EVIC Tanzania Company Limited

EVIC Tanzania Company Limited COMPANY REGISTRATION. BUSINESS NAME
OWNERSHIP TRANSFER. ANNUAL RETURNS. BUSINESS LICENSE.

Unataka Kusajili Kampuni? Usikose Kujua Hivi Kwanza! Watu wengi wanakimbilia kusajili kampuni bila kuelewa mambo muhimu ...
12/03/2026

Unataka Kusajili Kampuni? Usikose Kujua Hivi Kwanza!

Watu wengi wanakimbilia kusajili kampuni bila kuelewa mambo muhimu yanayoweza kuathiri biashara yao baadaye Matokeo yake Changamoto za kodi, sheria na uendeshaji wa biashara.

Kabla ya kusajili kampuni hakikisha unaelewa:

• Aina sahihi ya kampuni kwa biashara yako
• Jina la kampuni na upatikanaji wake
• Muundo wa umiliki na hisa
• Majukumu ya kisheria na kodi
• Mtaji na mpango wa biashara

Baada ya kusajili kampuni usisahau:

• Kufungua akaunti ya benki ya kampuni
• Kusajili kodi na kupata TIN ya kampuni
• Kuandaa mfumo wa kumbukumbu za fedha
• Leseni na vibali vinavyohitajika
• Mfumo wa mikataba na ulinzi wa biashara

Kujua mambo haya mapema kunaweza kuokoa muda, pesa na kuepusha matatizo ya kisheria.
👉 Unataka mwongozo wa hatua kwa hatua wa kusajili na kuendesha kampuni bila makosa?

Call/whatsap 0716 055744

Unataka Biashara Yako Ionekane Rasmi na Iaminike? Anza na Jina Lililosajiliwa!Je, unajua kuwa jina la biashara lisilosaj...
09/03/2026

Unataka Biashara Yako Ionekane Rasmi na Iaminike? Anza na Jina Lililosajiliwa!

Je, unajua kuwa jina la biashara lisilosajiliwa linaweza kutumiwa na mtu mwingine wakati wowote? Usipoteze wateja na fursa kwa sababu ya kosa dogo k**a hili.

✅ Sajili jina la biashara yako leo na upate faida hizi:
✔️ Ulinzi wa kisheria kwa jina la biashara yako
✔️ Kuongeza uaminifu kwa wateja na washirika
✔️ Kurahisisha kupata mikataba na fursa za biashara
✔️ Kufungua milango ya kukua kibiashara

💼 Iwe unaanza biashara mpya au tayari una biashara inayoendelea, kusajili jina ni hatua muhimu ya kuifanya iwe rasmi na salama.
⚡ Usisubiri hadi mtu mwingine achukue jina lako!
📩 Wasiliana nasi sasa tukusaidie kusajili jina la biashara yako haraka na kwa urahisi.

Call/ WhatsApp 0716055744

Business quote
07/03/2026

Business quote

Usisubiri penalty ikugonge mlango!Leo ni nafasi ya kipekee kwa siku 1 tu kwa wafanyabiashara na waajiri wote wenye wajib...
06/03/2026

Usisubiri penalty ikugonge mlango!

Leo ni nafasi ya kipekee kwa siku 1 tu kwa wafanyabiashara na waajiri wote wenye wajibu wa kufile Skills and Development Levy (SDL) na Withholding Tax (WHT).

K**a bado hujafile au unahisi kuna changamoto kwenye mahesabu na mfumo wa Tanzania Revenue Authority, leo ndio siku sahihi ya kupata msaada bila usumbufu.

Tunatoa mashauri na huduma ya kufile SDL na WHT kwa urahisi na haraka ndani ya siku 1 tu, ili biashara yako iendelee kuwa salama na compliant kikodi.

✅ Epuka penalty zisizo za lazima
✅ Hakikisha taarifa zako za kodi ziko sahihi
✅ Pata huduma ya kitaalamu na ya haraka

📞 Call/whatsap 0716055744

Wasiliana nasi sasa tukusaidie kufile SDL na WHT kabla muda haujapita.

⚠️ UNAJUA KUTOKU-FILE SDL NA WITHHOLDING KUNAWEZA KUKUGHARIMU ZAIDI YA UNAVYODHANI? ⚠️Wafanyabiashara wengi wanakumbuka ...
04/03/2026

⚠️ UNAJUA KUTOKU-FILE SDL NA WITHHOLDING KUNAWEZA KUKUGHARIMU ZAIDI YA UNAVYODHANI? ⚠️

Wafanyabiashara wengi wanakumbuka kulipa kodi
Lakini wanasahau kitu muhimu sana 👇

📌 SDL (Skills Development Levy) na Withholding Tax lazima zifile kwa wakati hata k**a huna malipo makubwa!

Ukichelewa:
❌ Penalty inaongezeka kila mwezi
❌ Unaweza kuzuiwa kupata Tax Clearance
❌ Unaharibu rekodi yako mbele ya
💡 Kumbuka: Filing ni wajibu, sio hiari.

Biashara iliyopangiliwa vizuri huanza na nidhamu ya kikodi.
👉 Usisubiri notification ya penalty!
Wasiliana nasi leo tukusaidie kufile SDL na Withholding kwa usahihi na kwa wakati.

Chukua hatua sasa linda biashara yako kabla gharama hazijaongezeka!

📞 0716-055744

Sajili Jina la biashara yako Call/ WhatsApp 0716055744
02/03/2026

Sajili Jina la biashara yako

Call/ WhatsApp 0716055744

Biashara bila urasimishaji ni k**a kujenga nyumba bila msingi!Sisi EVIC Tanzania na WIKA Promotion tumeamua kuwa sehemu ...
01/03/2026

Biashara bila urasimishaji ni k**a kujenga nyumba bila msingi!

Sisi EVIC Tanzania na WIKA Promotion tumeamua kuwa sehemu ya Nafaka Masterclass sio tu kushiriki, bali kudhamini na kuwekeza kwenye maarifa ya wajasiriamali!

Kupitia sisi ni wataalamu wa urasimishaji wa biashara na masuala ya kodi. Tunahakikisha biashara yako inasajiliwa kisheria, inafuata taratibu sahihi, na inakuwa tayari kukua bila hofu ya changamoto za kisheria au kikodi.

kupitia wataalamu wa uuzaji na uchapishaji wa viroba jumla na rejareja, tunahakikisha bidhaa yako inapata muonekano wa kuvutia na wa kitaalamu sokoni.

🤝 Tumeungana kwa sababu tunaamini: ✔ Maarifa + Urasimishaji
✔ Muonekano + Utii wa Sheria= Biashara Imara na Endelevu

Nafaka Masterclass sio event ya kawaida ni sehemu ya kujifunza, kukua na kuchukua hatua sahihi za kibiashara.

💼 K**a unataka biashara yako ikue kwa misingi sahihi kisheria na kimasoko…

Aksante sana

Je, Logo yako imelindwa au bado unatembea na brand isiyo na ulinzi?Unaweza kuwa na logo nzuri sana lakini k**a hujaisaji...
27/02/2026

Je, Logo yako imelindwa au bado unatembea na brand isiyo na ulinzi?

Unaweza kuwa na logo nzuri sana lakini k**a hujaisajili, mtu mwingine anaweza kuitumia, kuichapisha au hata kuimiliki kisheria kabla yako! 😳

Usajili wa logo ni hatua muhimu ya kulinda utambulisho wa biashara yako. Ni kinga ya brand yako, ni heshima ya kazi yako, na ni uthibitisho rasmi kuwa hiyo ni mali yako halali.

✔️ Linda jina na nembo yako
✔️ Epuka migogoro ya kisheria
✔️ Jenga thamani na uaminifu kwa wateja
✔️ Ongeza nguvu ya brand yako sokoni

Usisubiri mpaka uone mtu ametumia logo yako ndipo uchukue hatua!

🤙 Wasiliana nasi leo tukusaidie kusajili logo yako haraka na kwa usahihi.

Call/ whatsap 0716055744

Lipa ada kwa wakati, linda jina lako, na endelea kuitwa CEO kwa kujiamini!Call/ whatsap 0716 055744
25/02/2026

Lipa ada kwa wakati, linda jina lako, na endelea kuitwa CEO kwa kujiamini!

Call/ whatsap 0716 055744

K**a TRA wakija leo, biashara yako itawakaribisha kwa chai au itazimia k**a WiFi?👇👇👇Tuambie kwenye comment:Biashara yako...
24/02/2026

K**a TRA wakija leo, biashara yako itawakaribisha kwa chai au itazimia k**a WiFi?

👇👇👇
Tuambie kwenye comment:
Biashara yako ipo Level gani?

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EVIC Tanzania Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EVIC Tanzania Company Limited:

Share