Sensor Tanzania

Sensor Tanzania Kampuni BORA ya kufunga Mifumo ya Kisasa Kabisa ya Ulinzi MAJUMBANI, OFISINI na VIWANDANI Tanzania

Gharama za Kufunga nyumbani ni kuanzia Tsh 95,000/- hadi Tsh 150,000/-

06/02/2026
Funga  vifaa maalumu vya kisasa  kabisa vya Ulinzi na mifumo mbalimbali ya ulinzi nyumbani kwako Kwa kutumia Teknolojia ...
06/02/2026

Funga vifaa maalumu vya kisasa kabisa vya Ulinzi na mifumo mbalimbali ya ulinzi nyumbani kwako Kwa kutumia Teknolojia ya Sensors na nyingine , Kwa sehemu yoyote unayohitaji ulinzi kwa bei nafuu sana .

Sasa Ili kuhakikisha unaishi kwa usalama nyumbani mwako sisi [ Sensor Tanzania ] tunakupa huduma mbalimbali na Sasa Hakuna Tena haja ya kuhofia usalama wa nyumba Yako hata pale utakapokuwa umeondoka nyumbani kwako au Kusafiri .

[ 0684-300052 ]

Tunafunga Sensor maalumu zenye uwezo wa kuhisi uwepo wa mtu nyumbani kwako pamoja na na Sensors Maalumu zenye uwezo Wa kugundua Giza na Kisha kuwasha zenyewe Taa zako za nje ya nyumba ama kuwasha zenyewe alarm maalumu pindi mtu husika anapodiriki kusogelea eneo lako

✓ Je vibaka wamekuwa wakikusumbua sana Kila Mara nyumbani kwako ?

[Hapa ni suluhisho lako]
________________________
Tutakufungia Alarms maalumu zenye uwezo wa kuhisi na kutambua uwepo wa mtu Katika eneo na Kisha kupiga kelele mtu huyo anaposogelea eneo husika

✓Je unahitaji taa zako za nyumba kujiwasha zenyewe automatic jioni inapofika na kisha kujizima zenyewe kila siku ahsubuhi inapofika?

[ Hapa ni suluhisho lako ]
_________________________
Tutakufungia Sensor maalumu zenye uwezo wa kugundua giza na Kuwasha zenyewe taa za nyumba giza linapoingia na kuzima zenyewe ahsubuhi kunapokucha

Hapa itakuwa Hata nyumba nzima mkisafiri Taa zako za nje ya nyumba zitaendelea kujiwasha kila siku jioni na Kisha kujizima zenyewe Ahsubuhi na Wala majirani au Wezi hawatojua ratiba zako za kurudi na kutoka nyumbani

Na hapa Hata k**a unazo nyumba mbili ama Eneo jingine la biashara lililo Mbali na nyumba Yako ambalo limekuwa likikuhangaisha Kwa kuhitaji usimamizi Wa mtu kwenda kuwasha na kurudi kuzima Taa zako kila siku utakakuwa umeepa adha hii

✓Na Je unahitaji CCTV cameras ama familia Yako imekuwa hatarini kuibiwa kila Mara Kutokana na ratiba zako ?

[Hapa ni suluhisho lako]
________________________
Sasa kwa gharama ya kuanzia shilingi 95,000/- tu na kuendelea unaweza kuondokana na adha yote hii leo .

Tupigie Sasa ili uweze kujipatia huduma hii mapema leo.

( NB )
_________
Gharama zetu zinajumuisha gharama za Sensors ,alarms pia inajumuisha na Gharama za fundi wetu kuweza kukuunganishia Mfumo wako nyumbani kwako isipokuwa gharama za waya zitakazotumika kuziunganisha sensor hizi pamoja

Tupigie Kuweza kupata Huduma hii
[ 0684 300052 ] -Airtel
[ 0713 783125 ] -Tigo
[email protected]

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255713783125

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sensor Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sensor Tanzania:

Share