30/08/2022
Habari za leo ndugu zangu kumekucha tunamshukuru mungu, tunaendelea kupambana na kutafuta namna yeyote ile ya kupata chakula cha leo.
Maana halisi ya logo/nembo huwa inatumika kuficha kitu flan k**a ni jina au alama, au k**a kuna kitu cha kihistoria kishawahi kutokea huko nyuma.... Hiyo ndo log, kwa hyo ina ficha ilimradi sio kwamba kila mtu lazima aielewe logo yako inamaanisha nini, inatakiwa kuwa tofauti kabisa/unique...Tuendelee kujifunza....