18/01/2025
Miongoni mwa changamoto ambazo tunakumbana nazo sana wafanya biashara ni kutokua na mfumo sahihi wa Utunzaji wa Taarifa , mapato na matumizi ya biashara zetu.
kuhakikisha ilo jiulize una mda gani tangu uanze kufanya biashara ?
Je una kumbukumbu za bishara yako kuanzia ulivyoanza adi sasa ?
Umeingiza kiasi gani tangu ulivyoanza bishara yako ?
K**a unakosa majibu sahihi Hujacherewa
HAKIKISHA KILA SIKU UNATUNZA
KUMBUKUMBU YA MATUMIZI NA MAUZO YA
BIASHARA KWA KILA SIKU
ANZA LEO, HUJACHEREWA.
NAWEZAJE
KUTUNZA
KUMBUKUMBU
ZA
BIASHARA
YANGU.
🙂
NUNUA COUNTER BOOK 3:kwa bei ya kawaida ni 2700-3500
* DAFTARI LAKWANZA: Apa orodhesha matumizi na mauzo yote ya kila siku na kwakuanza na tarehe , hili linatumika kuunganisha taarfa ya daftar la kwanza na lapili
*DAFTARI LA PILI:unarekodi kila shughuli ya mauzo, ikijumuisha tarehe, kiasi, na aina ya bidhaa au huduma
*DAFTARI LATATU: orodhesha gharama zote za biashara, k**a vile mishahara, kodi, manunuzi ya bishaa
2. Kutumia Programu za Kompyuta
* Software za Uhasibu: Programu k**a vile QuickBooks, Sage, na Zoho Books zinakuwezesha kuingiza data ya mauzo, matumizi, hesabu, na mengineyo kwa urahisi.
pia zipoapps ambazo unaeza kutunza mauzo yako.
* Spreadsheet: Programu k**a vile Microsoft Excel inaweza kutumika kuunda karatasi za mahesabu kwa ajili ya kufuatilia data yako.
* Programu za Usimamizi wa Mahusiano
Inua biashara yako na sisi
wa.me/255658208372