Kilimo na super gro

Kilimo na super gro TUNASAMBAZA BIDHAA YA SUPER GRO MIKOA YOTE TUNAFANYA DERIVERY
WASILIANA NASI 0692012883

Nauza pikipiki hii boxer x cc 125 kali sana haina kipengel chochot Bei m1,150,000 wahi pg sm 069201288Ipo kimara mwisho ...
28/02/2025

Nauza pikipiki hii boxer x cc 125 kali sana haina kipengel chochot
Bei m1,150,000 wahi pg sm 069201288
Ipo kimara mwisho dar es saĺaam mkoan tunasafirisha karibu sana.

TUNAHITAJI MAWAKALA WA SUPER GRO MIKOA YOTE- TUNAFANYA DERIVERY MIKOA YOTE WASILIANA NASI Call/Whatsapp 0692012883
13/08/2022

TUNAHITAJI MAWAKALA WA SUPER GRO MIKOA YOTE
- TUNAFANYA DERIVERY MIKOA YOTE
WASILIANA NASI Call/Whatsapp
0692012883

ONGEZAA MAVUNO NA SUPER GRO SUPER GRONi kirutubisho cha mimea ya aina yote.  Bidhaa hii sasa ni maarufu duniani na huku ...
02/08/2022

ONGEZAA MAVUNO NA SUPER GRO

SUPER GRO
Ni kirutubisho cha mimea ya aina yote. Bidhaa hii sasa ni maarufu duniani na huku Africa Mashariki kwani imeweza kuwasaidia wakulima kuongeza mazao na kupunguza gharama za kilimo hasa madawa na mbolea.

📶SUPER GRO IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA MFANO
1⃣Mvua haba
2⃣Mazao hafifu
3⃣Udongo uloishiwa rutuba
4⃣Wadudu na Magonjwa
5⃣Gharama kubwa za pembejeo
6⃣Masoko ya mazao yao
👆Changamoto hizo za wa kulima zinajibiwa na 👉Super Gro tu.

JINSI YA KUTUMIA SUPER GRO

Taarifa ifuatayo imetolewa k**a mwongozo kurahisisha wakulima kuitumia bidhaa hii mashambani izingatiwe kuwa Super Gro imesajiliwa na mkemia mkuu wa serikali Tanzania.
Pia katka taarifa hii imeandaliwa kutokana na uzoefu ulopatikana kwa wakulima wenyewe baada ya matumizi ya muda mrefu kutoka sehemu mbalimbali k**a
mbeya,iringa, Kilimanjaro, Dodoma, Morogoro,Mtwara na Kagera.
Taarifa za nyongeza pia zinatoka sehemu kadhaa za nchi jirani Kenya na Uganda.
Hata hivyo matokeo ya super gro yametofautiana sehemu moja hadi nyingine kutokana na hali ya hewa na mazingira ya eneo.
SUPER GRO ipo katika ujazo wa mils au cc 250mls yaani robo lita zinazoweza kutumika katka eneo la karbu ekari mbili na ujazo wa lita 5 ambazo zinaweza kutumika kwenye eneo la ekari 10 hadi 15 kutegemeana na aina ya zao linalohudumiwa.

↘Kawaida maji mengi hutiririka juu ya udongo na majani ya mimea bila kupenya ardhini na kiasi kidogo tu hupenya na kuishia tabaka la juu la udongo, Jua likiwaka maji hayo hupotea k**a mvuke hewana.

SUPER GRO NI NINI?
Ni kirutubisho cha mmea na ardhi.
✅Hulainisha maji na kuondoa mzio wa maji. Kwani huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na madini na virutubosho vingi.
✅Huongeza rutuba katika udongo
✅Husaidia maua yasipukutishwe na upepo hivyo huongeza wingi wa mazao
✔Ni k**a gundi huwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza kuua wadudu kwa urahisi zaidi
✔Huongeza uwezo wa udongo kutunza unyevunyevu
✅Huyeyusha hali ya mafuta mafuta kwenye majani ya mmea hivyo hutawanyisha maji kwa urahisi
✅Huleta rangi ya kijani katika mmea

SIFA ZAIDI ZA SUPER GRO
1⃣Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyo lemaaa
2⃣Husaidia mimea kukua kwenye kimo kimoja
3⃣Huzuia fungas ( fungus) au ukungu kwenye mimea
4⃣Haina sumu ni salama kwa binadamu pia na mazingira kwasababu haiathiri udongo
5⃣Huongeza kiasi cha mavuno pia ukubwa wa matunda
6⃣Huongeza uzito wa mazao kwa mfano
Kabichi, ngongo, vitunguu, Karoti, mahindi, viazi, korosho, chai, kahawa, maharage, kunde na mazao mengineyo.
Hunyonywa haraka zaidi super gro pia haina ugomvi na bidhaa zingine za kusaidia ukuaji wa mimea.

MATUMIZI

Mililita moja (cc) ya super gro changanya na maji lita moja au mililita (cc)5 za Super Gro changanya na lita 5 za maji, mililita 100 za super gro changanya na lita 100 za maji

Wakati maji💦 ni uhai lakini yanazidi kupungua Duniani huku idadi ya watu inazidi kuongezeka
SUPER GRO ni MKOMBOZI Mkubwa kwani i
nasaidia kupunguza mai tumizi ya madawa ya Kilimo.ili kupata super gro original fika ofisini au wasiliana nasi kwa what's or call 0692012883

MAWAKALA WA SUPER GRO MIKOA YOTE.

Wasiliana nasi Whatsapp/call 0692012883

MAWAKALA WA SUPER GRO MIKOA YOTE

Wasiliana nasi Whatsapp/call 0692012883

SUPER GROKWA AJILI YA KUPIGA VITA UMASIKINI NA NJAASUPER GRONi kirutubisho cha mimea ya aina yote.  Bidhaa hii sasa ni m...
10/03/2020

SUPER GRO

KWA AJILI YA KUPIGA VITA UMASIKINI NA NJAA

SUPER GRO
Ni kirutubisho cha mimea ya aina yote. Bidhaa hii sasa ni maarufu duniani na huku Africa Mashariki kwani imeweza kuwasaidia wakulima kuongeza mazao na kupunguza gharama za kilimo hasa madawa na mbolea.

Bidhaa hi inatoka kampuni ya kimarekani inayoitwa Golden Neo Diametre International L.td (GNLD/NEO LIFE)
Kampuni imesajiliwa kufanya biashara Marekana 1958 na Tanzania tangu mwaka Aprili 1999.

📶SUPER GRO IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA MFANO
1⃣Mvua haba
2⃣Mazao hafifu
3⃣Udongo uloishiwa rutuba
4⃣Wadudu na Magonjwa
5⃣Gharama kubwa za pembejeo
6⃣Masoko ya mazao yao
👆Changamoto hizo za wa kulima zinajibiwa na 👉Super Gro tu.

JINSI YA KUTUMIA SUPER GRO

Taarifa ifuatayo imetolewa k**a mwongozo kurahisisha wakulima kuitumia bidhaa hii mashambani izingatiwe kuwa Super Gro imesajiliwa na mkemia mkuu wa serikali Tanzania.
Pia katka taarifa hii imeandaliwa kutokana na uzoefu ulopatikana kwa wakulima wenyewe baada ya matumizi ya muda mrefu kutoka sehemu mbalimbali k**a
mbeya,iringa, Kilimanjaro, Dodoma, Morogoro,Mtwara na Kagera.
Taarifa za nyongeza pia zinatoka sehemu kadhaa za nchi jirani Kenya na Uganda.
Hata hivyo matokeo ya super gro yametofautiana sehemu moja hadi nyingine kutokana na hali ya hewa na mazingira ya eneo.
Super gro ipo katka ujazo wa mils au cc 250mls yaani robo lita zinazoweza kutumika katka eneo la karbu ekari mbili na ujazo wa lita 5 ambazo zinaweza kutumika kwenye eneo la ekari 10 hadi 15 kutegemeana na aina ya zao linalohudumiwa.

↘Kawaida maji mengi hutiririka juu ya udongo na majani ya mimea bila kupenya ardhini na kiasi kidogo tu hupenya na kuishia tabaka la juu la udongo, Jua likiwaka maji hayo hupotea k**a mvuke hewana.

SUPER GRO NI NINI?
Ni kirutubisho cha mmea na ardhi.
✅Hulainisha maji na kuondoa mzio wa maji. Kwani huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na madini na virutubosho vingi.
✅Huongeza rutuba katika udongo
✅Husaidia maua yasipukutishwe na upepo hivyo huongeza wingi wa mazao
✔Ni k**a gundi huwezesha madawa ya kilimo aina zote kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza kuua wadudu kwa urahisi zaidi
✔Huongeza uwezo wa udongo kutunza unyevunyevu
✅Huyeyusha hali ya mafuta mafuta kwenye majani ya mmea hivyo hutawanyisha maji kwa urahisi
✅Huleta rangi ya kijani katika mmea

SIFA ZAIDI ZA SUPER GRO
1⃣Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyo lemaaa
2⃣Husaidia mimea kukua kwenye kimo kimoja
3⃣Huzuia fungas ( fungus) au ukungu kwenye mimea
4⃣Haina sumu ni salama kwa binadamu pia na mazingira kwasababu haiathiri udongo
5⃣Huongeza kiasi cha mavuno pia ukubwa wa matunda
6⃣Huongeza uzito wa mazao kwa mfano
Kabichi, ngongo, vitunguu, Karoti, mahindi, viazi, korosho, chai, kahawa, maharage, kunde na mazao mengineyo.
Hunyonywa haraka zaidi super gro pia haina ugomvi na bidhaa zingine za kusaidia ukuaji wa mimea.

MATUMIZI

Mililita moja (cc) ya super gro changanya na maji lita moja au mililita (cc)5 za Super Gro changanya na lita 5 za maji, mililita 100 za super gro changanya na lita 100 za maji

👉MAHARAGE NA SOYA----Kabla ya kupanda loweka mbengu kwa masaa manne kwenye mchanganyiko wa Super Gro na maji. wakati wa kupanda acha nafasi ya sentimita 30 au rula moja kila moja kila upande kati ya mbegu na mbegu.
Badaa ya kuota puliza maharage yakiwa na majani mawili au matatu.
Wakati wa mvua pulizia mara moja kila baada ya wiki mbili na mara moja kwa wiki wakati wa kiangazi (ukame)
Kuzuia wadudu waharibifu changanya kwa mfano (mililita 15 duducyper kwenye super gro mililita 15 na maji lita 15) Puliza kila baada ya wiki mbili au moja mpaka maua yatakapokomaa na kudondoka yenyewe. Baadhi ya sehemu huko Uganda wameweza kuvuna chini ya miezi miwili baada ya kupanda

JEDWALI LIFUTALO LINAONYESHA MATOKEO BAADA YA KUTUMIA SUPER GRO katk wilaya za MASAKA na MITYANA.

MASAKA

MITYANA

Maharage yaliyopandwa

Kilo 6

Kilo 7

Maharage yaliyovunwa

Kilo 250

Kilo 250

MAHINDI🌽
👉loweka mahindi kwenye mchanganyiko wa mililita cc moja ya Super Gro na lita moja ya maji kwa siku mbili. Panda kati ya futi moja na nusu na futi mbili kila ubande wa mbegu, weka mbegu mbili kila shimo. Puliza baada ya mahindi kuota majani mawili hadi manne au urefu wa nusu futi. Endelea kupulizia mara moja kila baada ya wiki mbili wakati wa mvua na mara moja kwa wiki k**a kuna ukame pulizia kwenye majani na ardhi kuzunguka shina. Inashauriwa kuchanganya na dawa za kuua wadudu k**a kuna wadudu endelea kupuliza mpaka mahindi yatakapo toa hindi au mbele wele. Unapotumia super gro Mahindi yana uwezo wa kutoa hindi mapema baada ya wiki 6 yatakuwa tayari kuvunwa yakiwa mabichi baada ya miezi mitatu.
Uzoefu wa wakulima na matokeo ya kutumia Super Gro huko Masaka Uganda tunashuhudia

mahindi yaliyopandwa

Kilo 5

Yaliyovunwa

Kilo 6,000

👉Pia mtama unatakiwa kulowekwa usiku kucha na kupandwa kesho yake na kuhudumiwa k**a mahindi.

KARANGA🥜
👉Kwa zao la karanga inashauriwa kulowekwa kwa saa 6 tu, Panda mistari kati ya nusu futi kila upande na mbegu moja kila shimo. Puliza mchanganyiko wa super gro na maji (1cc super gro kwa lita moja ya maji)
Baada ya kuota puliza mara moja kila baada ya wiki moja wakti wa ukame na mara moja baada ya wiki mbili wakati wa mvua.Acha kupulizia mara zinapoacha kutoa maua.

VIAZI VITAMU🍠
👉loweka vipande vya miche sehemu ambazo zitazikwa ardhini ndio ingie kwenye mchanganyiko wa Super Gro kwa saa 12 , siku tatu baada ya kupanda pulizia juu na endelea kupulizia mara moja kila wiki wakati wa ukame na mara moja baada ya wiki mbili wakti wa mvua. Acha kupuliza baada ya majani kutambaaa na kufika tuta la pili yake. Watumiaji wazoefu wa super gro wanasema baada ya wiki mbili hadi tatu viazi vichanga hufika ukubwa wa kidole
⏭SUPER GRO
👉Hulainisha udongo na kuhifadhi maji kwenye matuta wakati wa kiangazi na viazi vinaweza kuendelea kuzaa hata mwaka mzima.

KAHAWA🌳
👉kwa mimea k**a miti pulizia na mwagilia kuzunguka shina.
Super Gro inaweza kutumika kuanzia kwenye kitalu cha miche mpaka uhai wote wa mibuni, weka nusu lita ya mchanganyiko wa Super Gro na maji kwenywe mmea mmoja wakati mvua weka mara mbili kwa mwezi na wakati wa kiangazi usiweke. Rudia wakati wa mvua tu unapotumia super gro mibuni itaanza kutoa maua kabla ya mwaka kuisha na inaweza kutoa maua haraka baada ya mavuno ukipuliza Super Gro hutoa maua tena. Huzuia sisimizi ambao hupanda kwenye mibuni. Wakati kahawa inatoa maua pulizia super gro bila kuweka dawa yeyote ya kuua wadudu.
⤵Kwa mibuni mikubwa tumia lita tano mchanganyiko wa super gro na maji kwa mbuni mmoja na unaweza kutumia kwenye majani pia.
Matokeo ya mbuni mmoja huweza kutoa hadi kilo 20kg za kahawa ilyokobolewa grade 18.

MIGOMBA🌴 AU NDIZI🍌
👉Kabla ya kupanda loweka shina la mgomba kwa saa 24 baada ya kupanda weka super gro kwa kufuata utaratibu k**a ulotumia kwenye kahawa pia unaweza tumia kwenye dawa ya kuua magugu.

VIAZI MVIRINGO (ULAYA)🌱
👉Pulizia Super Gro kwenye mbegu usiku na kesho yake panda. Baada ya kuota pulizia kila baada ya wiki mbili mpaka vitakapoacha kutoa maua
Mkulima mmoja masaka (UGANDA) Alipanda kiiloba kimoja akavuna viloba vitano.

MBOGA ZA MAJANI NA VITUNGUU🍆🍅🌶
👉Mboga hizo pamoja na zifuatazo
Nyanya, pilipili, hoho nyanya chungu, kabichi, Bilinganya, Spinachi na Mchicha. Isipokuwa kwenye vitunguu super gro ikizidi huaribu umbile la zao kutokana na kuwa na ukubwa usio wa kawaida.

NYANYA🍅
👉loweka mbegu kwa siku mbili kabla ya kupanda, unaweza kupanda kwenye vitaru au moja kwa moja kwenye shimo, kwa kuwa mbegu huwa zinashikana ni vizuri kuziachanisha kabala ya kupanda. Mbegu huota baada ya siku 5 tu ukilinganisha na kawaida ambapo huota baada ya siku 14. Changanya super gro kwenye solo ya kupulizia kwenye majani mililita 1 kwa maji lita 1 k**a ni solo la lita 20 weka mililita 20 cc za super gro hufanya dawa za kuua wadudu na za ukungu kushika vizuri kwenye majani Mfano Blue Kopa kwenywe nyanya
👉Mkulima wa Kishuro (Kagera machibya jumanne)
Baada ya kutumia Super Gro anashuhudia kuvuna nyanya nyingi ambazo hajawahi kuvuna zaidi ya miaka 20 iyopita.

Pia mchanganyiko k**a huo wa maji na super gro unafaa kumwagilia kwani huzama chini kwa wingi na kupunguza kazi ya kumwagilia maji angalau kila baada ya siku tatu badala ya kila siku na kuongeza uwezo wa nyanya kufyonza Mbolea na virutubisho vingine kutoka Ardhini.
Fuata utaratibu k**a huo kwa mboga zingine za majani .

ANGALIZO
Kwa mazao ambayo hujichavua yenyewe, changanya Super Gro na Madawa yote ya mimea na kupulizia Maua yake
MAZAO HAYO NI
Mpunga, Mahindi, soya, Ngano mazao yote jamii ya ngano, Dengu, Njegere. Maharagwe jamii yote kwa kuwa haiui wadudu. Mfano ya mazao Kahawa, Cocoa, apples, zabibu, alizeti, tikiti,Maboga ,matango jamimii yote ya pilipil nyanya, ufuta Bilinganya N.k

HITIMISHO
Mazao ambayo huchavuliwa na wadudu unashauriwa usitumie madawa ya kuua wadudu wakati mazao hayo yakitoa maua kwani dawa hizo zinaweza kuua wadudu wachavushaji mimea.
👉Hata hivyo SUPER GRO pekee inaweza kutumika k**a haijachanganywa na madawa ya kuua wadudu.

Wakati maji💦 ni uhai lakini yanazidi kupungua Duniani huku idadi ya watu inazidi kuongezeka
SUPER GRO ni MKOMBOZI Mkubwa kwani i
nasaidia kupunguza mai tumizi ya madawa ya Kilimo.ili kupata super gro original fika ofisini au wasiliana nasi kwa what's or call 0692012883

Address

Mwenge Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255692012883

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimo na super gro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share