Pakaya Ventures Limited

Pakaya Ventures Limited Pakaya Biztech is one of the leading digital marketing agencies based in Tanzania. We can help you i Quality services for all clients.

I am profoundly glad to announce that, Pakaya Biztech Solution, the business that I found and successfully run for almos...
13/02/2024

I am profoundly glad to announce that, Pakaya Biztech Solution, the business that I found and successfully run for almost 9 years is now changed to Pakaya Ventures Limited. My team and I are humbly thanking our esteemed customers, vendors, partners and other stakeholders in all areas of our business operations.

Pakaya Ventures Limited will continue providing quality services to our clients while ensuring the customer satisfaction is a number one priority. Our core values shall intactly remaining "service, integrity, trustworthy".

Thank you

Dennis Mponji
Group CEO
Pakaya Ventures Limited

ICT | Hospitality | Microfinance | Consultancy
Insurance | Pharmaceuticals | Real Estate

QUICKBOOKS FINANCIAL SOFTWAREQuickBooks ni mfumo wa utunzaji taarifa za fedha kwa biashara ndogo, kubwa na za kati. Mfum...
24/11/2023

QUICKBOOKS FINANCIAL SOFTWARE
QuickBooks ni mfumo wa utunzaji taarifa za fedha kwa biashara ndogo, kubwa na za kati. Mfumo wa QuickBooks unaiwezesha biashara kuweka na kutunza kwa usahihi taarifa zote za fedha ikiwemo mapato na matumizi ya biashara.

QuickBooks itakusaidia kutunza taarifa zifuatazo:
✅ Taarifa za wateja wanaohudumiwa na ofisi yako.
✅ Kutengeneza vocha za madai ya fedha kwa wateja yaani invoice.
✅Kuweka taarifa ya fedha zilipokelewa na zinazodaiwa kutoka kwa wateja
✅ Kuweka taarifa za manunuzi na malipo ya mahitaji mbalimbali ya ofisini kwako.
✅ Taarifa za wafanyakazi
✅Kutoa oda mbalimbali
✅Makadirio (estimates)
✅Kutoa stakabadhi za malipo (receipts)
✅ Taarifa na miamala yote inayotoka na kuingia benki

Tutakuwekea mfumo huu pamoja na kutoa mafunzo kwa watumiaji wa ofisini kwako.

Mawasiliano.
🏛️Ofisi: Ghorofa 20, Mwanga Tower
Makumbusho, Kijitonyama,
Dar es salaam

📱Simu: 0769717780 | 0768717785
✉️ Email: [email protected]

Your home or business needs strong security system so that you can peaceful pay your attention to what matters most to y...
01/11/2023

Your home or business needs strong security system so that you can peaceful pay your attention to what matters most to you. Let us take care of your security system, from CCTV camera installation to burglar alarm and electric fence.

Contact us today: 0769717780

Je wewe ni mjasiriamali mwenye maono makubwa na unataka kufanya makubwa kwenye biashara yako. Unahitaji kuwa chini ya us...
21/10/2023

Je wewe ni mjasiriamali mwenye maono makubwa na unataka kufanya makubwa kwenye biashara yako. Unahitaji kuwa chini ya usimamizi (mentorship) na kushirikiana na wajasiriamali na wafanyabiashara wengine waliopiga hatua na wanaoendelea katika sekta yako na nyinginezo.

Una kiu ya kujua taratibu za uwekezaji na kupata mitaji na wawekezaji kwa ajili ya biashara yako?

Hudhuria mkutano huu wa mtandaoni ili kujua ni mambo gani utanufaika nayo kwa kuwa sehemu ya mpango huu.

Topic: Business Mentorship
Time: Oct 26, 2023 06:00 PM Dar Es Salaam

Join Zoom Meeting
https://us05web.zoom.us/j/87670325828?pwd=N8tJSjPbB22arMJfUmncdqSJ3pgrOf.1

Meeting ID: 876 7032 5828
Passcode: J1nZH7

Zoom is the leader in modern enterprise video communications, with an easy, reliable cloud platform for video and audio conferencing, chat, and webinars across mobile, desktop, and room systems. Zoom Rooms is the original software-based conference room solution used around the world in board, confer...

17/10/2023

Do you need QuickBooks financial solution for your company?

Features:
✅ Customer Management
✅ Order and Purchase Management
✅ Invoice and Revenue Management
✅Sales Management
✅ Reports Generator
✅Timely Backups

Contact us today: 0769717780

Pakaya Biztech is one of the leading digital marketing agencies based in Tanzania. We can help you i

05/10/2023

TIME AND ATTENDANCE SYSTEM
Je wewe ni muajiri au meneja unayesimamia idadi fulani ya wafanyakazi?

Je unao mfumo wa kusimamia muda na mahudhurio ya wafanyakazi wako kidigitali?

Usihangaike tena, tunayo Time and Attendance System nzuri sana kwa ajili yako na biashara yako.
Inafaa kwa matumizi ya kiwandani, gereji, shule kwa ajili ya walimu na wafanyakazi, hospitali n.k

Mfumo huu utakusaidia kujua mwenendo na mahudhurio ya wafanyakazi wako, shift, overtime na ripoti mbalimbali.

Karibu tukuhudumie

N.B: Hatuuzi computer

📱0769717780
✉️[email protected]

Pakaya Biztech is one of the leading digital marketing agencies based in Tanzania. We can help you i

23/09/2023

POS SOFTWARE KWA AJILI YA BIASHARA YAKO - TSH. 380,000/-
Biashara yako inahitaji mfumo wa kisasa wa mauzo na kutunza hesabu ya bidhaa zako. Tunakupatia mfumo madhubuti kwa ajili ya biashara zifuatazo:-

📌 Duka la nguo (Cloth and Boutique)
📌 Duka la vinywaji baridi na vikali (Liquor and soft drink store)
📌 Duka la vifaa vya ujenzi (Hardware and Building material store).
📌 Super market
📌 Duka la jumla

Mfumo huu utakuwezesha kuweka rekodi ya bidhaa zilizoingia na zilizouzwa, utajua bidhaa zinaouzwa zaidi na zile zinazoenda polepole ili uweze kufanya maamuzi sahihi wakati wa kufunga mzigo.

Mfumo huu unapunguza wizi na upotevu wa fedha katika biashara yako. Inakurahisishia kazi ya kupiga mahesabu ya bidhaa na mapato ya fedha kwa kipindi chochote utachohitaji kufuatilia maendeleo ya bishara yako.

Tutakuwekea mfumo kwenye computer yako inayotumika katika biashara yako, tutakupatia kinasa taarifa number (Barcode Scanner), tutakuwekea bidhaa mpaka 200 katika mfumo na kufundisha wauzaji wako namna ya kuutumia mfumo.

Malipo ya kazi yatafanyika baada ya kumaliza kuweka mfumo na kutoa mafunzo kwa watuamiaji.

Ofisi: First floor, Acacia Estates, Kinondoni Road
Dar Es Salaam, Tanzania

Email: [email protected]

Simu: 0768717785 (WhatsApp)

Pakaya Biztech is one of the leading digital marketing agencies based in Tanzania. We can help you i

27/08/2023

Special offer mpaka tarehe 05/09/2023
POS YA MAUZO KWA AJILI YA BIASHARA YAKO - TSH. 230,000/-

Biashara yako inahitaji mfumo wa kisasa wa mauzo na kutunza hesabu ya bidhaa zako. Tunakupatia mfumo madhubuti kwa ajili ya biashara zifuatazo:-

📌 Duka la nguo (Cloth and Boutique)
📌 Duka la vinywaji baridi na vikali (Liquor and soft drink store)
📌 Duka la dawa (Pharmacy Store)
📌 Duka la vifaa vya ujenzi (Hardware and Building material store).
📌 Super market
📌 Duka la jumla

NB: Mfumo huu unaweza kutumika kwenye computer zaidi ya moja pia kwenye store zilizo maeneo tofauti (kwa biashara kubwa).

Mfumo huu utakuwezesha kuweka rekodi ya bidhaa zilizoingia na zilizouzwa, utajua bidhaa zinaouzwa zaidi na zile zinazoenda polepole ili uweze kufanya maamuzi sahihi wakati wa kufunga mzigo.

Mfumo huu unapunguza wizi na upotevu wa fedha katika biashara yako. Inakurahisishia kazi ya kupiga mahesabu ya bidhaa na mapato ya fedha kwa kipindi chochote utachohitaji kufuatilia maendeleo ya bishara yako.

Tutakuwekea mfumo kwenye computer yako inayotumika katika biashara yako, tutakupatia kinasa taarifa number (Barcode Scanner), tutakuwekea bidhaa mpaka 200 katika mfumo na kufundisha wauzaji wako namna ya kuutumia mfumo.

Malipo ya kazi yatafanyika baada ya kumaliza kuweka mfumo na kutoa mafunzo kwa watuamiaji.

Ofisi: First floor, Acacia Estates, Kinondoni Road
Dar Es Salaam, Tanzania
Email: [email protected]
Simu: 0755734089 (WhatsApp)

Pakaya Biztech is one of the leading digital marketing agencies based in Tanzania. We can help you i

26/08/2023

WEBSITE DESIGN
SMALL BUSINESS AND STARTUP OFFER TSH. 165,000/-
Je wewe ni mfanyabiashara mdogo, unatoa huduma au unauza bidhaa?

Aidha uwe mfanyabiashara mdogo au mkubwa teknolojia haina ubaguzi, biashara yako inahitaji website ili kukua na kufanikiwa sokoni.

Sisi Pakaya Biztech tunakupa offer ya kutengeneza website yako kwa gharama nafuu msimu huu ili kukuweka wewe kwenye ulimwengu wa kidigitali.

Miliki website kwa Shilingi 165000/- tu.

Unapata Nini?
👉 Up to 5 designed web pages
👉 Contact form
👉 Live chat support
👉 2 Email addresses
👉 Free .tz domain for 1 year
👉 Free hosting for 1 year

Usichelewe tupigie simu leo, mwisho wa offer ni tare 05/09/2023

Kwa maelezo zaidi tembelea website yetu www.pakayabiztech.com

Pakaya Biztech is one of the leading digital marketing agencies based in Tanzania. We can help you i

17/05/2023

POS YA MAUZO KWA AJILI YA BIASHARA YAKO

Biashara yako inahitaji mfumo wa kisasa wa mauzo na kutunza hesabu ya bidhaa zako. Tunakupatia mfumo madhubuti kwa ajili ya biashara zifuatazo:-

📌 Duka la nguo (Cloth and Boutique)
📌 Duka la vinywaji baridi na vikali (Liquor and soft drink store)
📌 Duka la dawa (Pharmacy Store)
📌 Duka la vifaa vya ujenzi (Hardware and Building material store).
📌 Super market
📌 Duka la jumla

NB: Mfumo huu unaweza kutumika kwenye computer zaidi ya moja pia kwenye store zilizo maeneo tofauti (kwa biashara kubwa).

Mfumo huu utakuwezesha kuweka rekodi ya bidhaa zilizoingia na zilizouzwa, utajua bidhaa zinaouzwa zaidi na zile zinazoenda polepole ili uweze kufanya maamuzi sahihi wakati wa kufunga mzigo.

Mfumo huu unapunguza wizi na upotevu wa fedha katika biashara yako. Inakurahisishia kazi ya kupiga mahesabu ya bidhaa na mapato ya fedha kwa kipindi chochote utachohitaji kufuatilia maendeleo ya bishara yako.

Tutakuwekea mfumo kwenye computer yako inayotumika katika biashara yako, tutakupatia kinasa taarifa number (Barcode Scanner), tutakuwekea bidhaa mpaka 200 katika mfumo na kufundisha wauzaji wako namna ya kuutumia mfumo.

Malipo ya kazi yatafanyika baada ya kumaliza kuweka mfumo na kutoa mafunzo kwa watuamiaji.

Ofisi: First floor, Acacia Estates, Kinondoni Road
Dar Es Salaam, Tanzania
Email: [email protected]
Simu: 0768717785 (WhatsApp)

Pakaya Biztech is one of the leading digital marketing agencies based in Tanzania. We can help you i

Je umekaa na wazo muda mrefu, au umehangaika kusajili na umekwama?Karibu Pakaya Biztech tukusaidie. Huduma zetu ni k**a ...
04/05/2023

Je umekaa na wazo muda mrefu, au umehangaika kusajili na umekwama?

Karibu Pakaya Biztech tukusaidie. Huduma zetu ni k**a zifuatazo:

▶️Usajili wa makampuni ya ukubwa wowote
▶️ Usajili wa majina ya biashara
▶️ Usajili wa alama za biashara
▶️ Leseni mbalimbali chini ya wizara ya viwanda
▶️ Usajili wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO)
▶️ Ushauri wa biashara na masoko
▶️ Ushauri wa uwekezaji
▶️ Uwekezaji katika ardhi

Ofisi yetu: Ghorofa ya kwanza, Acacia Estates
Kinondoni road, Kinondoni, Dar Es Salaam

Simu: 0768 717785 Call/WhatsApp

Email: [email protected]

POS YA MAUZO KWA AJILI YA BIASHARA YAKOBiashara yako inahitaji mfumo wa kisasa wa mauzo na kutunza hesabu ya bidhaa zako...
03/05/2023

POS YA MAUZO KWA AJILI YA BIASHARA YAKO

Biashara yako inahitaji mfumo wa kisasa wa mauzo na kutunza hesabu ya bidhaa zako. Tunakupatia mfumo madhubuti kwa ajili ya biashara zifuatazo:-

📌 Duka la nguo (Cloth and Boutique)
📌 Duka la vinywaji baridi na vikali (Liquor and soft drink store)
📌 Duka la dawa (Pharmacy Store)
📌 Duka la vifaa vya ujenzi (Hardware and Building material store).
📌 Super market
📌 Duka la jumla

Mfumo huu utakuwezesha kuweka rekodi ya bidhaa zilizoingia na zilizouzwa, utajua bidhaa zinaouzwa zaidi na zile zinazoenda polepole ili uweze kufanya maamuzi sahihi wakati wa kufunga mzigo.

Mfumo huu unapunguza wizi na upotevu wa fedha katika biashara yako. Inakurahisishia kazi ya kupiga mahesabu ya bidhaa na mapato ya fedha kwa kipindi chochote utachohitaji kufuatilia maendeleo ya bishara yako.

Tutakuwekea mfumo kwenye computer yako inayotumika katika biashara yako, tutakupatia kinasa taarifa number (Barcode Scanner), tutakuwekea bidhaa mpaka 200 katika mfumo na kufundisha wauzaji wako namna ya kuutumia mfumo.

Malipo ya kazi yatafanyika baada ya kumaliza kuweka mfumo na kutoa mafunzo kwa watuamiaji.

Ofisi: First floor, Acacia Estates, Kinondoni Road
Dar Es Salaam, Tanzania

Email: [email protected]

Simu: 0768717785 (WhatsApp)

Address

Acacia Estate, First Floor, Kinondoni Road
Dar Es Salaam
14122

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pakaya Ventures Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share