZAKE

1. Mfumo utakusaidia kutunza kumbukumbu za wateja wako na huduma zako kwenye mfumo.

2. Utakusaidia kujua invoice ipi imelipiwa na zipi hazijalipiwa.

3. Hautakuwa na haja ya kuandika email mara kwa mara, unaseti tu format ya maneno yako ya email halafu kwenye system inajisend tu yenyewe wakati unapomaliza kucreate invoice kwa mteja wako baada ya kujaza taarifa zake k**a vile email yake, majina yake kamili na namba zake za simu kwaajili ya ufuatiliaji.

Simple like that๐Ÿง

Address

Bukoba Street, Kijitonyama
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Foma Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share