Utulivu Digital Marketing

Utulivu Digital Marketing Growing your business on digital platforms requires a mind that thinks beyond your competitors

New Price Change to the Sponsored Ads from Meta starting  December this year
19/11/2023

New Price Change to the Sponsored Ads from Meta starting December this year

24/10/2023

09/10/2023
05/09/2023

               🇹🇿
31/08/2023

🇹🇿

Contact us today for your company/Business profile design 🎯
30/08/2023

Contact us today for your company/Business profile design 🎯

🚀Umesajili Biashara yako Mtandao wa Google?.💡📡Google ni mtandao unaotoa fursa ya kusajili biashara yako Google Business ...
22/08/2023

🚀Umesajili Biashara yako Mtandao wa Google?.💡

📡Google ni mtandao unaotoa fursa ya kusajili biashara yako Google Business ambapo utaweka Huduma au bidhaa unazo uza, mahali biashara yako inapatikana, namba za siku na picha za bidhaa yako.

🎯Kama wewe ni mfanyabiashara au Taasisi ambayo bado hamna au huna tovuti ( website) Google business ni kitu pekee kinachoweza kusaidia biashara yako kupatikana Google.

✅Unaweza kua na Google business hata k**a huna website, na ukiwa na website Google business itasaidia kupeleka Traffic ( watu wanaotembelea website) .

📱✅Wasiliana nasi leo Tuweze kukutengenezea Google business Profile yako uweze kuonekana kwa watu wanaotumia na kutafuta huduma zako Google.

+255 769 769 130
[email protected]

💰💵Ongeza mapato yako kwa kutangaza bidhaa au huduma zako kwa njia ya kisasa ya kulipia matangazo yaani sponsored Ads. ✅S...
21/08/2023

💰💵Ongeza mapato yako kwa kutangaza bidhaa au huduma zako kwa njia ya kisasa ya kulipia matangazo yaani sponsored Ads.

✅Sio kila mtu anaweza tengeneza tangazo ambalo litakupa faida, kwa kutumia tools au njia za kisasa tuna fanya utafiti wa soko, bidhaa yako na watu unao wakusudia kisha tuntengeneza tangazo litakalo kuza na kuongeza kipato.

Wasiliana Nasi Tukutengenezee Tangazo Litakalo Kupa matokeo Chanya

+255 769 769 130
[email protected]

15/08/2023

Logo| New Business |💡
11/08/2023

Logo| New Business |💡

JINSI YA KUKUZA KIPATO CHAKO TWITTER, INSTAGRAM, GOOGLE BUSINESS NA FACEBOOK. Katika ulimwengu huu ambao teknolojia imek...
10/08/2023

JINSI YA KUKUZA KIPATO CHAKO TWITTER, INSTAGRAM, GOOGLE BUSINESS NA FACEBOOK.

Katika ulimwengu huu ambao teknolojia imekua kwa kasi na kurahisisha ufanyaji wa biashara na namna watu wanatafuta bidhaa na biashara, mitandao ya kijamii na vifaa mbalimbali za kiteknolojia zimesaidia kukuza na kutangaza biashara mitandaoni. Moja ya mitandao ambazo zimesaidia kukuza biashara na majina mitandaoni ni Twitter, Facebook, Instagram na Google business.

Facebook
Facebook inabakia kua mtandao mkubwa ulimwenguni wenye watumiaji wengi, mahali ambapo biashara nyingi zimekua kwa kufikia watu wengi kwa njia ya matangazo (Facebook Ads), facebook ni mtandao ambao mtu anaweza kufungua duka lake mtandaoni (page) na kuweka taarifa zake za bidhaa au huduma , mahali biashara ilipo, namba za simu n.k

Google Business
Kila siku watu zaidi ya bilioni wanatafuta taarifa mbalimbali kwenye mtandao wa Google, taarifa k**a mahali zilipo duka la Nguo, migahawa, daktari bingwa wa Watoto, kanisa, hospitali, msikiti, watu mashuhuri n.k. Google business ni huduma ya Intaneti inayotolewa na Google kwa lengo la kukuza biashara mtandaoni.

Ukuaji wa teknolojia umeraisisha watu wengi kumiliki simu za smartphone hivyo kila mtu anauwezo wa kutafuta bidhaa au huduma mtandaoni. Unapo sajili biashara yako Google Business profile unapata uraisi wa kupatikana kwa haraka hata k**a hauna tovuti (website)

Twitter
Twitter ni mtandao ambao unawezesha biashara yako kufahamika kwa haraka kupitia njia ya kutoa taarifa au bidhaa zako mpya kwa wakati husika (real time updates). In sehemu nzuri ambao unaweza kuwasiliana na wateja wako wakati ambapo jambo limetokea.

Mfano pale ambapo umeleta bidhaa mpya, au kuna taarifa unahitaji kuwafikishiwa wateja wako mda huo huo. Twitter inakupa uweze wa kureply, retweet, kutumia hashtag na watu maarafu (influencers) kutangaza biashara yako.

Instagram
Instagram inakuwezesha kukuza biashara yako kwa kutumia picha na video zenye mwonekano mzuri kuwafikia watu wengi kwa njia za insta story, Reels na post. Ukiwa mbunifu mzuri wa kutumia Instagram unaweza fikia wateja wengi sana wanao tafuta bidhaa k**a vile, mavazi, simu janja, taarifa mbalimbali za bidhaa na huduma.

Heri Ya Siku Ya Nane Nane
08/08/2023

Heri Ya Siku Ya Nane Nane

Address

Oyesterbay, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Utulivu Digital Marketing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share