Gee Graphic Designer

Gee Graphic Designer HUDUMA TUNAZOTOA
�LOGO
�POSTERS
�VIDEO ZA BIASHARA
�VIDEO ZA CARTOON
�KADI ZA MIALIKO/

10/11/2024
K**A UNAFANYA BIASHARA USIPITE BILA KUSOMA HII NI MUHIMU Asilimia 90% ya wafanyabiashara Wanatumia logo zinazowatambulis...
06/08/2024

K**A UNAFANYA BIASHARA USIPITE BILA KUSOMA HII NI MUHIMU

Asilimia 90% ya wafanyabiashara
Wanatumia logo zinazowatambulisha kibiashara
Hivi unajua umuhimu wa logo katika biashara yako? Huenda gharama zinaweza kuwa kizuizi. Sasa, tunayo ofa maalum kwako.

Tunakupa fursa ya pekee ya kuwa na logo ya kitaalamu kwa gharama ya ofa
Tsh 19,000 badala ya ~35,000

✅️Logo hii itakusaidia kutambulika, kuongeza uaminifu, na kuvutia wateja wapya.
✅️Logo ambayo ndiyo inatakiwa iwe utambulisho wa kipekee kwamba mtu asiweze kukufananisha wewe na wafanyabiashara wengine katika soko_
✅️logo hii utaweza kuiprint kwenye Tshirt au Picha mbao au kuitumia k**a stikers juu ya post zako

Usipoteze tena fursa, badilisha biashara yako leo
Whatsapp +255762294013

Hawa 👇👇👇ni baadhi ya Boss Zangu Walioniamini Tukafanya Kazi Asanteni Sana

Hivi unajua nane nane hii kuna Ofa Kabambe Asilimia 90% ya wafanyabiashara Wanatumia logo zinazowatambulisha kibiashara ...
31/03/2024

Hivi unajua nane nane hii kuna Ofa Kabambe

Asilimia 90% ya wafanyabiashara
Wanatumia logo zinazowatambulisha kibiashara
Hivi unajua umuhimu wa logo katika biashara yako? Huenda gharama zinaweza kuwa kizuizi. Sasa, tunayo ofa maalum kwako.

Tunakupa fursa ya pekee ya kuwa na logo ya kitaalamu kwa gharama ya ofa Tsh 25,000 badala ya ~35,000~ . Logo hii itakusaidia kutambulika, kuongeza uaminifu, na kuvutia wateja wapya.
Logo ambayo ndiyo inatakiwa iwe utambulisho wa kipekee kwamba mtu asiweze kukufananisha wewe na wafanyabiashara wengine katika soko_ logo hii utaweza kuiprint kwenye Tshirt au Picha mbao au kuitumia k**a stikers juu ya post zako
Usipoteze tena fursa, badilisha biashara yako leo

Whatsapp +2557622940131

Hapa na anza safari yako ya mafanikio na logo mpya kabisaaaa!
Hawa 👇👇👇ni baadhi ya Boss Zangu Walioniamini Tukafanya Kazi Asanteni Sana

OFFER YA PASAKA 🔥🔥🔥🔥🔥TSH 5000 TU BADALA YA TSH 15,000Je ! Umechoshwa na kupoteza muda kuandika maelezo kwenye mizigo?Hiv...
31/03/2024

OFFER YA PASAKA 🔥🔥🔥🔥🔥TSH 5000 TU BADALA YA TSH 15,000

Je ! Umechoshwa na kupoteza muda kuandika maelezo kwenye mizigo?
Hivi! Unapata shida kuandaa mizigo ya wateja wako kwa ajili ya usafirishaji mikoani?
Je, unatafuta njia rahisi na ya haraka ya kuweka alama kwenye mizigo na kuepuka makosa?

Usijali tena! Tunakuletea suluhisho bora:
Stika za Mizigo kwa Wafanyabiashara wa Online!

Stika hizi za kipekee zinakupa:
Urahisi: Andika tu jina la mteja, jina lako, na mawasiliano kwenye stika na ubandike kwenye mzigo. Hakuna haja ya kuandika tena na tena!

📍Ku design ikiwa na logo, na jina lako ni Tsh 5,000 tu , una print mwenyewe sehemu iliyo karibu na wewe
📍Ku design pamoja na ku print kila kitu kwetu ni Tsh 30,000 tu Pcs 100

Usikose fursa hii ya kuboresha biashara yako ya mtandaoni. Agiza stika zako leo!
Piga simu kwa [0762294013] au tuma ujumbe kwa 0762294013] ili kuagiza.
Usipoteze muda, agiza stika zako sasa!

**

Je ! Umechoshwa na kupoteza muda kuandika maelezo kwenye mizigo?Hivi! Unapata shida kuandaa mizigo ya wateja wako kwa aj...
09/02/2024

Je ! Umechoshwa na kupoteza muda kuandika maelezo kwenye mizigo?
Hivi! Unapata shida kuandaa mizigo ya wateja wako kwa ajili ya usafirishaji mikoani?
Je, unatafuta njia rahisi na ya haraka ya kuweka alama kwenye mizigo na kuepuka makosa?

Usijali tena! Tunakuletea suluhisho bora:
Stika za Mizigo kwa Wafanyabiashara wa Online!

Stika hizi za kipekee zinakupa:
Urahisi: Andika tu jina la mteja, jina lako, na mawasiliano kwenye stika na ubandike kwenye mzigo. Hakuna haja ya kuandika tena na tena!
Ufanisi:Okoa muda na uongeze tija yako kwa kutumia stika hizi zilizopangwa tayari. Hii itakusaidia kuongeza wateja, ni njia rahisi ya kujitangaza bila gharama
Usahihi:Punguza makosa ya utoaji kwa kuhakikisha kila mzigo una alama sahihi.
Utaalamu:Ongeza mguso wa kitaalamu kwa biashara yako kwa kutumia stika hizi zenye muundo mzuri. Husaidia kuitofautisha biashara yaki na wengine

📍Ku design ikiwa na logo, na jina lako ni Tsh 10,000 tu , una print mwenyewe sehemu iliyo karibu na wewe
📍Ku design pamoja na ku print kila kitu kwetu ni Tsh 30,000 tu Pcs 100

Usikose fursa hii ya kuboresha biashara yako ya mtandaoni. Agiza stika zako leo!
Piga simu kwa [0762294013] au tuma ujumbe kwa 0762294013] ili kuagiza.
Usipoteze muda, agiza stika zako sasa!

**

OFFER 🔥 OFEER 🔥 OFFER 🔥Asilimia 90% ya wafanyabiashara Wanatumia logo zinazowatambulisha kibiashara Hivi unajua umuhimu ...
22/01/2024

OFFER 🔥 OFEER 🔥 OFFER 🔥

Asilimia 90% ya wafanyabiashara
Wanatumia logo zinazowatambulisha kibiashara
Hivi unajua umuhimu wa logo katika biashara yako? Huenda gharama zinaweza kuwa kizuizi. Sasa, tunayo ofa maalum kwako.

Tunakupa fursa ya pekee ya kuwa na logo ya kitaalamu kwa gharama ya ofa Tsh 19,000 badala ya ~25,000~ . Logo hii itakusaidia kutambulika, kuongeza uaminifu, na kuvutia wateja wapya.
Logo ambayo ndiyo inatakiwa iwe utambulisho wa kipekee kwamba mtu asiweze kukufananisha wewe na wafanyabiashara wengine katika soko_ logo hii utaweza kuiprint kwenye Tshirt au Picha mbao au kuitumia k**a stikers juu ya post zako
Usipoteze tena fursa, badilisha biashara yako leo

Whatsapp +255762294013
https://wa.me/message/ESQAIDIVSHADK1

Hapa na anza safari yako ya mafanikio na logo mpya kabisaaaa!
Hawa 👇👇👇ni baadhi ya Boss Zangu Walioniamini Tukafanya Kazi Asanteni Sana

Je, wewe ni mfanyabiashara mdogo?Je, unahisi k**a biashara yako haionekani?Je, unahisi k**a wateja wako hawakukumbuka?Je...
07/01/2024

Je, wewe ni mfanyabiashara mdogo?
Je, unahisi k**a biashara yako haionekani?
Je, unahisi k**a wateja wako hawakukumbuka?
Je, unahisi k**a biashara yako wateja hawajitokezi?
Ikiwa ndivyo, basi huna logo.

Logo ni muhimu kwa biashara yoyote, kubwa au ndogo. Ni njia ya wateja wako kukutambua na kukumbuka biashara yako.

Lakini gharama ya kutengeneza logo inaweza kuwa ya juu, hasa kwako wewe mfanyabiashara mdogo.

Hata hivyo, sasa unaweza kupata logo yako kwa ofa ya Tsh 20,000 tu. Badala ya Tsh 25,000

Ndiyo, ni kweli. Kwa Tsh 20,000 tu, unaweza kupata logo ya kitaalamu ambayo itafanya biashara yako ionekane, ikumbukwe, na kukuongezea wateja

Wasiliana nasi leo ili kupata logo yako ya kitaalamu kwa **sh 20,000** tu.** Badala ya Tsh 25,000

Whatsapp
+255 762 294 013

Gusa Link👇
https://wa.me/message/ESQAIDIVSHADK1

Happy Independece Day
09/12/2023

Happy Independece Day

Happy Independence Day
09/12/2023

Happy Independence Day

Asilimia 90% ya wafanyabiashara  nilio watengenezea wameweza ku print logo zao na Wanatumia,  zinazowatambulisha kibiash...
17/11/2023

Asilimia 90% ya wafanyabiashara nilio watengenezea wameweza ku print logo zao na
Wanatumia, zinazowatambulisha kibiashara
Hivi unajua umuhimu wa logo katika biashara yako? Huenda gharama zinaweza kuwa kizuizi. Sasa, tunayo ofa maalum kwako.

Tunakupa fursa ya pekee ya kuwa na logo ya kitaalamu kwa gharama ya ofa Tsh 19,000 badala ya ~25,000~ . Logo hii itakusaidia kutambulika, kuongeza uaminifu, na kuvutia wateja wapya.
Logo ambayo ndiyo inatakiwa iwe utambulisho wako wa kipekee kwamba mtu asiweze kukufananisha wewe na wafanyabiashara wengine katika soko_

Usipoteze tena fursa, badilisha biashara yako leohaijalishi una duka au hauna hata k**a una post Mtandaoni hakikisha una logo yako

Gusa link 👇
https://wa.me/message/ESQAIDIVSHADK1

Whatsapp +255762294013

hapa na anza safari yako ya mafanikio na logo mpya kabisaaaa!

Asilimia 90% ya wafanyabiashara Wanatumia logo zinazowatambulisha kibiashara Hivi unajua umuhimu wa logo katika biashara...
01/11/2023

Asilimia 90% ya wafanyabiashara
Wanatumia logo zinazowatambulisha kibiashara
Hivi unajua umuhimu wa logo katika biashara yako? Huenda gharama zinaweza kuwa kizuizi. Sasa, tunayo ofa maalum kwako.

Tunakupa fursa ya pekee ya kuwa na logo ya kitaalamu kwa gharama ya ofa Tsh 19,000 badala ya ~25,000~ . Logo hii itakusaidia kutambulika, kuongeza uaminifu, na kuvutia wateja wapya.
Logo ambayo ndiyo inatakiwa iwe utambulisho wankipekee kwamba mtu asiweze kukufananisha wewe na wafanyabiashara wengine katika soko_

Usipoteze tena fursa, badilisha biashara yako leo

Gusa link 👇
https://wa.me/message/ESQAIDIVSHADK1

Whatsapp +255762294013

hapa na anza safari yako ya mafanikio na logo mpya kabisaaaa!

Unataka biashara yako ionekane ya kitaalamu na kuvutia zaidi? Tengeneza logo ya biashara yako! Logo ina nguvu kubwa ya k...
15/09/2023

Unataka biashara yako ionekane ya kitaalamu na kuvutia zaidi? Tengeneza logo ya biashara yako!
Logo ina nguvu kubwa ya kuwakilisha biashara yako na kuifanya iweze kutambulika kwa urahisi. Hata hivyo, unaweza kuwa huna ujuzi wa kutosha wa kubuni logo yako mwenyewe. Hapa ndipo tunapokuja k**a suluhisho lako!

Tunakualika wafanyabiashara wadogo kuunda/ kutebgeneza logo za biashara zao na sisi. Tunatoa huduma za ubunifu wa logo kwa bei nafuu, na tunahakikisha ubora wa hali ya juu. Tufikie leo na tuanze kujenga brand yako ya biashara!

Karibuni sana
0762 294 013

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 00:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gee Graphic Designer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share